Search results

  1. Evody kamgisha

    CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi wa 2025

    Kweli kabisa,ni wazo ambalo linaweza kuleta mabadiliko makubwa katika tasnia y siasa nchini. Kwa Sasa wanayo ofisi nzuri sana inayoendana na sifa ya chama Nguvu ya kuwekeza kwenye vyombo vya habari ni muhimu sana. Na sio kabisa kujikita kwenye online Tv. Watu wanahitaji Television and Radio...
  2. Evody kamgisha

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Uwezi kulazimisha Imani,uwezi kumlazimisha mtu atii unachokiamini.Zanzibar Kuna kosa kubwa wanafanya.Unamlazimisha mtu afunge Kwa kutokula huku moyoni ananungunika Kwa asilimia 80,mtu huyu anakuwa hajafunga hata kidogo Bali unamzuia kula tu. Ukitaka kuamini kuwa Wazanzibar wengi hawana muda wa...
  3. Evody kamgisha

    Oman Kutoa Ajira Kwa Watanzania. Nauliza Mnataka au Hamtaki Kazi Oman?

    Kwa mtu ambaye anazo akili timamu na anajua anafanya nini huwezi kwenda Oman eti unaenda kutafuta kazi.Itakuwa ni ushenzi wa kiwango Cha juu sana. Watu wenyewe ni masikini.Ukienda kufanya kazi kwenye nchi ambazo hazitoi uhuru wa kuabudu Kwa Imani nyingine, utumwa utakaofanyiwa hutokaa husahau...
  4. Evody kamgisha

    Lema yuko Sahihi Waislamu Wana Uwezo wa kuwatetea Wanasiasa wa Kiislam Lakini hawawezi kuwatetea Wanazuoni wa Kiislam!

    Marekani ni christian Nations Kwa sababu unapozungumzia Western nations maana yake unazungumzia christian Nations kama US,UK ITALY,GERMAN,FRANCE,.Hizi zote ni civilized states,Kila mmoja wetu ana ndoto za kufika katika mataifa haya.Mfano mwingine,Vita vya Israel vs Hamas vimegeuka kuwa Vita vya...
  5. Evody kamgisha

    Maisha ya Lowassa ni funzo kwa midomo michafu ya wanasiasa wa Tanzania

    Lowassa dini ilimkaa sana,ndo maana aliona kumtolea lugha chafu mwanasiasa mwenzie sio sahihi hata kidogo.Rejea harakati zake za kisiasa akiwa ccm na Chadema,pamoja na matusi mazito ya uzalilishaji kwake akiwa Chadema,Bado hakutumia kinywa chake vibaya au kumuumiza mwanasiasa mwenzake Kwa...
  6. Evody kamgisha

    Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

    Mie naona kazungumzia jambo la maana sana,Marehemu Lowassa amefanya makubwa nchi hii,aliwahi kugombea urais kupitia ticket ya Chadema,Bila shaka Chadema wanalijua hili na wataungana na taifa kuomboleza na kushiriki kikamilifu katika mazishi yake.
  7. Evody kamgisha

    Kama hawa wasiozidi milioni mbili wametupelekesha watu milioni 60 uwanja wa Amani, wakipata uhuru kamilii tutawaweza?

    Hamna kitu hao,hivi unacheza na Tanganyika wewe, Mashindano ya mapinduzi bara wanapelekaga timu B. Hawayapi kipaumbele hayo maahindano
  8. Evody kamgisha

    DC Ludewa Kuanza Ziara Rasmi Ukaguzi wa Miradi ya Maji Katika Kata za Ludewa

    Ondoa ujinga huu,huna aibu aisee Watu wasoma habari nzito nzito we unaleta ushuzi humu!!!
  9. Evody kamgisha

    Napinga Masheikh sita wa Kiislamu kupewa adhabu ya kunyongwa hadi kufa

    Mie naamini Kuna watu au nchi wanapenda sana kudhamini ugaidi wa namna hii, Kuna nchi kama Iran na Qatar hizi nchi ni hatari sana. Kuna funds wanatuma Kwa baadhi ya waislam wanaoishi nchini Ili kuwatafuta vijana wa Kiislam wasio na ajira Kwa kuwapa fedha Ili watekeleze unyama huo Kwa mgongo wa...
  10. Evody kamgisha

    Ujumbe wangu kwa wanasiasa wote waislam

    Dini unaijua wewe? Ulimbukeni tu ukiamini kusoma madrasa ndo maadili,mbona wengine wanasoma madrasa wanawaua wenzao bila hatia? Unatuletea story za alifulela olela hapa. Dini kama unaijua ijuwe wewe na sio kutaka Kila mmoja afate unachofanya.Kila mmoja mbingu ataipata mbingu Kwa nafasi yake.
  11. Evody kamgisha

    Serikali hamasisha Watanzania kucheza Green Card ili tupate diaspora wengi. Ina faida za kiuchumi

    Hii ina umuhimu sana,tunajifungia mno ukilinganisha na wenzetu majirani
  12. Evody kamgisha

    Serikali hamasisha Watanzania kucheza Green Card ili tupate diaspora wengi. Ina faida za kiuchumi

    Moja ya nchi ambayo ina wananchi wake wanaoishi ugaibuni (USA, German, Italy, France, Canada, Australia, Norway, Spain, Denmark n.k) ni Tanzania. Ukiangalia Watanzania wanaoishi nje ya nchi idadi yake tunazidiwa na Somalia. Ukiachana na nchi kama Kenya, Misri, Sudan, South Africa na nyinginezo...
  13. Evody kamgisha

    Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

    Kwa wale wanaofatilia Azam utagundua udini wanautumia sana. Wasiposimamia Sheria za Fifa wanaweza kufungiwa.Wasichanganye mambo ya dini na soka watashindwa. Hata ukifatilia ajira zao wanajikita Kwa wale wanaoendana na Imani Yao.Hii sio sahihi
  14. Evody kamgisha

    Shehe Mwaipopo: Wakati Dini nyingine wanakazana kujenga Mashule na Hospitals Bakwata wao Wamekazana kuhakiki Mali za Urithi!

    Unataka kunambia kuwa chuo Cha Morogoro Cha waislam hawajaongezea hata jengo moja kweli!!!?? Utani bhana!!!
  15. Evody kamgisha

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Watu wenyewe walivyovaa, hii inaonuesha uwezo wa kiuchambuzi Hawana.Tuwasamehe ila ni uzembe wao wa kutokwenda shule.
  16. Evody kamgisha

    Baada ya tamko la TEC, tunasubiri tamko la BAKWATA

    Wenzio wanajilia tu ndugu, Kaa nao myajenge
  17. Evody kamgisha

    Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

    Watu mnazungumza duu!!! Mpaka nasisimka aisee hatari.
  18. Evody kamgisha

    Rais Samia, kuna mtu mmoja tu hapa Tanzania anaweza kukusaidia kuuvuka huu mtihani wa DP World na TEC - muite, ongea nae, msikilize, ufanye atachosema

    Naamini mawazo Yako ni mazuri, Rais ni taasisi kubwa hivyo anaweza akaiona post Yako then akiona inamfaa anaweza kuichukua.Tupo hapa duniani kusaidiana,nchii hii inahitaji msaada na maombi pia Kwa sababu tunapita katika kipindi chenye changamoto kubwa Hasa kwenye issue ya DP WORLD na bandari zetu.
Back
Top Bottom