Search results

  1. WOWOWO

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu, ACT-Wazalendo la Kuvunda?

    Huko nyuma niliwahi kuandika ujio wa Bernard Membe ndani ya ACT na hatma ya coalition au ushirikiano wa vyama vya Siasa. Nilieleza kwamba Membe ameingia ACT-Wazalendo akiwa tayari na uamuzi wa kugombea urais mfukoni huku akivitaka vyama vingine vya upinzani vimuunge mkono. Kwake yeye haamini...
  2. WOWOWO

    Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Membe ana athari ndogo Uchaguzi wa 2020, Lowassa ni zaidi yake

    Hao wabunge 10 atawaleta kutokea wapi? Unamwona kweli akikitikisa CCM na kukisaidia ACT Wazalendo kuvuna wanachama?
  3. WOWOWO

    Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Membe ana athari ndogo Uchaguzi wa 2020, Lowassa ni zaidi yake

    Nimepata kumsikiliza Bernard Membe. Hotuba yake, manuwio na matatajio yake. Lakini pia nimepata kumsikiliza Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif na Kiongozi Zitto Kabwe. Kuna ujumbe wa aina tatu. Mosi; Membe anasemwa/anasema yuko tofauti na Edward Lowasa, hivyo asifananishwe...
  4. WOWOWO

    Kutoka Grand Coalition hadi Membe, Nini kitatokea kwa upinzani kuelekea Oktoba?

    Kati ya tukio lililochukua headlines kwenye mchakato wa CCM kuwapata wagombea wake wa nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu ni kitendo cha Mwenyekiti wa muda wote na mmiliki wa chama cha UDP John Cheyo aka Bwana Mapesa kumwomba Mwenyekiti wa CCM Mbunge mmoja na madiwani...
  5. WOWOWO

    Uchambuzi jadidi: Zitto ni Prof. Lipumba kuelekea 2020?

    Rudia kusoma tena linganisha na mwenendo uliopo sasa. Zitto vs Lissu
  6. WOWOWO

    Uchambuzi jadidi: Zitto ni Prof. Lipumba kuelekea 2020?

    Nianze kusema mapema kabisa mimi ni mchambuzi huru, ninayetazama Siasa za Tanzania katika mizania ya uhalisia wake na kujaribu kujenga hoja kulingana na miktadha inayokuwa inajitokeza. Uchambuzi wangu hapa utalenga zaidi kuzitazama Siasa za upinzani kuelekea mwaka 2020 na possible trends ambazo...
  7. WOWOWO

    CHADEMA, UKAWA na Zitto Kabwe ngoma inayowambwa kupasuka

    Katika siku za hivi karibuni uongozi na wafuasi wa CHADEMA wamerejea katika kutuliza uhusiano na Zitto Zuberi Kabwe, mwanasiasa ambaye CHADEMA kiliwaaminisha watanzania kwamba ni msaliti na alikua akipanga mapinduzi ya uongozi nje ya mfumo na utaratibu wa chama. Lakini pia mwanasiasa huyu amekua...
  8. WOWOWO

    Magufuli ni wakala wa kuiangamiza Tanzania?

    Tanzania kwa muda mrefu imekua ni nchi inayosifiwa si tu kwa amani yake isiyo yumba bali pia katika kuzivutia na kuwa mfano wa nchi nyingine katika nyanja zote kuanzia namna Siasa inavyofanywa, mshikamano wa kijamii ulivyo imara, Sanaa hasa burudani inavyomea mizizi kwa kasi na kuajiri maelfu ya...
  9. WOWOWO

    Tundu Lissu aandae Press Conference kujibu hoja za rais Magufuli

    Naunga mkono na wahakikishe inakua live katika media mbalimbali kama alivyofanya JPM. Ndivyo siasa inapaswa ifanyike baada ya uchaguzi. Tatizo la UKAWA wanafikiri muda wote ni siasa za maguvu na harakati. Politics is something has to do more with psychology, mind change and persuasion.
  10. WOWOWO

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Sasa hiyo michango kwa maana ya fedha za wafanyakazi zitarudi vipi kama haifanyi biashara?? Faida itatoka wapi ili michango ya wafanyakazi iwe revolving?
  11. WOWOWO

