Search results

  1. WOWOWO

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu, ACT-Wazalendo la Kuvunda?

    Huko nyuma niliwahi kuandika ujio wa Bernard Membe ndani ya ACT na hatma ya coalition au ushirikiano wa vyama vya Siasa. Nilieleza kwamba Membe ameingia ACT-Wazalendo akiwa tayari na uamuzi wa kugombea urais mfukoni huku akivitaka vyama vingine vya upinzani vimuunge mkono. Kwake yeye haamini...
  2. WOWOWO

    Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Membe ana athari ndogo Uchaguzi wa 2020, Lowassa ni zaidi yake

    Nimepata kumsikiliza Bernard Membe. Hotuba yake, manuwio na matatajio yake. Lakini pia nimepata kumsikiliza Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif na Kiongozi Zitto Kabwe. Kuna ujumbe wa aina tatu. Mosi; Membe anasemwa/anasema yuko tofauti na Edward Lowasa, hivyo asifananishwe...
  3. WOWOWO

    Kutoka Grand Coalition hadi Membe, Nini kitatokea kwa upinzani kuelekea Oktoba?

    Kati ya tukio lililochukua headlines kwenye mchakato wa CCM kuwapata wagombea wake wa nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu ni kitendo cha Mwenyekiti wa muda wote na mmiliki wa chama cha UDP John Cheyo aka Bwana Mapesa kumwomba Mwenyekiti wa CCM Mbunge mmoja na madiwani...
  4. WOWOWO

    Uchambuzi jadidi: Zitto ni Prof. Lipumba kuelekea 2020?

    Nianze kusema mapema kabisa mimi ni mchambuzi huru, ninayetazama Siasa za Tanzania katika mizania ya uhalisia wake na kujaribu kujenga hoja kulingana na miktadha inayokuwa inajitokeza. Uchambuzi wangu hapa utalenga zaidi kuzitazama Siasa za upinzani kuelekea mwaka 2020 na possible trends ambazo...
  5. WOWOWO

    CHADEMA, UKAWA na Zitto Kabwe ngoma inayowambwa kupasuka

    Katika siku za hivi karibuni uongozi na wafuasi wa CHADEMA wamerejea katika kutuliza uhusiano na Zitto Zuberi Kabwe, mwanasiasa ambaye CHADEMA kiliwaaminisha watanzania kwamba ni msaliti na alikua akipanga mapinduzi ya uongozi nje ya mfumo na utaratibu wa chama. Lakini pia mwanasiasa huyu amekua...
  6. WOWOWO

    Magufuli ni wakala wa kuiangamiza Tanzania?

    Tanzania kwa muda mrefu imekua ni nchi inayosifiwa si tu kwa amani yake isiyo yumba bali pia katika kuzivutia na kuwa mfano wa nchi nyingine katika nyanja zote kuanzia namna Siasa inavyofanywa, mshikamano wa kijamii ulivyo imara, Sanaa hasa burudani inavyomea mizizi kwa kasi na kuajiri maelfu ya...
  7. WOWOWO

    Sino-Tanzania relation: The last drop of our blood?

    Ni wazi matokeo ya uchaguzi mdogo (Ule wa udiwani na sasa wa Jimbo Kalenga) umeacha maswali mengi sana vichwani mwa wapenda mabadiliko. Whether CHADEMA has gained popularity or not remain unclear to majority maana mwisho wa siku kinachotazamwa si kura za miaka iliyopita bali kura za sasa.Si...
  8. WOWOWO

    Chinese in Tanzania;The only last drop of our blood

    For the long time many African states including Tanzania have embarked on attracting Foreign capitals as means of capitalizing from them through technology importation,revenues,employment and notably to industrialize. With relation with Western powers,it is evident that Tanzania and other sub...
  9. WOWOWO

    CHADEMA Be ready with another plotted move - OPERESHENI UZALENDO

    Katika mtandao wake wa Twitter Zitto Kabwe as usual kaibuka na hoja ya kuwataka wabunge wajitolee posho yote ya siku moja kwa ajili ya Stars kama sehemu ya kupongeza ushindi wake wa hivi karibuni dhidi ya Morocco. Binafsi napongeza wazo hilo hata hivyo napata mashaka sana na mantiki yake maana...
  10. WOWOWO

    Zitto, JK Watofautiana kuhusu gesi Mtwara

    Jakaya KikweteVerified‏@jmkikwete Maliasili yoyote ile katika eneo la nchi yetu si mali ya watu wa eneo lile pekee. Matumizi yake lazima yawe kwa manufaa ya Taifa letu lote. Zitto Zuberi Kabwe‏@zittokabwe8m @jmkikwete matumizi lazima yawe Kwa faida ya nchi...
  11. WOWOWO

