Search results

  1. MAPITO Mwanza

    TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko. Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo...
  2. MAPITO Mwanza

    Hongereni RFA kurejea kwa matangazo

    Sisi watoto wa bisimark rock aka watoto wa rock city tulimisi sana MATANGAZO yenu leo nafungulia radio kitu inatiki tunakuomba bwana Dialo acha ubabaifu lipa wafanyakazi, ni hayo tu .
  3. MAPITO Mwanza

    Nahitaji kujua namna ya kuagiza vitenge toka Tunduma

    Kama kichwa Cha habali hapo juu nahitaji kujua namna ya kuagiza vitenge Toka tunduma kiukweli Sina uzoefu na hii biashara namuna ya kuupata Mzigo mpaka kuufikiaha dar na cost zake nitashukuru.
  4. MAPITO Mwanza

    Yu wapi Lazaro Nyalandu

    Wanajamvi ni muda sasa bwana huyu yupo kimya hasikiki wala haonekani. Wenye kujua habari zake watujuze Yu mzima wa afya au kuna masaibu anayapitia?
  5. MAPITO Mwanza

    Msaada ndugu yangu anataka arejeshwe shule aliyochaguliwa darasa la saba, mwalim

    Nimekuja Hapa mnipe mawazo Juu ya hili Kuna ndugu yangu, Yupo mkoa mmoja mwanae alimaliza la7 akabahatika kachaguliwa shule moja hizi zetu namanisha za kayumba mzazi kuona hivyo kajichanga mwanae kampeleka shule za hela kasoma mwaka mmoja Yani form one mzee uchumi umeyumba akaona amrudishe...
  6. MAPITO Mwanza

    CHADEMA itupe gharama ya kuanzisha chombo cha habari, sisi wananchi tutachanga

    Nimeona kama mwanafamilia wa chama kubwa Chadema nilete wazo hapa kwa viongozi wetu. Iko hivi chama kimekuwa kina watu kwa hapa tulipo hatuwezi kushindwa kitu chochote. Naomba muanzishe mchakato wa kujua gharama za kununua mitambo ya Radio na TV sisi wanafamilia tutachanga ikiwezekana iwe...
  7. MAPITO Mwanza

    Kwaheri mwana cotide

    Ni manjonzi kwetu sisi wapenda haki ulijitahi kwa uwezo wako wote kadiri Mungu alivyokujalia tulipenda Sana kuendelea kua na wewe kwenye mapambano kamanda wangu umetutoka katikati ya kilima kilefu Ninaimani Mungu anamakusudi yake Nipende kusema Umevipigana vyema vita Mwendo Umeumaliza Tangulia...
  8. MAPITO Mwanza

    Afisa afya anakuja dukani nakudai vyeti vya afya kwa wauzaji wa dukani

    Mimi ni mjasilia Mali Nina kiduka changu mitaa Fulani hivi Hapa bongo kinauza jumla na lejaleja miaka yote nimefanya sijawahi kukutana na kimbembe nilichokutana nacho Hivi kalibuni eti afisa afya anakuja dukani nakudai vyeti vya afya kwa wauzaji wa dukani Hebu wenye kujua Juu ya mambo Haya...
  9. MAPITO Mwanza

    Mkuu wa wilaya ya Hai kumbe debe tupu aibu

    Naangalia kipindi cha ajenda 2020 kila swali analoulizwa na mtozi alois hawezi kujibu azidi ya mabavu kiukweli mteuzi wa hawa binadam yupo au aliwateuwa akaondoka ? Hebu wenye kumjua amwange data tumjue mtu huyu
  10. MAPITO Mwanza

    Yu wapi meya mstafu wa ilemela na mmiliki wa magnam hotel pale kirumba Mza ?

    Nimemkumbuka bwana huyu maana kipindi hicho alivunja lekodi kwa kuvitumikia vyama viwili kwa wakati mmoja yani CCM na Chadema mwenyekujua bwana huyu yupo wapi anafanya Nini kisiasa yupo hai au au laana ya usaliti ilimhukum ? Tupeane talifa Alijulikana kwa jina là matata
  11. MAPITO Mwanza

    Wana mageuzi wakweli tupo imara na tunasonga haturudi nyuma

    Ndugu wanajamii nimepita huku na huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii maneno na maswali ni mengi juu yakuondoka kwenye chama ndugu lowassa mimi naamini ktk sera itikadi pamoja na mapenzi kwa chama huwa napenda kuwaambia wale bendera fata upepo kwamba chama sio mtu chama sio mbowe leo...
  12. MAPITO Mwanza

    Wale wenzangu wana bcbg tukutane hapa

    Najua wengi mwaijua bendi hii kitambo kile ilisheheni watu wa kazi kama Jb mpiana werason ngiama makanda aime buangwa toto karonji buleise bula alein makaba alien mpela Mali pool didie masera Adolf domingwezi kilinton japones nk hebu jamani wahenga Kama mnazo ngoma Kama filandu dijojo ngonda...
  13. MAPITO Mwanza

    Uchaguzi 2020 Wana Nyamagana

    Nikiwa Kama mzaliwa wa Mwanza hususani Jimbo la Nyamagana niwaalike wananyamagana wenzangu tujadili 2020 ndio hii hapa inakuja huku jimbo letu haliko na mwakilishi bungeni utazani nae kaunga mkono utekwaji ninao watu wa 2 ambao mwenyewe naona wanaweza kuivusha nyamagana yetu 1 Ezekiel Dibogo...
  14. MAPITO Mwanza

    Tetesi: Kamatakamata ya wavuvi haramu Sengerema

    Tetesi zinasema kuna zoezi la kukamata wavuvi haram huko wilayani SENGEREMA mkoa wa Mwanza ndugu yangu alieko huko katika kijiji cha nyakahako anasema zoezi linaendesha kionevu sana kwani inasemekana wanajeshi wanatembea na majina ya wale wsnaodaiwa ni wavuvi haramu Shida nipale wanapomkuta...
  15. MAPITO Mwanza

    Wako wapi watalamu hawa wa dance?

    Waziri sonyo mhina panduka Maiko liloko Enduru sekedia kofi wa Tanzania nk hebu jamani tujuzane wapo kweli kwenye game?
Back
Top Bottom