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Issue si miradi ambayo Mifuko ya Hifadhi ya jamii inashiriki issue ni inapata rejesho gani baada ya kushiriki miradi hiyo? Ukweli ni kuwa fedha hizo ni michango ya wafanyakazi ili baadaye au muda wowote wakiihitaji iwafae. Ndiyo maana ya dhana ya uhifadhi wa jamii. Sasa lazima fedha yoyote...
  12. WOWOWO

    Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

    So Mzee Mwanakijiji dizaini namwelewa sasa.
  13. WOWOWO

    BASATA yalifungia tamasha la Zari All-White Party

    Hizi taarifa hazina ukweli wowote. Ni uzushi na uzandiki. Leo nilikuwa BASATA nimeongea na Boss wake hakuna taarifa kama hii. Yeye mwenyewe anashangaa.
  14. WOWOWO

    Sino-Tanzania relation: The last drop of our blood?

    Ni wazi matokeo ya uchaguzi mdogo (Ule wa udiwani na sasa wa Jimbo Kalenga) umeacha maswali mengi sana vichwani mwa wapenda mabadiliko. Whether CHADEMA has gained popularity or not remain unclear to majority maana mwisho wa siku kinachotazamwa si kura za miaka iliyopita bali kura za sasa.Si...
  15. WOWOWO

    Mawazo ya ccm kuhusu idadi ya waliotoa maoni kuhusu serikali tatu ni ya kihuni

    Nilikuwa nikimtazama Sendeka kwa umakini sana.Kwa kweli inahuzunisha sana.Kama kweli hayo ndiyo yatakuwa mawazo ya wale wanaotuongoza na makada makini wa CCM basi no matter why we are poor. Hauwezi tegemea mind ya aina ya Sendeka iwe mbunge utegemee miracles.
  16. WOWOWO

    Chinese in Tanzania;The only last drop of our blood

    For the long time many African states including Tanzania have embarked on attracting Foreign capitals as means of capitalizing from them through technology importation,revenues,employment and notably to industrialize. With relation with Western powers,it is evident that Tanzania and other sub...
  17. WOWOWO

    Tasnifu za njano5: Kikwete ni rais wetu, wapinzani na watanzania kila mpanda upepo huvuna tufani.

    Siasa za Tanzania zimejaa porojo nyingi na kwa ujumla zimedumaa na kukosa mwelekeo. Haihitaji elimu kubwa sana kutambua kuwa siasa imekuwa ndiyo kamba ya kuyanyonga mafanikio yetu. Hili liko katika maeneno mengi sana ambayo bila shaka mkuu Njano5 umejitahidi kuyaelezea kiunagaubaga. Katika...
  18. WOWOWO

    Tanzania na Ombwe la Opinion Leaders, Tutafika?

    To be frank umepoteza hoja na kunifanya nikae kimya kabisa.This look very low ukilinganisha na hoja yenyewe.Anyways ndiyo hali tuliyonayo so endelea kupeta na kuenjoy maisha ya siasa zako na wanasiasa tulionao.
  19. WOWOWO

    Zitto anakataje Rufaa wakati aliomba kujiuzulu?

    Hakuna kitu kinanishangaza sana kama dhana hii anayoijenga Zitto Kabwe. Kwamba kada akihamia chamani anakosa moral authority ya kumkosoa na hata kumvaa anapoonekana kufanya madudu? Ukongwe wake ndiyo ticket ya kufanya anavyotaka ndani ya chama? To me Zitto can argue on the allegations is raising...
  20. WOWOWO

    UDSM watoa ufafanuzi Suala la Dr K Mkumbo

    Umehoji mambo ya msingi sana lakini kubwa kuliko, inakuwaje Dkt. Kitila Mkumbo adanganye wasomi wenzake UDSM kwamba alijiuzuru wadhifa wake CDM ilhali bado ni mjumbe wa Kamat Kuu? To me this prove one thing, Dkt. Mkumbo na Zitto wako CDM for a special mission. Ninaweza kusema kwa kujiamini...
Back
Top Bottom