Search results

  1. kitaruo

    Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    Tafta hela Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  2. kitaruo

    Kipigo kimenyong'onyea: Zelensky aililia China isaidie kumaliza vita yake na Urusi

    Kweli ungekuta hii vita kashinda kitambo na kawin baadhi ya majimbo ya ukraine. Hata na hivyo, taiwan ungekuta kitambo imeshavamiwa na china. Navyo ona, china ameshindw kwasababu, anawezapoteza silaha zake zote na mwisho wa siku akaambulia patupu Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  3. kitaruo

    Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    Haya maandiko ni matakatifu mmno
  4. kitaruo

    Hongera uongozi wa Yanga kusimama na Haji Manara, Simba wajifunze

    Karia ndo kaitukana yanga
  5. kitaruo

    Tanga kweli ndiko mapenzi yalikozaliwa, ushuhuda wangu huu hapa

    We **** tumemaliza wote nilikua cbg ww
  6. kitaruo

    Mwili wa Padre aliyetoweka jimboni Mbeya Juni 10, waokotwa kando ya mto

    Huyu padri ni mgeni, wengi huwa majasusi, wanapogundilika, wako chini ya kanisa, habari yao huisha hapo hapo
  7. kitaruo

    Said alimpenda mkewe kupitiliza

    Saidi kajifunzia mapenzi ukubwani
  8. kitaruo

    Xerox Printer and photocopy

    Tumia kanon ni cheap na bei rahis
  9. kitaruo

    Simuelewi Baba Mkwe wangu

    Jikngeze, huyo mzee anaona huna hadhi ya kuwa na mwanae Alitaka mwanae aoelewe na mtu aliye toka familia yenye status. Anakuona tuu dunga dunga, yaani play boy unamchezea mwanae na siku si nyingi utamuacha Hata na hivyo hawez kukutambulisha mbele za watu kuwa ww ni mume wa mwanae
  10. kitaruo

    Nilichoshudia leo kwa wanawake wanaojiuza

    Ki ufupi kaz ya umalaya ipo underated sana. Lakin wanasaidia jamii kwa namna moja au nyingine Mfano wasinge kiwepo kungekungekuwepo na matukio ya unyayasaji na ubakaji sana, lakin uwepo wao unapunguza matukio kama hayo Serekali ni muda mwafaka wa kuwapatia vitendea kaz na kutunga sera...
  11. kitaruo

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    PCCb washafanya yao huko
  12. kitaruo

    Je, WasafiBet ni ya Diamond Platinumz? Ukweli huu Hapa

    Mchongo ulikua wa billion tatu, diamond alilipwa toka mwaka jana, lobbiest aliye sababisha mchongo alipigwa, alitaka asilimia kumi, diamond akataka kumchukulia poa, amkadirie. Kampuni ingefunguliwa toka mwaka jana, kuchelewa kumetokana na nagotiator kutia mgomo, baada ya diaomd kutaka kumrusha...
  13. kitaruo

    Jamaa yangu ana pass Degree lakini tayari kapata kitengo

    Bado uko kwenye ulimwengu wa makaratasi mzee, utakula hivyo vyeti
Back
Top Bottom