Search results

  1. swakid

    Samia ndio raisi...

    Wacha nikavute mibangi yangu. Ripoti ya cag imeshanizingua kabisaaaa. Amepewa sasa mama. Yani mama ndio raisi.... (malizia.)
  2. swakid

    Kwanini bangi ni kitu kinachopatikana duniani kote ila kinazuiwa kuuzwa?

    Hivi kwanin kila nchi, kila sahemu haikosekani bang? Nimepitia Kenya mitaa ya town pale kwa madhee na nk, theka theka mako go hadi del monte kule kwenye mlima, kisii mitaa ya keroka, gesima hadi mosobeti na masehemu kibao mengine. Ni mzawa wa dar, nimeishi kko, Palestina hadi mori, majumba6...
  3. swakid

    The patriotic Ugandan dictator

    Waganda mna bahati sana. Mtachekwa sana ila nyinyi ni afueni kuliko sisi majirani zenu. Huyo dictator anaisaidia sana nchi yenu. Tz sisi ndio watu hovyo zaidi east africa. Viongozi wetu wanauza miradi mikubwa ya rare minerals kwa manufaa yao. Wameuza hadi gesi na bandari wapuuzi wale. Cha ajabu...
  4. swakid

    Uwanja wa Majaliwa Stadium unamilikiwa na nani?

    Vipi hali ndugu zangu. Hivi Majaliwa Stadia unamilikiwa na CCM au Waziri Mkuu mwenyewe? Mnaweza kumisaidia orodha ya viwanja vya CCM? Asanteni
  5. swakid

    Mlionielewa, nisaidieni kutengeneza playlist moja hatari

    Kuna mskaji kanipa mizuka, kanikumbusha mbaaaali saaaana. Aisee embu turudi nyuma kidogo... Crazy gk - sauti ya manka J nature - mtoto idi Ay - yule Fa - unaowa lini, alikufa kwa ngoma, hawajui tulipotoka, natamani, ingekuwa vipi, mabinti, kiboko yangu Mandojo n domo - dingi, taswira, wanoknok...
  6. swakid

    Waraka wa Wizara ya Nishati

    Swala hadi linaongelewa kwa msisitizo na kujibiwa kwa hisia ni maneno makali sana, ni dhahiri hii imekuwa changamoto sugu sasa. Hivi wanaosimamia hii Wizara ya Nishati, wanahisi nini wanapoona Wizara yao imeangukia pua nchi nzima? Kweli hii changamoto ipo au imetengenezwa? Hivi hamjiskii aibu...
  7. swakid

    Zaidi ya %80 ya watanzania hawajafika chuo kikuu?

    Tukitumia evidence ya maoni ya WATANZANIA kwenye threads za Jamii forums na social platforms nyingine kama Facebook, IG nk, ni dhahiri kuwa Tanzania kama taifa, inabidi tubadilishiwe mfumo wetu wa elimu na tununue nguvu kazi kutoka nchi zilizopiga hatua kielimu waje kufundisha kwenye shule zetu...
  8. swakid

    Ingekuwa wewe ungelipia?

    Hiki kisa hakikunitokea mimi ila mtu wangu wa karibu though sio sana. Kv aliopoa chura fulani mweupe mwenye wowowo, nadhani ni mwanafunzi wa Mlimani na kwenda naye guest house. Baada ya kujiridhisha kuvutiana appetite, Kv akamuomba mwanamke cd then wakaanza mechi. Kv akiendelea na ukunaji...
  9. swakid

    Thamani ya mwenza wako

    Sina nia ya kutiririka wala kuperform kazi ya motivational speakers ila kwa niliyojionea, ningependa kufikisha ujumbe fulani. Niliachana na mwanamke wangu sababu alikuwa mkavu hadi kero. Baada ya round 1, nyingine zote ni mwendo wa kujichubua tu, a perfect no 11 shape. Nikaanza harakati za...
  10. swakid

    Je, kwanini unadhani watu bado wanagoma kuchanja chanjo hii?

