Search results

  1. C

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Diwani wa Arusha mjini anaitwa Mh viola
  2. C

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Nimesoma kwenye gazeti la nipashe, chadema wanataka watu 100,000 wawachangie kila mwezi shilingi 1,000 kila mwezi ili wapate shilingi 100,000,000 milioni mia moja. Jamani humu tupo wana chadema zaidi ya 120,000 na waccm wachache wanaoipenda chadema hebu tutume na viongozi wa chadema wa kanda...
  3. C

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Mchukue ukae nae kama unamtaka na kuchangia chadema tunachanga.
  4. C

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Nenda kashtaki basi wewe unawashwa nini?
  5. C

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Asante nimepokea ujumbe kuwa nimechangia kanda ya kaskazini.
  6. C

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Lakini ccm wakiwaambia mchangie mnachangia mbona huko wamejaa mafisadi wote wa nchi hii
  7. C

    Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Hongera kanda ya kaskazini very creative nimeshatuma mchango wangu kila mwezi 5000
  8. C

    CHADEMA kanda ya Kaskazini yagawa pikipiki za kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa madiwani

    Kazi nzuri chadema na bro golugwa ongezeni pia zile m4c for wheel drive kila jimbo ziwepo.
  9. C

    Mauaji ya Mwanachuo wa Uhasibu - CHADEMA kuhusishwa

    Mwanafunzi kauwawa, yeye anaanza kutoa kejeli kwa wanafunzi kuwa hawana adabu na kisha anaanza kuhangaika na Lema badala ya kushughulika na kuwatafuta wauaji. Wamesema wataandamana ili mhe rais kikwete amhamishe kwa maana yeye ndio hana adabu na utu hata kidogo.
  10. C

    Mauaji ya Mwanachuo wa Uhasibu - CHADEMA kuhusishwa

    Mambo yamefika pabaya. Mkuu wa mkoa ameamua kufanya mchezo alioukusudia kuwa mauaji ya mwanachuo wa uhasibu Henry aliyeuwawa na watu wasiojulikana usiku wa jana ni ya kisiasa na kuwa wanasiasa wanahusika. Mpango ni kumhusisha Lema ili kumchinja kisiasa. Wanausalama wa taifa wawili waliokuwa...
  11. C

    CHADEMA Arusha yaingia kwenye mabaraza ya katiba kwa kutumia jina la CCM

    CCM walikuwa wamejipanga kuwafutilia mbali wanachadema wote walioomba uwakilishi kwenye mabaraza ya katiba. Mkakati wa wagombea wa chadema ikawa ni kujitambulisha kuwa wao ni wana CCM. Mmoja wao ni Mchungaji mmoja ambaye huwa anahubiri kwenye radio moja hapa jijini arusha ambaye alipewa mpaka...
  12. C

    Sherehe za CCM Dodoma Zaingia doa, Wang'oa bendera ya CHADEMA, Aden Rage ashuhudia

    Inaumiza sana kwa wengi waliiona tukio la dodoma ambalo CCM kwa makusudi wakiongozwa na wabunge wao rage, chatanda, nyangwine kwenda kuvamia na kutoa bendera ya chadema na kuitoa. Makada wa chadema walipifika ili bendera yao irudishwe wamewafanyia vurugu halafu na kuwapiga kama mbwa mwizi na...
  13. C

    Lema asitisha wanafunzi kuendelea kusoma Korona Sec

    Nilikuwepo kwenye ziara hiyo ya mbunge alipotembelea sekondari ya korona hapa mjini arusha. Afisa elimu alikuwepo, mkuu wa shule, diwani, kaimu mkurugenzi wa jiji. Akaamuliza mkurugenzi kama baraza la madiwani lilishaamua ijengwe bweni kabla ya wanafunzi hawajafungua shule mwaka wa masomo 2013...
  14. C

    Tamko la CHADEMA kukanusha madai ya CUF kufanyiwa vurugu Arusha

    Huu mchezo umepangwa, v4c ni usanii wa kufifisha m4c. Lipumba ni pazia tu pale system walishakiteka CUf siku nyingi
  15. C

    Arusha Press Club tumeaibisha - Kifo cha Mwangosi

    Viongozi wa Arusha Press club tumeshindwa kuwaelewa. Tumekaa tukisubiria wote kufanya maandamani ya AMANI kupinga mauaji ya kikatili aliyofanyiwa daudi mwangosi. Tumeshangaa wamekuja na taarifa kutoka POLISI kuwa maandamano yamezuiliwa kwa sababu darasa la saba wanajiandaa na mitihani. Jamani...
  16. C

    M4C yatinga tena Washington DC - Kstibu wa CDM Arusha aenda kulinoa zaidi

    Baada ya kuzinduliwa hivi karibuni, tawi la CDM DC, Maryland na Virginia wamemualika katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Mhe Amani Golugwa kwenda kulijenga na kusimamia uchaguzi mdogo wa TAWI wa viongozi wa chama. Kabla ya uchaguzi huo mwenyekiti wa muda wa tawi alikuwa ni mhe kalley pandukizi...
  17. C

    Bungeni Live: June 28, 2012

    Leo kwenye kipindi cha maswali kwa waziri mkuu, Mhe Pinda amesema yeye sio Mcha Mungu. Hivi huyu waziri mkuu anatumia akili kweli?? Hana HOFU ya MUNGU ndio maana anakuwa muongo, muoga wa kuchukua maamuzi na dhaifu katika kuendesha serikali. Amekiri ameshindwa kutatua mgogoro wa madaktari halafu...
  18. C

    Penda msipende CHADEMA lazima ichukue nchi 2015

    Hatimaye uhuru wa Tanzania utapatikana rasmi mwaka 2015, uhuru kutoka utawala wa CCM uliochoka na kushindwa kuleta matumaini kwa Watanzania, hii ni lazima, ishara zote zimeshatimia (Imethibitika kisayansi ya siasa CCM haikarabatiki tena). Haitakuwa rahisi sana, kutakuwa na pingamizi mahakamani...
  19. C

    Mhe Nyalandu usisingizie CCM jichunguze tabia zako mwenyewe

    Lawama ambazo mhe nyalandu amekuwa akizitupa kuwa anafanyiwa fitina na chama (ccm) si za kweli. Tabia za mbunge huyu za majidai na majigambo kuwa yeye ni mtawala na kuwa wamarekani wamekuwa wanamtaka awe rais wa Tanzania ndio chanzo cha yote haya na zimemfanya kuwa na kiburi kibaya sana. Shutuma...
  20. C

    Mch Msigwa avamiwa na vijana wenye mapanga -CCM watengeneza propaganda kuwa anagawa hela za bodaboda

    Vijana wa CCM waliovalia kombati za chadema kuanzia wiki iliyopita wamekuwa wakipita na kugawa fedha kiasi cha shilingi 30,000 hadi 50,000 kwa vijana wenye pikipiki katika maeneo ya usa, tengeru na maji ya chai. Mpango huo wa kufitinisha ambao unaratibiwa na Mwigulu Nchemba inasemekana wamekuwa...
Back
Top Bottom