    Kwa video hii, sishangai yanayotokea CHADEMA

    Hii ni video wakati CHADEMA wakimtangaza Dkt. Slaa kuwa mgombea wao wa urais mwaka 2010.Itazame kwa umakini sana na point of focus (PoF) iwe kwa Mbowe na Zitto Kabwe (zaidi huyu wa pili) then utajua nini sababu ya kile kinachoendelea sasa ndani ya chama hicho.
  12. WOWOWO

    Tatizo CHADEMA ni zaidi ya 'Kadi' ya Dkt. Slaa

    Wana Bodi Heshima kuu Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia mtifuano unaoendelea ndani ya Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) ukianza na mikiki mikiki ya uchaguzi wake, uhasama uliojengeka baada ya uchaguzi huo na sasa kile kinachoitwa usaliti wa baadhi ya vijana na kuanza kumuona Dkt...
  13. WOWOWO

    JK Kawageuka Museveni,Kagame?

    SADC yatengea waasi wa M23 Sh160 bilioni JUMUIYA ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), imepanga kutumia dola 100 milioni za Marekani kukabiliana na kundi la waasi wa M23 Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Kiwango hicho ni sawa na Sh160 bilioni (dola moja kwa Sh1,600)...
  14. WOWOWO

    Tumepigiwa simu, mwisho wa fedha za wahisani waja

    Mwaka 2003 wakati Rais wa Rwanda Paul Kagame akihojiwa na Jarida la News of the World kuhusu Misaada ya kifedha inayotolewa kwa bara la Afrika na kama imeweza kumaliza ufukara na hata kuyahamisha mataifa ya Afrika kutoka kuwa na wananchi wanaoishi chini ya dora moja kwa siku hadi kuwa wa kipato...
  15. WOWOWO

    Tanzania na Ombwe la Opinion Leaders, Tutafika?

    Wana Bodi kwa kawaida katika taifa lolote lazima kuwe na mijadala yenye afya ambayo hutumika kama dira ya kuleta mabadiliko na maboresho katika masuala mbalimbali yahusuyo jamii na taifa kwa upana wake. Moja ya sekta ambayo inapaswa kuongoza kwa kuibua mijadala ni vyombo vya habari kupitia...
  16. WOWOWO

    Hamad Rashid abwagwa kortini

    Kutoka mujibu wa Julius Mtatiro... My Take Nini hatma ya Hamad Rashid kisiasa maana ni wazi upepo si mzuri kwake? Je ni wakati sasa wa CDM kufikiria kumpa nafasi Mh. Rashid ili kuendelea kujijenga visiwani Zanzibar baada ya kuwa na makada wa aina ya Profesa Safari? Ni wazi mchango wa Hamad...
  17. WOWOWO

    Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Great Thinkers, Baada ya kuisoma makala hii ya Absalom Kibanda Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, nimejikuta napata mashaka sana na zaidi kupoteza imani na uzalendo wake. Pia nimejikuta nikiamini maneno niliyokuwa nikiyapata kijiweni kwamba Kibanda ni mmoja wa beneficieries wa Ufisadi kutoka...
  18. WOWOWO

    Sometime JK ni kama anaiga swaga za viongozi wa CDM vile

    Ni mara chache kumuona JK akitinga tinted glasses, tumezoea kuona hii kwa makamanda wa CDM hasa Mbowe.Ni kama JK ana admire sana swaga za CDM na viongozi wake hasa ikizingatiwa sasa wameanza kuzikubali sera za CDM kama elimu bure, kushusha bei ya vifaa vya ujenzi nk. Taratibu JK anakuwa CDM na...
  19. WOWOWO

    Kubenea atajwa kuchochea mgogoro Club ya Simba

    RAGE ALISAMBARATISHA TAWI LA SIMBA LA MPIRA PESA MWENYEKITI wa Simba, Ismail Rage amelifunga Tawi la wanachama wa timu hiyo linaloitwa Mpira Pesa kwa madai ya kukiuka katiba ya klabu hiyo, pia amevunja kamati zote ndogondogo za timu hiyo. Rage pia amemfuta uanachama mwenyekiti wa Tawi la...
  20. WOWOWO

    Jinsi Werema alivyofanikiwa kupindua hoja ya Zitto

    Wanabodi nimejitahidi kufuatilia mjadala kuhusu hoja ya Zitto ya kulitaka Bunge kuunda kamati teule ya kuchunguza mabilioni ya fedha yaliyofichwa na vigogo wa Serikali Uswis nimebaini kwamba Mwanasheria Mkuu wa Serikali amefanikiwa kwa kiwango kikubwa kupangua hoja hiyo. Ni wazi kuwa, hatua ya...
Back
Top Bottom