Search results

  1. M

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Jamani naomba kwa wenye wanajua wapi naweza kupata connection ya kazi. Tusaidiane ndugu zangu Mimi ni binti miaka 24 Napatikana tabata DSM Elimu kidato cha 4 Pia nimesoma computer basic applications na niko vizuri kwenye Ms Word, Ms Excel ,PowerPoint, Publisher na hata matumizi ya internet...
  2. M

    Nina uzoefu wa kazi za Usecretary na Uwakala wa makampuni mbalimbali, natafuta kazi yoyote halali

    Wakuu Poleni na majukumu Mimi ni binti wa miaka 24, naishi Tabata Dar es Salaam. Nimehitimu kidato cha nne mwaka 2013, ila kutokana na sababu za kiuchumi nlishindwa kwenda chuo. Baadaye nilifanikiwa kusoma computer. Najua kuongea na kuandika Kiingereza na Kiswahili. Najua kutumia NMB na Equity...
  3. M

    DART wameita usaili?

    Habari za jumapili wakuu.... Kuna hizi nafasi DART walitangaza na deadline ilikuwa tar 3.nasikia tetesi wameita usaili, ni kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne na uzoefu wa kazi mbalimbali zikiwemo za cashier

    Wakuu Poleni na majukumu Mimi ni binti wa miaka 24, naishi Tabata Dar Es salaam. Nimehitimu kidato cha nne mwaka 2013, ila kutokana na sababu za kiuchumi nlishindwa kwenda chuo. Baadae nilifanikiwa kusoma computer .Najua kuongea na kuandika kingereza na kiswahili Najua kutumia NMB na Equity...
  5. M

    Ni sahihi kwa mwanamke kumzidi umri mwanaume katika ndoa?

    Habar WanaJF Naomba kufahamu; je ni sawa katka mahusiano hasa yanayolenga ndoa mwanamke kuwa mkubwa kwa mwanaume?
Back
Top Bottom