Search results

  1. Desire mobutu seseseko

    Happy birthday to me 09 March

    Habari wana MMU, Leo si siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu, namshukuru Mungu wa kuongeza mwaka mwingine nikiwa na afya njema kabsa. Mwenyezi Mungu awaomgezee wazazi wangu miaka mingi na heri hapa duniani.. Hakika Mungu ni Mwema na Mkuu wakati wote.!
  2. Desire mobutu seseseko

    Happy Birthday to Me, 9 March

    Habari wana MMU, leo siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu, ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu na wazazi wangu kwa siku hii muhimu sana. Ahsante kwa afya njema, pia muwe na siku njema wana MMU na Mungu awabariki sana tuendelee kupeana ushauri na kukumbusha mambo ya msingi katika mahusiano...
  3. Desire mobutu seseseko

    Matokeo ya usaili wa kuandika (written) ya tarehe 14 Januari 2023

    Habari wakuu!! nauliza hapa kama kichwa cha ujumbe hapo juu, Matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 14 january katika kanda tofauti tofauti yametoka au bado? natafuta sioni..labda kuna mahala nakosea, Kwa anaelewa naomba majibu tafadhali.
  4. Desire mobutu seseseko

    Msaada wa maswali kada ya Transport officer

    Wakuu maswali gani yanaulizwa kwa kada ya Transport officer, kwenye paper, tupia hapa unayoyakumbuka kama ushawahi kufanya paper za kada hiyo.
  5. Desire mobutu seseseko

    Maswali ya paper za Transport officer

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kuuliza kwa mtu aliyewahi fanya usaili au paper kada ya TRANSPORT OFFICERS natahitaji kujua maswali wanayotoa yanabase upande gani? au kama unayakumbuka tupia hapa nipate muongozo tafadhali. Natanguliza shukrani zangu za dhati kabsa!!
  6. Desire mobutu seseseko

    Merry chrismass to everyone

    Habari ya kuamka wana MMU, Ningependa kuchukua nafasi hii kuwatakia wote heri ya sikukuu ya krismass kwa waamini wote..ikawe siku bora na njema tukikumbuka siku ya kuzaliwa Yesu kristo kama mkombozi wetu!. Sikukuu njema kwenu wote! waamini Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
  7. Desire mobutu seseseko

    Utumishi zingatieni muda wa kumaliza chuo

    Leo nina moja la msingi kwenu sekretariati ya ajira zingatieni mwaka wa kumaliza masomo ya vyuo mnavoita wanasaili kwa ajili ya mchujo.. mtu aliyemaliza mwaka 2017 hawezi complete na mtu alomaliza 2021 the same course.kutokana mmoja kesha kaa sana mtaani swala la kumbukumbu ni shida mno..kwenye...
  8. Desire mobutu seseseko

    Mwaswali ya usaili wa Clearing and forward

    Wazoefu mliowahi fanya paper za utumishi za CLEARING AND FORWARDING naombeni uzoefu paper zinakuajee..au kama kuna maswali unayakumbuka ya namna gani tafadhali.. Natanguliza shukrani!
  9. Desire mobutu seseseko

    Tafadhali naomba mawazo na ushauri kuhusu hili jambo

    HABARI wakuu. Leo nakuja tena kwenu wana jamii najua siwezi kosa ushauri, maoni ya namna yeyote nayoweza maliza hili tatizo langu linalonisumbua kwa sasa. Iko hivi nina mpenzi wangu niliedumu nae kwa takribani miaka 5 inaenda sasa, binti kwao wapo watatu wakike wote yaani yeye ni wa kwanza age...
  10. Desire mobutu seseseko

    Sekretarieti ya ajira zingatieni fani katika kuita wasaili husika kwenye kazi

    Haya ni makusudi ya wazi kwa Secretariat ya ajira kutangaza kazi za airport operations kwenda kufanywa na watu waliosoma laws huku wataalam wa LT wakiachwa Hapa Kuna mawili yawezekana watu waliopewa dhamana hii yakusimamia recruitment hawafit kwenye hizo position au wanachukulia liwalo na liwe...
  11. Desire mobutu seseseko

