Search results

  1. musa_ali

    Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

    SIJAONA POPOTE MAGUFULI AKIJIBU HOJA MBALIMBALI ZAIDI YA KUORODHESHA ALIYOYAFANYA NA KUJINASIBU...HIYO SINGLE TUSHAICHOKA. AJIBU HOJA.
  2. musa_ali

    Adhabu kali zilizowahi kutolewa duniani

    ACHA UZWAZAZWA, KUGONGELEWA MISUMARI NA KUCHAPWA MIJELEDI sijui fimbo NAYO NI ADHABU? stori ya yesu ni ya watoto. ADHABU NDO KAMA HIZO ZA MTOA MADA.
  3. musa_ali

    Freeman Mbowe ni mgonjwa, ameenda kwenye matibabu Afrika Kusini

    JIWE NA DAB HELA ZA KUNUNUA UPINZANI ZIMEISHA, SASA WAMEANZA KULISHA SUMU WAPINZANI WASIONUNULIKA. eti TISS hapo ndo wanajiona ni Usalama wa Taifa!!
  4. musa_ali

    Nimeachana na mpenzi wangu siku 14 kabla ya harusi baada ya kugundua ana mtoto

    HWAKUMAANISHA MTOTO...WALIMAANISHA BOGA NI NDUGU WA MKE.
  5. musa_ali

    Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

    NAOMBA TU ASISEME HATA UCHUMI UKIYUMBA ATATUMIA JESHI KUUOKOA.
  6. musa_ali

    Licha ya Serikali ya Tanzania kujitetea kwa Barua Pepe, IMF yataka taarifa rasmi kuhusu mabadiliko ya Sheria ya Takwimu

    BADALA YA JIWE KUTAFUTA SULUHU NA IMF, WB & Co. YEYE ANAJIANDAA KWENDA KWENYE KONGAMANO UDSM KUDANGANYA WATANZANIA NA KUTISHA WAPINZANI. jiwe halina damu kabisa.
  7. musa_ali

    Dar: RC Makonda awataka wakazi wa Dar kufuta picha za ngono kwenye simu zao kabla ya Jumatatu

    Bashite anajua kuchez na akili za wakazi wa Dar. Ahamishiwe Mwanza au Arusha aone tutakavyomkaza mshono.
  8. musa_ali

    Ninaandika na kuuza Proposal za Biashara, Miradi na Idea mbalimbali.

    Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo. Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au hata za kushindania Tender flani, etc. Ni mwajiriwa wa muda mrefu kwenye Kampuni ambayo kazi yetu ni...
  9. musa_ali

    Rais Magufuli 'kutema madini' kuhusu uchumi UDSM tarehe 1/11/2018

    KONGAMANO LA KIBAGUZI HILO...HALINA HATA MWANAMKE MMOJA...YOTE MIDUME TU, ETI INAENDA KUJADILI UCHUMI. HAWAJUI BEHIND EVERY SUCCESSFUL MAN THERE'S A WOMAN? WAMESHINDWA KUMUALIKA HATA MARIA SARUNGI AU MAMA SAMIA. SHWAIN.
  10. musa_ali

    Nianzishe biashara gani ili niweze kujikimu?

    Nimegundua ni kwanini Tanzania haiendelei vyema, unaweza kuwa umetoka kucheza chandimu(mpira wa makaratasi), ukacharazwa viboko na mzazi kwanini umejichafua.
  11. musa_ali

    Kampuni ya MeTL "Mo Dewji" yakanusha habari ya kufunga Viwanda vyake tarehe 20 Oct 2018

    MAGUFULI KAONA MUDA UNAENDA NA HANA KIWANDA HATA KIMOJA....KWAHIYO KAMMALIZA MO ILI ATAIFISHE VIWANDA HALAFU 2020 AWE KISHABADILI MAJINA NA NEMBO ZA VIWANDA NDO ASEME "ONENI VIWANDA...NIMETEKELEZA!" HATA NYERERE NASKIA ALITAIFISHA VIWANDA NA MAJENGO...ETI NDO UHURU NA KUKUKUA KIUCHUMI.
  12. musa_ali

    Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Wakuu, Ni muda sijaonekana, ila imebidi nijibane japo niingie Internet Cafe niseme neno. Mo Dewji ni Mtanzania, ila ni Mwarabu pia. Kwahiyo Serikali inapofanya Tacts zake ili kujisongesha, ikumbuke inadili na watu, because of course bado mtaji ni watu, ndio maana hata Somalia, Al Shabaabu...
  13. musa_ali

    Watanzania Wanakula wastani wa kilo 8 tu za samaki kwa mwaka

    LABDA HUKO DAR NA MIKOA ISIYO NA MAZIWA WALA BAHARI. SISI MWANZA TUNAKULA CHAI NI SAMAKI, MCHANA NA USIKU NI SAMAKI...UNAKULA SAMAKI MZIMA...SIO KIPANDE...HATA SERIKALI INAPOKUJA NA KUZIPIMA NA RULA IKIMALIZA ZINALIWA....KWAHYO ZUNNGUMZIA DAR MKUU..wazee wa kibua kipande na kamkia ka pweza kwa...
  14. musa_ali

    MOSHI : Maswali 10 yenye utata kifo cha dereva wa Hiace

    Mimi siku hizi nawaita Polisi; USALAMA WA CCM...SIO WA RAIA TENA.
  15. musa_ali

    Maajabu ya MV Nyerere; michango ndio iliyolipa wafiwa na wahanga, na watoa huduma kujilipa laki 4 kila mtu. Serikali haijatoa chochote mfuko wa maafa

    NAWAZA KWA AKILI KUBWA: ISIJEKUWA SERIKALI NDO INATENGENEZA AJALI HIZI/MAJANGA HAYA ILI IPIGE RAMBIRAMBI ZISAIDIE KUTEKELEZA AJENDA ZA SERIKALI, KUKIJENGA CHAMA NA KUJIANDAA NA UCHAGUZI UJAO. maana kwa kagera na wanafunzi wa arusha tulidhani ni bahati mbaya. Kwahiyo huenda awamu hii imeona Kifo...
  16. musa_ali

    Natafuta tiba ya Depression

    Ni process ya kubadili Mentality...kukusaidia ni hadi kukaa na wewe niku examine, counter-examine na kukusoma psychology na kukufanyia counselling kwa angle zote: dini, jamii, maisha yako etc. So sio ishu ndogo ya kuandika hapa na by the way siwez kupata huo muda
  17. musa_ali

    Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

    MBONA MNATISHA WATU WAKIONGEA FACTS? NANI ANAOGOPOA KIFO...KAMA WATU 200 WAMEKUFA WITHIN 2 DAYS IJE KUWA ZITTO AU MIMI AU FLANI? HASIKII UOGO WALA UKWELI.
  18. musa_ali

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    KAFALA LIMESHAKAMILIKA...HATA MCHONGE MIDOMO, RAMBIRAMBI NI ZA MNARA, MAANA TUKUWAPA WAFIWA KAFALA LITATENGULIWA. ITAKUWA HASARA.
Back
Top Bottom