Search results

  1. 42774277

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Hii maji ya moto infanya kazi 100% kabla hujalala chemsha maji mwaga kuzunguka kitanda chako linamoishia godoro. hatobaki hata mmoja.,
  2. 42774277

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Miaka miwili mnateseka na kunguni,???? Mimi kunguni walinitesa siku moja tu, next day maji ya moto kwenye edge za kitanda yaliwahusu. I five days waliisha wote ila kuanzia hiyo siku ya pili niliyopiga maji nililala kwa amani sana.,
  3. 42774277

    Nahitaji eneo (fenced) au nyumba standalone kwa ajili ya garage.

    Nahitaji eneo la gereji(fenced) au nyumba stand alone. Location ni maeneo ya kuanzia ubungo kuja mjini (ubungo yenyewe, sinza mwenge, mikocheni, magomeni, mabibo, external, n.k.) 0688 758 625
  4. 42774277

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyu Sterling hata kama huwa hayuko consinstence ila match ya City alideserve 100% man of the match, Alisumbua sana ile winger ya kushoto, Ilikuwa ni Nightmare kwa Walker na Rodri, Hata alipohamia kulia bado alikiwasha, nayakumbuka matukio mawili, Cross aliyimpa Broja na baadae ikazalisha...
  5. 42774277

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kuwa na adabu man.city alikukanda 3 bila hukuomba hata maji,
  6. 42774277

    Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

    Kweli inazikitisha Bro, this shows how men wamekosa kazi, Kama mtu anadhani kufake maisha humu ndani ni rahisi na yeye akafeki maisha, Hakuna mtu atakukodishia RR au MB kwa 20k, Nauli za ndege mnazijua, hotel na appartment classic mnazijua bei zake.
  7. 42774277

    Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

    all these things zinahitaji pesa au mbona mnazungumza kama ni kitu kila mtu anaweza? How many times amepost video yukokwenye ndege? Hiyo video yake ya vimbao watu wameona mbao tu ila hawakuona pesa, sisi wabongo tuna matatizo mengi.
  8. 42774277

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Infinite Athlete, Infinite Goals msije sema sikuwaambia
  9. 42774277

    Changamoto nayopitia bank ya FNB

    Beba nida nenda tawi la benk hakuna mahitaji yoyote, me nilifungua kwa voters id mwaka 2017, By then account niliyokuwa natumia haikuwa na makato, zaidi labda wakati wa kutoa hela, ila makato ya mwezi hayakuwepo, labda wataalamu watakuja na maelezo zaidi.
  10. 42774277

    NMB wana makato ya ajabu ajabu

    Natamani kurudi equity bank ila nlishaburn bridges. 2018 nmemaliza chuo maisha yamenichapa si wakajikoroga wakaniwekea 100k faster sana nikaitoa mpaka kesho sielewi hata kadi yangu iko wapi na sijui kama account yangu inaexist.
  11. 42774277

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    https://mobile.yangkeduo.com/goods1.html?goods_id=414826411145&page_from=101&pxq_secret_key=I7TICG3XPXPDPHRR32RBN75VVWF4SVTMVP3AOOI53CLICL64O5UQ&_oak_share_snapshot_num=3790&_oak_share_detail_id=3115725427&_oak_share_time=1693885810&share_uin=CS3UZFII36GE32V3L2OPK56UJU_GEXDA&refer_share_id=43140e...
  12. 42774277

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwa kweli tuna laana. . . . Sijaangalia mpira ila naona kama kushuka daraja kunatuita.
  13. 42774277

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Me nmeagiza pan 5 za nonstick za 14cm mpaka 22cm. Nimelipa 30,000 tu, nasubiri kupokea.
  14. 42774277

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kwisha nyinyi
  15. 42774277

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Wanasema Kariakoo yapo bei ni 150,000 ila siyo kampuni kama hiyo
  16. 42774277

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    hamna induction cooker isiyochagua sufuria.
  17. 42774277

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    3500W sijui nitapikia nn, imagine 2200W tu temperature huwa inafika 350°C. Deep frying unafanya kwenye around 1800 watt tu. Mimi huwa naweka 2200W kama nataka kuchemsha kitu sababu najua kitachemka haraka. Ila vyakula vingi napika kwa 1000w mpaka 1300w. Wali napika kwa 1300W na maji...
  18. 42774277

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Vitu huwa vinamwagika na hamna shida yoyote. Hilo jiko juu ni kioo tupu, sasa hata vitu vikimwagika hamna effect yoyote ya umeme utakayopata. Hivi watu mnauogopa umeme kwa extent hiyo?
Back
Top Bottom