Search results

  1. asahd

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    🤣🤣🤣
  2. asahd

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sub ya rashford ilikuwa haina maana 🚮 Unatoa casemiro unamuweka mctominay 🚮 Zile sub zake unakaa unajiuliza pana kocha hapa
  3. asahd

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sportybet wamekuwa wagumu kutoa cashout
  4. asahd

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mbona kama kafanya siuuu
  5. asahd

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Bora Manchester City wachukue Ubingwa Mara 10 mfululizo kuliko arsenal kuchukua mara moja…✍🏽📌
  6. asahd

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bora Manchester City wachukue Ubingwa Mara 10 mfululizo kuliko arsenal kuchukua mara moja…✍🏽📌
  7. asahd

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ukaona kuwa Mtanzania Haitoshi ukaamua kuwa Shabiki wa Chelsea!🤣
  8. asahd

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    😂😂😂😂😂
  9. asahd

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uzi umepoa sana sikuhizi ni vipigo ama nini?
  10. asahd

    Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

    Vampire diaries ni number ngapi kwako?
  11. asahd

    Ipi simu nzuri kati ya iPhone 8 plus, iPhone X, iPhone XR, iPhone XS, iPhone SE na iPhone 11?

    midrange ipi nzuri kwa xiaomi napata kwa bei hiyo mkuu?
  12. asahd

    Ipi simu nzuri kati ya iPhone 8 plus, iPhone X, iPhone XR, iPhone XS, iPhone SE na iPhone 11?

    Mkuu samahani kuna mtu anataka kuniuzia iphone se 2022 kwa 470k hiyo bei ni sawa au ananipiga,ukiangalia ubora wa hio simu na bei hiyo vinaendana?.
  13. asahd

    Washkaji wenye Afro mnafanyaje nywele zinakuwa nyingi kiasi hicho

    Tumia mafuta ya belavista, wana akaunti Instagram wanauza online mafuta yao ni mazuri sana na yanajaza nywele na kuzuia kukatika mimi niliwahi tumia.
  14. asahd

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Arsena wanakutana na Manchester United Mpya Huku Hojland kule Amrabat kushoto Sergio Reguilón nyie.!!😂
  15. asahd

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  16. asahd

    Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

    kabhi alvida na kehna Veer zaara Kal ho ana hoo Devdas Om shanti om My name is khan Koyla
  17. asahd

    Must see Movies

  18. asahd

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nauza screenshot ya msimamo wa ligi ya Uingereza, arsenal anaongoza ligi😂😂 WAHI SASA OFA NI YA MUDA MFUPI
Back
Top Bottom