Search results

  1. bafetimbi

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap. NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani aidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No...
  2. bafetimbi

    Safari Lager Vs Kilimanjaro

    Wasalaaaam wazee...... Hii battle nani anashinda!!!!!!??
  3. bafetimbi

    Nahisi nimefika hatua mbaya kabisa sasa. Naombeni msaada

    Wasalaaaam wadau! Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Kiukweli mimi najiona kabisa sasa nimefikia hatua mbaya sana maana imefika hatua nimekuwa addicted vibaya mno wa kuzama uvinza yaani raha yangu ni kupaangalia pale paluvyo na kisha kutia ulimi mpaka najishangaa kwamba mimi siku hizi...
  4. bafetimbi

    Nahitaji kujifunza Martial Art

    Wasalaam wazee. Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipenda kujifunza sanaa za mapigano. Sasa wadau naamini humu kuna wakongwe na wajuzi wa mambo haya mnaweza kunipa ushauri. Je, ni sanaa ipi ya mapigano iko strong kwa maana ya self defence, sihitaji kuwa mkorofi ila mtu akijichanganya vibaya...
  5. bafetimbi

    Hivi imeandikwa wapi kwamba sisi wanaume ndiyo tulipie mapenzi?

    Mtu umeenda zako pub moja kali sana kuna warembo wakufa mtu cha ajabu unaonesha kuwa interested na mazi flani hata kampani umnunulie kinywaji mpige stori muda uende mtu anakwambia bila aibu miimi bao moja 70,000 what the hell is this? Kwani yeye hawezi kunilipa hiyo70,000 kwa kummwagia bao langu...
  6. bafetimbi

    Kwa wataalam wa sheria masaada unahitajika

    Habari wadau, natumai mko vizuri.... Iko hivi, kuna mshkaji wangu mmoja hivi yeye yuko mwanza huko. Juzi jumaatatu alitangaza kuuza simu yake kwenye mtandao flani wa hapa bongo. Sasa anasema ni watu wengi waliipenda Ile simu Ila kikwazo ni kwamba walikuwa wakiuliza kama ana risiti ya simu...
  7. bafetimbi

    Hatimaye DSTV wakongwe wa digitali waachia local channels

    Habari waungwana..... Huu ndiyo muda muafaka wa kuwahama azam na kwenda kwenye full hd DSTV maana kifurushi cha Azam cha bei ya juu TSH 35,000 channel zake hazifikii kifurushi cha DSTV cha TSH 21,000. Kwaherini Azam mlinifaa Sana kwa kipindi nilichokuwa nanyi na huu ndiyo muda rasmi wa...
  8. bafetimbi

    Phone4Sale Nauza infinix HOT 10i 215,000

    Simu hiyo wazee haina kasoro wala mkwaruzo Ina GB 64 3--6GB RAM 720×1600 pixels 13 MP (1440p) Betri 6000mAh, inakaa na chaji muda mrefu mno 6.52
  9. bafetimbi

    Hivi udi unafukuza kweli harufu ya bangi kama unavutia geto?

    Maana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani. Wabangi bangi tupeane semina juu ya hili kama inazuia kweli ama hizuii maana kuna limama la jirani mlango wa tatu toka chumba changu kila tukionana asubuhi linaniangalia kwa...
  10. bafetimbi

    Nahitaji kitabu cha KAMASUTRA nakipata wapi?

    Nakitafuta hicho kitabu mazee na je kimeandikwa na nani, mapenzi yatatuua mwaka huu maana huyu demu ni muarabu sasa nataka niipeperushe vyema bendera ya Tanzania. Naipenda sana nchi yangu na siko tayari kuidhalilisha kwa namna yoyote ile hasa katika nyanja ya papuching. Itakua machozi jasho na...
  11. bafetimbi

    Hivi ndivyo nilivyo mjibu leo tarehe 24/12/2021 siku moja kabla ya christmas

    Wanazoea vibaya sana mamaeeeee mtu hatujawasiliana toka mwezi wa sita leo from no where, goooooog daamnnnnnn, bora nibaki singo kuliko hawa kupe
  12. bafetimbi

    Wazee wa DRAFTI kete tatu mpya ndio zikoje? Maana nazisikia tu, kama unazijua hebu tupia pattern yake hapa

    Wanadrafi wenzangu ni kwa muda kidogo nazisikia hizi wanasema ooooh kuna kete tatu mpya, hivi zinategwa vipi? Tupeane hizo pattern kama unazijua. Ahsante
  13. bafetimbi

    Baada ya utafiti wa siku nyingi hatimaye nimegundua hili...

