Sheikh, kisima tulichimba kwa ushirikiano kati ya kijiji na mfadhili (mtu binafsi na sio serikali), kijiji kikitowa eneo, nguvu kazi kiasi, baadhi ya matirio na kikiendesha mradi kwa gharama zake.
Kabla ya kusimamishwa, makusanyo yalikuwa yakichukuliwa na mwenyekiti ya kijiji na fedha...
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha, wananchi kijiji cha misufini wilaya ya kibaha wamezuiwa na RUWASA kutumia maji ya kisima walichochimba kwa nguvu zao wenyewe kisa RUWASA kutaka kuingiza kisima hicho kwenye mradi wa maji vijijini.
Kisima hicho ambacho kilishaanza kuwanufaisha...
Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu Focus atawasiliana nawe kwa namba zake pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.