Search results

  1. B

    Yanga ni kama mgumba au ajuzaa aliyepata mimba akiwa na miaka 86

    Acha uongo, una mnamwonea wivu kwani ni kama Kigali wa 20,ishirini hivi aliyejaaliwa vyote vyote🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
  2. B

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yoyote

    Kumbe akina Mwashamba mpo mpo wengi
  3. B

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Unagawana naye ama unamdai🤔
  4. B

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Hawafi ng'oo kwani wadada,na wamama visirani kamaaa vyoooteee🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🤪
  5. B

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Wewe mshahara wa Marope unakuhusu nini😁
  6. B

    Kelele za Wabunge juu ya Kikokotoo sababu ya Uchaguzi?

    Wahuni wanasema wa naa wote niwakuwatosa kwenye chafuzi kibaharia🤪
  7. B

    Kwanini CHADEMA huwa inashindwa kusaidia wananchi hata kilo moja tu ya sukari wanapopatwa na matatizo?

    Luca Chadema ipo mioyoni mwa wananchi yenyewe inawasaidia kujua kwanini wanafikia hatua ya kuomba kusaidiwa kilo moja ya sukari,nini visababishi vyake na nani anavisababisha kama ni chawa wanaambiwa kama ni wenye chawa wananchi wanasaidiwa kujua.Ili kila siku wasiwe maskini.Kumbuka ni CHAMA CHA...
  8. B

    Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    A Aende jela na tushuhudie akienda jela na kuadhibiwa vilivyo pia yafukuliwe makaburi atuambie uhusika na waliotoweka kusikojulikana🤪
  9. B

    Naombeni ushauri nimeshalala na wanawake 200 na bado sijarizika

    Wewe kwa ulipofikia iwapo sii chai ya barafu,utakuwa unaombewa na mapepo machafu😁
  10. B

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Uwezekano wa rafiki wa karibu aliyedukua taarifa za ndugu je?
  11. B

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Kwani mna mwana familia chenga chenga kutoka familia yenu yupo kwenye hilo bank🤔
  12. B

    Mzize kwenda Azam ni kujimaliza kisoka

    🦁 nyie hangaikeni na Ngunguri wenu,tuacheni siye wananchi😝
  13. B

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Kimataifa mwakani sisi mabingwa,wasouth walitufanyia fitna wakati huu🤔
  14. B

    Wapinzani wamepoteza Mwelekeo? Hawana Sera?

    Sawa Maarifa kuna jambo lingine🤔
  15. B

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Ndugu Kipara Kipya,hiyo ni tetesi tuu au mtanziko wa kuyoyoma ubingwa wa ligi na Crdb confederation kwa🦁
  16. B

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    Luca kwenye sii hasa kuna vituko na vihoja vingi mno kama sii mwana sii hasa,wala usijaribu na hata namba yako usiiiweje tena.Kwani wana siii hasa wana kuambia hakuna adui wa kudumu na wala rafiki wa kudumu,kubwa ni unayapataje maslahi yako na kundi lako😁
Back
Top Bottom