    Wasalaam ndugu zangu. Baada ya kuingia chimbo la takriban miezi kadhaa nikifanya tafiti mbalimbali, ghafla nikajikuta navutiwa sana na utafiti juu ya hili jambo. Ni jambo moja nyeti sana ambalo watu wengi hawajalitilia maanani, si wanaume wala wanawake. Kwa kifupi wote hawajagundua juu ya jambo...
  14. bafetimbi

    Wadau baharia mimi nimepata janga ambalo halikuwahi kunipata kabla

    Habari zenu waungwana. Poleni sana na mapambano dhidi ya COVID-19. Baada ya kuzichakata sana nyuchi za hawa dada zetu wazuri wiki iliyopita nimepatwa na jambo ambalo baharia mimi sina uzoefu nalo. Kwa kifupi nimepagawa vikali hadi jana nikasimama mbele ya kioo na kujiangalia juu mpaka chini...
  15. bafetimbi

    Umewahi kuvuta bangi alafu muda huo huo ukatembea barabarani? Mwendo wake unauonaje?

    Huwa napenda sana baada ya kugonga msosi wa nguvu mchana mida ya saa saba, naingia chemba naulipua mjani wangu msumari mmoja tu mnene. Nikishaumaliza muda huo huo napiga mswaki kisha naelekea kwa mshkaji wangu mmoja hivi kwake pana kamwendo hivi. Sasa na lile jua la mchana mixa na mjani dry...
  16. bafetimbi

    WhatsApp inagoma kuanzia jana, au ni kwangu tu?

    Habari wadau, Kama kuna ambae amekumbwa na tatizo kama langu nahitaji kujua amelitatuaje. Natumia yo WhatsApp lakini toka jana nikaambiwa niupdate new version, ile kuupdate new version nakuta system under maintainance nikatulia, sasa toka jana system under maintainance mpaka leo, sasa nakosa...
  17. bafetimbi

    Hii kauli ya "Mwenye nacho huongezewa" naona kama ina ukweli

    Habari wazee, Nimechunguza kwa muda mrefu sana nikagundua kwamba hii kauli au msemo unaukweli kwa asilimia kubwa sana. Na sijajua ni kwanini hii kauli inatimia kwa urahisi sana kwa wenye nacho, wasionacho hupata kwa taabu sana na hata wakipata hakidumu na wanarudi tena kwenye msoto. Angalia...
  18. bafetimbi

    Kwanini watumiaji wa bangi wa Tanzania tuna midomo myeusi?

    Kila nikijiuliza sipati jibu, juzi hapa nimekutana na ndugu yangu hatujaonana kitambo sana. Katika kupiga stori akaniambia kati ya sigara au bangi kuna kimoja unatumia. Nikamuuliza umejuaje? Akasema nimeona tu mdomo mweusi. Sasa hawa wenzetu kina Bob Marley, Snoop Dogg, Wiz khalifa, Obama, Lil...
  19. bafetimbi

    Mapenzi anayonipa huyu binti hakika nitapoteza fahamu

    Za leo wadau! Natumai jumaapili inakwenda swadakta kwenu wote. Nianze moja kwa moja na hili swala lililonitokea wiki iliyopita. Wiki iliyopita nilipanga safari ya kwenda kumtembelea mjomba wangu ambaye hatujaonana kwa muda mrefu kidogo, yapata takriban miaka kama mitano hivi. Nilipofika...
  20. bafetimbi

    Jamaa unaonekana hujala mzigo kwa mrefu sana. Yani una ukame

    Kuna kipindi fulani nilisitisha maswala ya mapenzi kwa muda mrefu tu ili kupisha baadhi ya maswala yangu yaende sawia kama ninavyotaka. Pia ilitokana na ushauri niliopewa na daktari wangu. Kwa kipindi hicho nilichositisha haya maswala ya mapenzi hii kauli niliwahi kuambiwa na watu tofauti...
Back
Top Bottom