Search results

  1. W

    Mwanajeshi Comando mmoja wa DRC aivamia Rwanda

    Ana gramu kadhaa za dhahabu
  2. W

    Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

    Kwa hoja zako ni dhahiri hujawahi kufanya biashara ya kuuza ng'ombe nje ya nchi....sekta ya mifugo nchini inahitaji mageuzi makubwa na sio eartag ili kufikia walipo wenzetu kama Botswana.
  3. W

    Radio Maria inatuchanganya waamini Sala ya Imani

    Ongozweni na Roho wa Bwana na sio mafundisho ya binadamu.
  4. W

    INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Mkuu hao mbuzi wanatoa lita ngapi kwa siku mpaka wauzwe bei ghali kiasi hicho!?
  5. W

    Putin anazidi kuiharibu Urusi. Baada ya meli yake kuzama naamini uungwaji mkono wa Putin nchini mwake utapungua.

    Kwa mtu anayejua geopolitics vizuri, ni MUNGU tu ndio anaweza kuidondosha Russia, soon watakaa kwenye mazungumzo na vita itaisha...mageuzi ya $ yaja!
  6. W

    Ni mikoa gani ambayo ina mbuzi wengi na ng'ombe wengi zaidi?

    Lindi na Rufiji ni migodi mipya ya ng'ombe
  7. W

    Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Kwa pesa hiyo unapata nyumba 2 kali mitaa ya ushuani Cape town karibu na beach [emoji3553][emoji2513]
  8. W

    Baba wa Taifa na tatizo la Udini

    Mzee Mo,nakushauri kama Dr...kwa umri uliofikia si vyema kubeba vitu vingi akilini,hasa vile vinavyokukwaza!
  9. W

    Mimi ndiye niliyefanya soda iuzwe shilingi 500 badala ya shilingi 600

    Mkuu fanya jambo kwenye petrol na diesel [emoji618]!
  10. W

    Mshana Jr Mambo!

    Mpaka sasa sioni dalili ya mbuzi kuchinjwa!...kumbe hadi walozi wanaweza kuwa domozege![emoji124]
  11. W

    Utajuaje kama huna nafsi au umeuza nafsi

    Mkuu nakubaliana na wewe kuhusu bible...nimetoa tahadhali ya kuwa makini na mafundisho mengine,kwa mfano Mungu wa kwenye Bible na quran ni sawa according to mleta mada,.....kuna upotoshaji mwingi sana unafanyika kupitia Bible sababu imeandikwa ktk namna ya kimafumbo....mwisho wa yote giza...
  12. W

    Utajuaje kama huna nafsi au umeuza nafsi

    Mkuu ninahisi huwa unasoma Bible,ina maarifa yaliyopitiliza uwezo wa fikra wa kibinadamu,kuna upotoshaji wa kiwango cha juu sana unaweza kufanyika kwa kuquote mistari yake na kuipa tafsiri....."kuna watu walikusanya maarifa,wakayafungia na kukataza wengine wasiyapate na mbaya zaidi hata wao pia...
  13. W

    Utajuaje kama huna nafsi au umeuza nafsi

    Mkuu umeandika vitu vingi sana,lakini kabla ya yote ningependa kujua huyu binadamu kama mfalme suleiman aliumbwa na nani na huyo aliyemuumba alitoka wapi!?....
  14. W

    Si jukumu la Watoto kukuhudumia uzeeni...

    Ni kweli,hili jambo limejikita ktk mizizi ya jamii nyingi za kiafrika, lakini hili somo linapaswa lianze kufundishwa sasa kwa ajili ya wazee wa hapo baadae,kwa sasa wazee waliopo wasaidiwe wamalizie maisha kwanza maana itakuwa hatari!
  15. W

    Hili gogo kwa huyu Mwanajeshi lina kazi gani?

    Mkuu mpingo unawaka taratibu sana,ni mzuri kwa camp fire!
  16. W

    Hili gogo kwa huyu Mwanajeshi lina kazi gani?

    Kuni ya kupikia....si unajua vitani hakuna gesi wala mkaa!
  17. W

    Jirani yangu amekuwa akisumbuliwa sana na hawa mapepo wachafu

    Nifuate PM...asipopona nakurudishia gharama ya vocha!
Back
Top Bottom