Search results

  1. Letibaby

    ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

    Msaad account nkifungua haifunguki naambiwa incorrect password or username hap ttz n nn
  2. Letibaby

    Mwenye uzoefu na hizi kazi za kwenye nguzo Dar-es-Salaam

    Kazi zinakuepo lakini mara nyingi ukifika huko unakuta ni kazi ya machinga kuuza vyombo utalipwa KULINGANA na mauzo yako kwa siku. Ipo HIVYO tu.
  3. Letibaby

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Sima vzr post dr mbna amsema chimbo la pazia na pochi
  4. Letibaby

    Msaada wa tatizo hili kwenye Ajira Portal

    Hakuna nishandika nakuandik lkn inagoma
  5. Letibaby

    Msaada wa tatizo hili kwenye Ajira Portal

    Naomba msaada kila nikifungua account ya ajira portal nambiwa invalid email or password wakt naweka ni sahihi kabisa. Naomba msaada tafadhari [emoji22]
  6. Letibaby

    Natafuta kazi Supermarket, Sheli n.k

    Habari naitwa LETICIA CHARLES nafuta kazi, Supermarket, Customer Service or Sheli, ni muaminfu na mwelevu, umri miaka 24 Kama kuna mtu anaweza kunisadia au kama kuna mtu anahitaji mtu uwezo ninao, nipo Dar es Salaam- Bunju [emoji120][emoji120] Contact 0757087572
  7. Letibaby

    Natafuta nafasi ya kazi za kujitolea katika taasisi & kampuni au shirika lolote

    Nkweli usemavyo lakin hainifanyi mm kukata tamaa still believe in karma
  8. Letibaby

    Natafuta nafasi ya kazi za kujitolea katika taasisi & kampuni au shirika lolote

    Nayo ni kazi kwa sababu sjafundishw kuchagua zaidi ya kupambana kwani mvumilivu hula mbivu.
  9. Letibaby

    Natafuta nafasi ya kazi za kujitolea katika taasisi & kampuni au shirika lolote

    Tatizo sio umri lakin ungetakiwa kufahamu kuhusu. Uwezo wa mtu unatka taifa lijengwe na wazeee au vijana hatuna nafasi Katika hilo kiongozi
  10. Letibaby

    Natafuta nafasi ya kazi za kujitolea katika taasisi & kampuni au shirika lolote

    Elimu yangu shahada ya utumishi wa umma(Bachelor in Public Administration). Umri miaka (23) Mahali ni Dodoma.
  11. Letibaby

    Msaada kwa mtu anayeota ndoto

    Hhhhhhhjaahhjjjaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji102]
  12. Letibaby

    Msaada kwa mtu anayeota ndoto

    Samhan ndugu jamaa na marafiki nlkuwa naomba msaad kwa mtu mwenye ufaham wa baadh ya hizi ndoto aniambie maan ak... Kuota NYOKA MAPAMBANO SAFARI NA KUPAA
  13. Letibaby

    Spika Ndugai ampa zawadi ya Tsh 10 milioni mhudumu wa ofisi yake mama Kavishe kwa utumishi uliotukuka!

    Mm sizan kama ilkuwa na maan kuanza kupongezana ndani ya bunge wakati kuna mamb ya msingi ya kujadili yanayohusu maendeleo
  14. Letibaby

    Spika Ndugai ampa zawadi ya Tsh 10 milioni mhudumu wa ofisi yake mama Kavishe kwa utumishi uliotukuka!

    Hivi kwanin hizo pesa zisingetumika hata kuwasaidia wajasilia mali wadog wadog ilkiweza kujiinua uchumi na kipato cha nchi.Kulko kifnyakazi ya kuwawezesha ambao wanajiweza hayo ni matumizi mabaya ya pesa.
  15. Letibaby

    UJAMAA: Mfumo rafiki kwa maendeleo ya Tanzania. China imeendelea kwa sababu ya ujamaa uliopo mpaka sasa

    Mim nazan maendeleo yantegemeana mwamko wa watu wenyewe kam jamii siyo tegemezi sanaa hapa lazma maendeleo yawep lakin katika kutazamia mfumo nchi inaweza kuwa ya kijamaa au ya kibepari and still the problem of underdevelopment existing,, uongozi bora,mwamko kwa jamii na utendekaji bora hvi ndy...
Back
Top Bottom