    Swala la chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa uviko unaosababishwa na kirusi hatari zaidi kwa sasa, bado halijakuwa na mwamko kama ilivyo kwa chanjo nyingine kama polio, bcg. Je, kwanini unadhani watu bado wanagoma kuchanja chanjo hii? Kama mwezi ulopita nilikutana n rafiki yangu wa muda...
  11. swakid

    Naombeni kufahamishwa namna tofauti za upishi wa dagaa

    Nipo chuo na ninaishi na mshkaji wangu. Huyu jamaa ninayeishi nae, ni mpenzi mkubwa sana wa dagaa. Ila, jamaa hawezi kuzipika. Kwa wiki ni LAZIMA tuzile angalau mara 1 ila ladha ndio mtihani. Nilikuwa ninapenda sana kula dagaa ila huyu jamaa ameniharibia kabisa taste yangu. Kwa wenye ujuzi...
  12. swakid

    Binti wa mpangaji mwenzetu katembea na kundi letu lote lenye vijana watano

    Tunaishi watu 5, maisha ya kighetogheto. Kuna jirani yetu flani hajielewi kabisaaa, mme wake mwenyewe ni yanki tu kijana n anamzaa kabisa. Shida ilitokea baada ya mwanae kwenda kuhamia kwa mamaake. Alipohamia tu mwenetu mmoja akamuwai fasta kutokana n utimamu wa kumaimbile wa mtoto, hatareee...
  13. swakid

    Kuna accidental Sex kweli au kila kitu huwa ni njama?

    Nina matukio kadhaa ya namba hii, imekuwa ni kama hulka sasa kwangu. Ni muda kidogo umepita, nikikuwa nina mshkaj flan ivi, mtoto wa kihaya. Mzuri n bonge la shep ila ni mwembamba. Alikuwa anasomea upishi akijiandaa kwenda chuo mwaka 1. Kwa matani tu nilimuomba uniletee chakula chake cku...
  14. swakid

    What is Kenya without loans?

    Sijakataa sawa nyinyi ndio giants of EAC. Sikatai GDP yenu ni kubwa kuliko yetu. Ila, kutokana na uhalisia ninaouona, nina uhakika GDP ya TZ inayotaka moja kwa moja kutoka vyanzo vya mapato ya Serikali inayoingizwa kwenye mzuguko wa taifa ni kubwa kuliko ya Kenya inayotoka kwa KRA hadi kwenye...
  15. swakid

    Ugandans, please keep us updated

    Am not aiming to intimidate or do have hidden intension behind this post. However, I felt the need to question why Ugandans page is so damn boring. Please, if you don't mind, be active. Thanks
  16. swakid

    Ni nini mstakabali wa Bernard Morrison, Simba n yanga?

    Kwa wale wanaojua au walio na appropriate info, ninaomba nipate updates za progress ya kesi ya sakata la Morrison na waajiri wake. Asante
  17. swakid

    Sababu ya Watanzania kuidharau Kenya

    Mimi ni Mtanzania asilimia mia ila kutokana na mitihani ya maisha, nikipata fursa (bhati) ya kusomea Kenya kutoka primary at Kisii-gesima _Mosobeti way, Dorcas Academy, Secondary at Nyari Sstate, Karura SDA, uni mku theka. Ninaijua Kenya vzuri kwa miaka na mijukuu. Sikatai Kenya ipo mbali sana...
  18. swakid

    Inasikitisha kuona Watanzania wenzangu wanawabeza Wakenya kwa kushindwa kujizatiti madhubuti kupigana na Corona

    Inaskitisha kuona Watanzania wenzangu wanawabeza Wakenya kwa kushindwa kujidhatiti madhubuti kupigana na Corona. Hivi hamjui wenzetu wanafariki? Hivi mnajua uchungu wa kumpoteza ndugu au mtu kipenzi? Naomba tusitengeneze chuki baina ya mataifa pekee yenye ushindani shababi EAC. It is a fact...
  19. swakid

    Kama kweli Watanzania wenzangu tunaamini kuwa vita yetu dhidi ya Corona ni kama tumeishinda kutokana na kudra za Allah, basi tusiwabeze wenzetu

    Assalam aleikum, Hivii Watanzania haswa watumiaji wa JamiiForums mnalenga nini haswa? Ni kweli mnasherekea mnapoona Wakenya wanataabika? Uhasimu wa aina hii ulitokea wapi? Wenzetu wanakufa sisi tunasherekea? Vita ya uchumi isituletee laana Kwa taifa zima. Tafadhali tubadilike, ushindani ni...
Back
Top Bottom