Search results

  1. M

    Naombeni ushauri, nimefukuzwa kazi

    Tunza akiba ya maneno ndugu yangu
  2. M

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Pm please, hapa wengi si wastaarabu
  3. M

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Idea ni nyingi mkuu. Tena hiyo milioni ni nyingi,nkipata 550000 nanunua frizer 400000, brenda 90000, kisha 60000 inayobaki nanunua matunda, galon za Lita 5 nne, sukari na umeme nalipa kwa siku tsh 2000. Lita 5 moja inatoa glas 18 za juice Galon 4(za Lita 5) ni sawa na glas 72 Glas moja nauza...
  4. M

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Wengine n matapeli ndugu yangu
  5. M

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    0654476802 lipo la watu wawili,na mtu mmoja mmoja wawili
  6. M

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Sawa kaka, nakutafuta.
  7. M

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Jamani naomba kwa wenye wanajua wapi naweza kupata connection ya kazi. Tusaidiane ndugu zangu Mimi ni binti miaka 24 Napatikana tabata DSM Elimu kidato cha 4 Pia nimesoma computer basic applications na niko vizuri kwenye Ms Word, Ms Excel ,PowerPoint, Publisher na hata matumizi ya internet...
  8. M

    Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?

    Weee elf 13. Nanunua kilo 3 za mchele, kilo ya maharage na mkaa wa kutosha. Napona njaa wiki nzima
  9. M

    Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?

    Jaman na Hawa vipi nshaurin nsije nkapigwa kahela kangu ka mchicha
  10. M

    Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?

    Mimi nlitumiwagwa hyo msg na sikuwa nimefanya application yoyote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nlipogundua n matapeli Wala sikuwaacha salama. Tulienda sambamba hadi wakajua wao ndo wanakaribia kutapeliwa
Back
Top Bottom