Search results

  1. N

    Kabla sijamaliza Wamekata!

    Duu!!!,, Itabidi tuende kwa DSTV
  2. N

    Kabla sijamaliza Wamekata!

    Ndugu wana jamii Forum, Mwenzenu natatizwa na hii huduma ya ving'amuzi hususani ss wa kada ya chini, natumia star times, lakini wananiker sana, hawana channel za maana. Napenda kuuliza nani anatumia za TING na Digitech na huduma zao zikoje. Msaada please
  3. N

    Nimetendwa

    Ndo namtafuta, nafikiri kutoka jukwaa hili naweza mpata mwanamke mzuri na mkweli
  4. N

    Nimetendwa

    Jamani mwenzenu nahitaji faraja ya mwanamke wa kuniliwaza. Nimetendwa na mke wangu
  5. N

    Unataka mume/boyfriend/mke/girlfriend mwenye pesa....?na wewe kuwa kipesa pesa

    Duuuuuu!!!! Cjamaliza kusoma, ila mi nataka demu inbox me please
  6. N

    natafuta mrembo wakuenjoy nae

    hahahahahahahahaaaaaaaaaaaa, kumbe tupo wengi madomo ZEGE
  7. N

    Mke wangu

    Wapendwa, hana hata sababu, kitandani mwenyewe anaridhika na kunipa BIG UP, kimato sio kibaya, tunakaa wkenye nyumba yetu, tuna watoto, tuna kigari cha kutembelea,nimemwuliza sababu ni nini anasema shetani kampitia, hao wanaume anaonicheat nao hawana lolote, yeye ndo anachukua pesa zangu na...
  8. N

    Mke wangu

    Jamani wa jamii, naombeni ushauri wa bure Mke wangu kanicheat kwa wanaume mbalimbali, nilipomwuliza mara ya kwanza ilkataa na kutaka kuapa through bible, baadaye baada ya kumbana na kuleta vithibiti kakubali kuwa kweli alikuwa ananicheat nifanyaje? je na mie nilipize kisasi?
  9. N

    Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

    mhhhh; kwa kweli kwenye ndoa kuna mambo
  10. N

    Breaking News: Leo Ngereja Kuongea na wafanyabishara wa mafuta

    Ningelikuwa mie ndo William Mganga Ngeleja, ningekwisha jitia kitanz. Hakuna cha maana, washawaona wananch wa Tanzania wote ni mashoga
Back
Top Bottom