Search results

  1. AmarokB

    Kauli tata alizowahi kuniambia huyu binti

    Kama kwa sasa yuko wilaya yoyote hapa Iringa basi nimeshamfahamu
  2. AmarokB

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo unaitwa Akoreche morechare ndani yuko young dee, mucky na nani wengine sijui.. Kipindi hiko wako chini ya maxrioba na authentic studio
  3. AmarokB

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Nipo mzee baba...... Nilipigwa bogi Gereza moja la Kilimo huku ndichi kazi kazi, tuko pamoja
  4. AmarokB

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    [emoji3][emoji3][emoji3] Nipo ndugu zangu.. Tunapambana
  5. AmarokB

    "Baby Mkojo Hautoki"

    Ngoja nisubiri majibu
  6. AmarokB

    Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Dah nakumbuka huyo Kenonke Habari zake kipindi hiko Niko Tarime Sec. 2013/2015
  7. AmarokB

    Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale kortini kwa mauaji

    Wanatoka na wa nafanya kazi kama kawaida
  8. AmarokB

    Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale kortini kwa mauaji

    Wafungwa wa maisha na kifungo kirefu wote wanatoka kufanya kazi sikuhizi
  9. AmarokB

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Ingekua haijaingia maji Ingekua inaelea juu ya maji na sio kuzama kama inavoonekana
  10. AmarokB

    Utalipwa kulingana na huduma uliyotoa

    Mngechat kwa kiswahili tu
  11. AmarokB

    Hili siyo gundu ni laana sasa!

    Kimuonekano ww ni mzuri!!! ... Dah sijui kwanini nimesoma hadi mwisho
  12. AmarokB

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Kwhyo hadi lini tena?
  13. AmarokB

    Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

    Alliance one waizidi JTI!!!? Hii ni batili
  14. AmarokB

    Mapenzi ni upuuzi

    Aisee
  15. AmarokB

    Natafuta mke

    Kama title inavojieleza hapo, natafuta mwanamke atakaekua mpenzi na mwisho wa siku mke wa ndoa.. SIFA Umri: Miaka 20 - 23 Dini: Mkristo itapendeza zaidi lakini si lazima sana Elimu: Siangalii sana, kikubwa awe na uelewa tu wa ulimwengu tulionao Sasa. Rangi: Mweupe Urefu: Mrefu wa wastani Mwili...
  16. AmarokB

    Simba SC yazindua jezi zake kwa msimu wa 2022/23, uzi mkali sana

    Kwani arsenal wanabuni jezi? Jezi zao zinatengenezwa na adidas
  17. AmarokB

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Jamaa hawajafika hadi sasa, Kuna maafande wako off leo lakini wameshavaa uniform kuwasubiri misukule Ili wawapigishe Introduction to college
  18. AmarokB

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Tuko chuoni, lonja iliopo ni kwamba Kuna watu wanaongezeka Ili kufikia idadi ya 700, kwsasa tuko 449 tulioripoti na juzi MTO kutoka Makao makuu alikuja kuhakiki walioripoti. Kuna ukarabati wa mabweni, vyoo, utengenezaji wa vitanda unaendelea Kwa Kasi sana kuashiria kupokea hao kuruti wanaokuja...
  19. AmarokB

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Combat rangi kama ile khaki ya polisi, huyo nguvu ya nyani bado sijamfahamu, btw Bado maafande wengi hatujawafahamu kwsbb kozi Bado haijafunguliwa
Back
Top Bottom