Search results

  1. Holly Star

    Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

    Nimeconcentrate kusoma thread ulivotaja jina lako tu nikaishia hspo sababu najua hakuna zuri uliloandika zaidi ya kumsifia mama yako
  2. Holly Star

    Namna ya kufunga network kwenye jengo

    Nawashangaa hawa madogo ndo unakuta network ipo kama kuku kapita kwenye tope
  3. Holly Star

    Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

    Inaenda mrama upigaji umetamalaki
  4. Holly Star

    GB whatsap ndo nataka kupigwa ban

    Nishajisalimisha whatsap busines ila inaboa balaa
  5. Holly Star

    GB whatsap ndo nataka kupigwa ban

    Gb whatsap kuhama ndo sihami, whatsap kawaida ni kama chai ya rangi isiyo na sukari
  6. Holly Star

    GB whatsap ndo nataka kupigwa ban

    Wakuu kwema mm sio mambo mengi kwenye whatsap, naeza tuma sms kwa siku hata 10 hazifiki picha kwa siku naweza nisitume ama video ila hawa whatsap siwaelewi hii sms yao inamaana wwnataka kunipiga rula
  7. Holly Star

    Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Alitabiri ndege kuanguka mengine ni utabiri unaweza kutokea au isitokee
  8. Holly Star

    Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Wakuu hii ni true story Niko UDSM mwaka 2007 nikiwa nakaa mabibo hostel Mke wa boss mmoja wa bandali alikuwa mwalimu wa primary grade 1, alikuwa anasoma BAED na jamà yangu walikuwa wanasoma kozi moja na wote walikuwa walimu wa grade A, wakapendana bana, jamaa naye alikuwa mme wa mtu. UNAFIKI...
  9. Holly Star

    Muenzi mke wako

    Mungu alisema muishi nao kwa akili wewe unatuletea mafundisho ya uwongo
  10. Holly Star

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Kasome veta mkuu ada 60000 kwa mwaka huezi lala njaa vijanà wanaomaliza veta ukipigika umetaka mwenyewe
  11. Holly Star

    Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    Mwa 3:16 SUV Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala. Mtoa mada wewe ni dini gani? Hebu chukua mda kusoma fungu hili, weka msisitizo sentensi yaa mwisho
  12. Holly Star

    Nimesoma kilimo, natafuta kazi ya Agronomist

    Bikiwa nazo hizo ukivuna unaniletea bei gani.3mil hela ndogo
Back
Top Bottom