Search results

  1. wailer hov

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Ni wilaya ya Hai sio Siha mkuu
  2. wailer hov

    CRDB mpo sawa kweli?

    Hiyo charges sio bank wanaziweka Bali ni kwa wanaotengeneza kadi (Visa card/ Master card) ,kumbuka hizi Bank hazitengenezi kadi ndio maana ya kupata kadi mpya, kurenew iliyoisha muda, kutengeneza kadi mpya baada ya kuharibika/kupotea gharama ni TOFAUTI. Muhimu tujue imekaa muda gani kabla...
  3. wailer hov

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Mamba pale wanakuja wakitokea mto Mbuguni, 2006 kuna mzungu alishambuliwa na mamba akafa akiwa anatibiwa nje. Meno ya mamba yana sumu kali sana
  4. wailer hov

    Mbeya: Polisi wamsaka Dereva aliyesababisha ajali ya kugonga gari kadhaa ikiwemo Daladala

    Hapo lilikuwa linashuka Simike-Mbembela, yanapoanza kusimamishwa ni Iwambi.
  5. wailer hov

    Nyumba, Duka vinauzwa na NMB Bank

    Daaah Ngujini, Kirongwe, Kirongaya, Ndanda to Lomwe, Baghdad mitaa flani bandidu sana
  6. wailer hov

    Wamasai wanakwenda kuua misaada ya UN na EU kwa Tanzania; Ngorongoro imetugeuka vibaya

    Kiongozi, neno Afrika na Africa katika matumizi ya maeneo/ bara yanatumikaje? Mfano hapo neno Asia umeutumia kwenye sentensi ya Kiswahili na unauweza kuutumia kwenye sentensi ya kiingereza pia hivyohivyo. Je, ya kwetu imetofautishwa na nini?
  7. wailer hov

    Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    Kingine, je ashaanza kuwekeza hivyo anaongeza uwekezaji? Au unaanza 0?
  8. wailer hov

    TANZIA Mcheza mieleka, Bray Wyatt afariki dunia

    Batista Lane ndugu yake Undertake Edge Umaga
  9. wailer hov

    Hii ndio orodha ya wasanii, maproducer, watangazaji wababe kwenye Bongo Flava, kichapo nje nje!!

    Kabla ya mbanga Lord Eyez alikuwa fit sana amini juu hadi chini..basi tu maisha na nyakati zinapita 2008 huko
  10. wailer hov

    Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

    Wanaenda kwa mkataba wa milele! ! Watu hawajakataa uwezekezaji ni mzuri na kwa wazi baina ya pande mbili, basi.
  11. wailer hov

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa NIGER (Russia + Wagner) na ECOWAS (France + Nato + USA). Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Swadakta ndugu, kwa waliosoma history O level hichi kitabu kilikuwepo kwenye vipindi.
  12. wailer hov

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa NIGER (Russia + Wagner) na ECOWAS (France + Nato + USA). Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Walter Rodney ni mzaliwa wa Guyana Caribbean, aliwahi kuwa mkufunzi UDSM aliuliwa Guyana [emoji1121] Caribbean ... How Europe underdeveloped Afrika..
  13. wailer hov

    Hamza Johari: Asilimia 35 ya Hisia za DP World zitamilikiwa na Watanzania. Wakosoaji someni vizuri mkataba

    Serikali ya Djibouti walikuwa na hisa 67%, DP WORLD 37%. Kilichotokea Mahakama ya Hong Kong 2022, Djibouti chali na kutakiwa kulipa $686.5 MIL wakati gharama ya mradi ilikuwa $359.5 MIL. Hivyo sio sababu, vipengele vipitiwe vizuri hata kwa mara 10.
  14. wailer hov

    Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Bila kumsahau King Kola wa Waya Mkali FC
  15. wailer hov

    Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Kiongozi japo umekaa kwa walami muda mrefu unaandika kiswahili kimenyooka sana, tunajifunza.
Back
Top Bottom