Search results

  1. C

    Miliki gari kupitia sisi kwa nusu bei

    Nahitaji Premio X, ikipatikana rangi nyeusi itafaa, lakini pia hata blue bahari au Pearl Nipe maelekezo
  2. C

    Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

    Sio tu watoto lakini pia nimeshangaa kuona nyumba imakula mbao 900 !!, Unaweza kukuta hata amani hawana ndani ya hilo lijumba
  3. C

    Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini

    Sio ukweli bhana huyo jamaa kazi yake ni kututishia tu, mara usile mkate, mara usile nyama, mara usinywe soda, yaani kila kitu kwake ni kibaya, huyo Doctor huwa anataka tuwe tunakula mchicha sijui mpaka uote tumboni
  4. C

    "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    Kitendo chako cha kuniita mimi mjinga unazidi kujivunjia heshima wewe binafsi, na utadharauliwa na kila mtu
  5. C

    "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    Na ninatamani ungejitambua ukayaona unayoandika kwa sasa ni upuuzi ukaamua kuyaacha ungerudisha heshima yako kwa haraka sana, kila mtu huwa anakengeuka, unakumbuka siku ile magufuri alikukejeri ulipouliza swali ambalo lilionekana kwake la kipuuzi, na ni kwa sababu uliliuliza ovyovyo
  6. C

    "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    Wewe zoba tu paskali hata useme nini, nilikuwa nakuona bonge la mtu wakati ule, lakini mara baada ya kujitoa akili na kubeba akili za kushikiwa za ccm umekuwa zoba wa kiwango cha juu saana
  7. C

    "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    Hivi Paskali kujipendekeza kwa serikali ya ccm kutaisha lini na umri unazidi kukutupa mkono ?, sasa hivi ulitakiwa ufikie mahala unafikiria kwanza kabla ya kuandika jambo, umri wako unapingana na mambo unayoyafanya.. Sasa hivi umekuwa zaidi ya kiherehere yaani sio zoba sio zombie sijui nikuita...
  8. C

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Ni kweli ndugu, mimi nilienda dukani kwa Dr Mwaka pale mwanza maeneo ya makufuri nikapewa dawa, nililipa shililing 220,000 nikanywa dawa ile lakini sikuona tofauti yeyote na hali bado iko palepale, kwahiyo nae ni tapeli tu
  9. C

    Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

    My dear naona kama hujajibu swali langu, nafanya utafiti
  10. C

    Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

    Tusikie basi comments za hao wanawake, waseme ukweli nini wanakijua hapa, Demi , @
  11. C

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Upuuzi ni mwingi saana aliofanya ambao hatutsahau, 1- Kutengeneza chuki miongoni mwa jamii ya watanzania, Mtakumbuka aliwahi kutamka kwamba mtu yeyote akimvamia kumpiga hata kumuua mpinzani asione askari wanamsumbua mtu huyo
  12. C

    Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

    Umeniwahi Mkuu nami nilitaka kumwandikia hayo
  13. C

    Kimboka, Sudan, Sokota cha mtoto, hata Sodoma na Gomorrah yenyewe haifui dafu kwa mtaa huu

    Watu wenye akili kama wewe ccm huwa haiwasikilizi, inachowaza ccm ni uchaguzi wa 2025, yaani acha tu hizo ndege 4 ulizotolea mfano kwamba wangeacha kuzinunua fedha yake ingesaidia pakubwa sana, kuna magari ya washawasha yalinunuliwa mwaka 2015, yale magari yaligharimu mabilioni ya shilingi na...
  14. C

    Ogopa sana kupigania kundi la wajinga na malofa

    Mkuu punguza ukali wa maneno
  15. C

    Ogopa sana kupigania kundi la wajinga na malofa

    Mkuu jumatatu leo ujue, Unaanzaje week namna hiyo ?, Inawezekana week end ilikuwa na sintofahamu kwako !!!
  16. C

    Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

    Kwa hiyo hapo unataka kusema ametumwa na nani ??
  17. C

    Tabia za wanawake

    Hapa sikupata nafasi ya kukujibu Wangari, hivi unasisitiza kwamba ni sahihi na ni haki kwa mwanamke mke wa mtu kuchangia sherehe kwa single ??!!, kweli ??!!, Kama ni wewe, hivi unapata hasara gani ukimtaarifu mwenzio kwamba, nina kadi hapa ya harusi, sasa sina pesa ya kutosha kuchangia wote...
  18. C

    Tabia za wanawake

    Habari kwenu wote, naamini Mungu ni mwema anawalinda na kuwajaalia afya njema, tukumbuke kumshukuru Mungu kwa kila jambo, Narudi hapa kuleta mrejesho wa mada hii niliyo iandika mwaka 2018, Baada ya muda mfupi kupita niliweza kurudi kwenye line niliyokuwepo, Serikali ya awamu ya sita ilipoingia...
Back
Top Bottom