Butiku alikuwa Katibu wa Nyerere …..watoto wa Mwalimu huwa wanamlaumu kuwa wakati baba Yao Akiwa busy na kazi ni yeye alitakiwa kufanya kazi ya kuweka mambo Yao sawa ……..akawa anajinufaisha Binafsi
WATOTO wa wakubwa wakipendelewa mnalalamika wasipopendelewa tunanasema spoon feeding …… baba Yao Akiwa rais watoto wa nyerere watatu wa kuzaaa wanaenda VITANI …..mmoja kama Askari wa miguuu na Wawili kama Maafisa jeshi [ marubani ] ….spoon feeding anaweza kumaliza mafunzo ya kijeshi ndani na nje...
Sijui TADEA Yule …..Makamu wa Kwanza Wa Rais Zanzibar anatoka Chama washirika kwenye SMZ huwezi kumuweka Kandi kama tunahubiri maridhiano …au ashindwe hata kufika Mangapwani
Kwani huyu hajatembezwa barbarani kama Mwenge ?? Kutembezwa siku mbili na kutembezwa siku nne kote ni kutembezwa tu …Hakuna la utofauti ….
Hata huyo jumbe aliyesema asishikwe na dola walimshika na mizinga wakampiigia
HUYU MWANAYE ni rais so ilitegemea watu wengi wajitokeze kwa ajili yake kumsindikiza baba yake … kama Akija Diamond wanakuja iweje washindwe kujitokeza kumsapoti rais wao anaowafanyia miradi mingi mikubwa
KWELI uwanja umejaaa wanajeshi , na wanachuo wa polisi na usalama wa taifa …..hii kisiasa haijakaaa vyema …kwa saababu hata tukisema Mzee Mwinyi ni mzee hawamjui….huyu ni baba wa seating President ni jambo la kushangaza kama wananchi wameshindwa kujitokeza kumpa Faraja
Huwa Hilo haijalishi sana legacy huwa inaishi hata miaka Mia ….nyerere alipofariki maelfu ya watu walimiminika hata ambao hawakuwahi kumuona…..
Pengine tujifunze pia kutohodhi Misiba ..kwani inawafanya watu kuona huu ni msiba wao Yaani wa viongozi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.