Search results

  1. mysteryman

    Njia zipi nipitie kulea mtot anaeishi katika mazingira magumu kisheria?

    wazo bora kabisa mungu akuongoze na akuzidishie katika hilo.....natamani kujiunga na wewe kulitekeleza hilo kwani ilikua ni moja ya ndoto zangu za siku nyingi sana kuja kusaidia hata watoto wawili mayatima...kwani najua nini maana ya kuishi ukiwa yatima hasa umri mdogo.....anyway good luck
  2. mysteryman

    Hatimae JUDGEMENT @ YNNAH now in full couple! (special c.c Baba v & Watu8)

    mh.....hongera bro i just wish the same thing happen to me....i wish...
  3. mysteryman

    Ebana daaah,

    kama asha boko !!
  4. mysteryman

    Happy birthday figganigga!!

    happy birthdate mzee wa mia...
  5. mysteryman

    jamani eeh...!

    teh teh....hapa unamaana gani mkuu??
  6. mysteryman

    jamani eeh...!

    ha!! Asa paloma hilo si jina tu kama zilivyo nick nyingine?? Hata hivyo ungesaidia ungeweza kujua majina yangu halisi......
  7. mysteryman

    jamani eeh...!

    mijitu michoyo humu....mh.!
  8. mysteryman

    jamani eeh...!

    uchoyo huo....
  9. mysteryman

    jamani eeh...!

    hatumii nini mkuu!? Kama ni kilevi haina noma mi ntakaja kinywaji ye atakata kilaji au sio kiongozi....
  10. mysteryman

    Amri kumi kwa wapendao ofa

    mh.....hii topic na ule uzi wangu kule cc...kama inanihusu vile...!!
  11. mysteryman

    jamani eeh...!

    ah PL hiyo ndo tamu hyo si unajua simba akikosa nyama.....
  12. mysteryman

    jamani eeh...!

    hahaha sema haki vile amu....usije kunichekecha bana mana...mh.....
  13. mysteryman

    searching for a real man for marriage in Dar.

    hahaha mzee mitego kote kote au sio! Ila ndo unaiacha kili bardiii hivihivi kweli?
  14. mysteryman

    jamani eeh...!

    hahaha kaka acha kunichekecha bana nitoe na huto tubia bana.....btw ndom za nini mimi!? Nimeacha hako kamchezo mwenzio tangu nanii anikatae muulize hata bishanga anajua......lol
  15. mysteryman

    jamani eeh...!

    lucas nini mbaya??
  16. mysteryman

    jamani eeh...!

    jamani chit-chat besides jamani nakiu mwenzenu..,.dah! Mambo gani haya sijanywa bia wiki ya tano hii jamani!!! Kah sio vizuri hivo kubaniana jama...najua leo ni bize monday lakini hata tubia tuwili tu jamani?!...hebu acheni unoko huo wa kubaniana jama ebo..!! Kwani jamaa angu ukinipa tubia...
  17. mysteryman

    nahitaji display ya dell latitude E4300

    mwenye kuuza tafadhali mwaga maelezo yako hapa...
  18. mysteryman

    Say something about your mother as if God is in front of you .

    ewe mola wangu msamehe mama yangu dhambi zake zote, umrehemu na umpumzishe kwa amani mahali pema peponi.....aamin
Back
Top Bottom