    Omba kazi kulingana na kada yako ili usile za uso

    Sasa umesoma HR, BBA, Law, sjui Ufugaji wa Kuku unafanya usaili wa kada ya transport una akili? Lazima uende Dom kutalii tu, waacheni wenye kada ya TRANSPORT & SHIPPING. Omba kazi kulingana na kada yako ili USILE ZA USO.
  12. Desire mobutu seseseko

    Naomba ufafanuzi kuhusu ajira za mkataba za Utunishi

    wakuu heri ya sikukuu ya Eid, Niende moja kwa moja kwenye swali langu..hivi hizi ajira Za muda zinazitangazwa kupitia UTUMISHI WA UMMA kweli zinakua za muda au wanasema tu labda kwa miezi mitatu kukatisha tamaa watu wapungue kwenye kuomba hizo kazi? mwenye kujua chochote aeleze inakuaje..labda...
  13. Desire mobutu seseseko

    Msaada kwa kupata uwanja mkoa wa Songwe

    Habari ya mihangaiko ya hapa na pale wakuu.. poleni na kadha ya kupanda bei kwa vitu nchini unaochangiwa na kupanda kwa bei za mafuta.. niende moja kwa moja kwenye point naomba msaada wa kujuaa gharama za shamba kuanzia hekta 1 kwa baada nilifanyie kama makazi..napendekeza kwa maeneo ya...
  14. Desire mobutu seseseko

    Happy birthday to Me (09 March)

    Habari yenu wana MMU Ningependa kuchukua walau nafasi hii Kumshukuru sana mwenyezi Mungu pamoja na wazazi wangu kwa siku ya leo, siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Kama unalolote la kuniambia..ushauri na mambo mengine kwa wema karibu! Ahsante! Desire Mobutu sesseseko Kuku Ngweno wa zabango
  15. Desire mobutu seseseko

    Inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa sawa kwenye mapenzi yenu?

    Wakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha.. Niende moja kwa moja kwenye swali..hivi inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa kama kawaida..hata kama mliachana kwa ubaya? Kiiufupi miaka sita hivi imepita lakini saiv mawalisiano yamerudi kiasi fulani..pamoja na...
  16. Desire mobutu seseseko

    Series bora za kivita (war movie series)

    Wakuu habari ya maandalizi ya sikukuu ya christmass..Kama wewe ni mdau wa movie za kivita. Naomba walau weka list ya series zako tano za kivita hapa kali. Msaada. Tupia list hapo chini. Natanguliza shukrani zangu za dhati Ahsante!!!
  17. Desire mobutu seseseko

    Watalaam na wapenzi wa War Movies/Series

    Wakuu habari ya Jumapili? Ningependa kuwapa pongezi wale walipata chochote kwenye teuzi za mama na ambao hatujapata kazi iendelee yote maisha. Msaana naomba uniwekee SERIES ZAKO KALI ZA KIVITA (war movies series) Nizitatufe nimekua mdau wa hizi movies! nasuburi mrehesho hapa. Ahsante
  18. Desire mobutu seseseko

    Happy birthday to me. 09 March

    Habari wakuu.. kwanza kabisa ningependa kumshukuru Mungu kwa kuongeza mwaka mwingine siku ya leo.. Ahsante kwa wazazi wangu wote wawili. Umri unaenda kasi mno tusijisahau kwenye mambo ya msingi katika kujijenga kiakili, kiuchumi na kijamii Ahsante!!
  19. Desire mobutu seseseko

    Msaada wa drives za pc hp pro book 450

    Habari wakuu Naomba msaada wa offline link ya kupakua drives za PC HP pro book 450
  20. Desire mobutu seseseko

    List ya movies zako pendwa za kivita (war movies)

    Habari wakuu, Katika tasnia ya filamu binafsi ni mpenzi wa movie za kivita kimombo wanaita WAR MOVIES na hizi ni baadhi ya movie zangu TANO kali za kivita. 1- Lone survivor 2- Windtalkers by nicolaus cage 3- The pasific 4- Tears of the sun 5- Behind enemy's line NAOMBA NITAJIE ZAKO TANO...
Back
Top Bottom