Search results

  1. J

    Wizi wa Voda kwenye data-Business Lines

    Hawa voda ni wezi sana. Eti mara ghafla data ya 15000 kupata 10GB imegeuka 15000 unapata 2GB kwa siku saba. Nimechoka kabisa. Mbaya zaidi namba nyingine ni personnal kuwekewa vocha tu na ofisi wameamua kutuibia hata kama twanunua wenyewe. Acheni hizo jamani mbinguni hamtafika
  2. J

    Tuzo point za Voda kichekesho

    Mi nashauri mboreshe maana naona kichekesho tu. Eti nita mapoint kibao, ukitaka kununua kifurushi point 7000 kwa MB200, mmeboa kwa kweli. Au hizo point 80000 ukitaka iwe hela unapata 4000, kweli!!!!! Wakati unapewa tuzo 10 kwa transaction! Huu ni utani bora mbadili au mboreshe
  3. J

    Tundu Lissu ni Mwanafalsafa asiyehitaji PHD ya darasani

    Sio siri huyu jamaa unaweza kuchelewa kazi unamsikiliza tu. Tangu atoke TZ, Ulaya, Marekani jamaa mihadhara yake na interview zake ni kiboko. Sidhani kama huyu mtakatifu feki anamfikia hata chembe. Tumuombee aishi mpaka siku ndoto zake za kutengeneza Tanzania na Africa zenye misingi imara ya...
  4. J

    Ni Kama Tupo Kwenye Hali ya Hatari, Katiba Imesimama, PPRA Haifanyi Kazi, CAG Under Office Arrest

    Mi naona hivyo, ni kama enzi za Kifalme, hautakiwi kuhoji akiongea, unatakiwa kusifu tu. Hautakiwi kuhoji.
  5. J

    ATC mnatukata Stimu na Kuanza Matangazo yenu kwa Kingereza

    Kweli mmeniboa, Kenya Airways wanaanza matangazo Kiswahili, Ethiopian Airways wanaanza na Lugha yao, ila malimbukeni nyie mnaanza Kingereza halafu Subtitle za Kichini, Kiswahili badaeee, sio siri mmeniboa sijawahi kuboreka. Badilisheni bana
  6. J

    Kisimbusi kipi ni Burudani kuliko vingine?

    Wakuu habari, naomba msaada ninunue Kisimbusi kipi ili nione Chaneli za bure baada ya Azam na DSTV kukataliwa kuzionyesha? Na utaratibu ukoje?
  7. J

    Nimekoma kutumia CRDB; Sio mshahara, sio transfer ya hela wao ni kutucheleweshea tu

    Jamani hii benki sijui ikoje, ni matatizo tu sio mshahara, sio transfer ya hela wao ni kutucheleweshea tu. Imagine hela imetumwa toka j3 toka Barclays na imefika mpaka NMB tangu j4 eti wao CRDB mpaka leo alhamis haijafika. Mabenki yote ya Stanbic na NBC yameshaweka hela za staff wakati wao...
  8. J

    Imagine Polisi ndio wangekuwa mahakimu Tanzania

    Hivi hawa Polisi sisiem walivyo maharage ya mbeya kutii amri za CCM ndio wangekuwa Mahakimu. Hivi si magereza yangejaa wapinzani. Sio siri lazima kitu kifanyike ili wasilazimishe sheria kuadhibu wasio na hatia. Nawalaani hawa Polisi, na hawa makamanda wanaoonea watu nao waonewe wakistaafu huko...
  9. J

    Mzalendo huyu mbona hakuweza kuzuia wizi TANROADS?

    Huyu anayeitwa Mzalendo mbona hakuwahi kuzuia wizi TANROADS enzi zake? Huku mi naona kama analipiza visasi tu kwa baadhi ya watu na si uzalendo. Ana chuki kuona watu wanaishi maisha ya raha. Over
  10. J

    Halotel wameishiwa Pumzi kwenye internet

    Jamani nisaidieni kuhusu internet ya Halotel, sio siri inaboa mno hapa Dar, yawezekana huko porini wako njema ila Dar inaboaaa. Nadhani wameishiwa pumzi tayari, please rekebisheni kabla hatujatupa simcards zenu
  11. J

    Tuweke Rekodi Vizuri, Nyalandu hakufukuzwa CCM, alijitoa!

    Nimeshangaa sana hawa TBC na RFA eti kila wakiongelea jimbo la Singida, wananukuu eti baada ya mbunge wake kukosa sifa baada ya kufukuzwa CCM. Au wamepewa maelekezo hayo? Hata Spika naye kakomaa. Mnatia kichefuchefu. Sisi tuliona Nyalandu akiitisha press, akarusha hewani kabla ya upuuzi wa CCM...
  12. J

    Ni nani mtetezi wa wananchi dhidi ya mambo yanayofanywa na serikali yao

    Naandika kwa majonzi baada ya kuona hali halisi ya wananchi wanavyopoteza makazi yao kwa kisingizio cha maendeleo. Hivi ni kweli serikali hii imeamua baadhi ya wananchi walale nje hata kama walitumia pesa zao kujenga makazi! Ni nani mtetezi wa wananchi hawa? Hivi ni kweli waliichagua serikali...
  13. J

    Nani anayetetea Wafugaji?

    Naumia sana kuona wafugaji Tanzania wanaonewa sana na serikali hii na hakuna anayewatetea, hivi huyu waziri wa mifugo kazi yake nini?mbona kila siku wanaonewa tu?nani anawapa mwongozo wa wapi wafugie? Naumia sana kuona watu wakiteseka hivi. Mbona nyama wote tunakula na tunapenda!
  14. J

    Vodacom waanzisha huduma ya Tiba za Kienyeji

    Nimeshtushwa na huduma ya Tiba za Kienyeji toka Voda kwa ujumbe tunaoupata mara kwa mara. Naomba voda muache kututumia maana inakera wengine tunaamini tiba za kisasa. Acheni kugawa namba zetu kwa waganga
  15. J

    Hivi huko Guangzhou hakuna TANROADS na NEMC

    Jamani nazunguka huku na njia za kutoka mjini natafuta mita 120 za kimara sizioni, natafuta mambo ya kujenga ufukweni na kando ya mito sioni ujinga kama wa NEMC, hivi sisi ni nani alituroga jamani? Hivi visiwa vya Maldives na Bora Bora vingejengwaje? Hawa wapuuzi wana akili za kimaskini
  16. J

    Wabunge wa CCM ndio waliopitisha mikataba mibovu

    Wabunge wa CCM ni wanafiki na ndio waliotufikisha hapa tulipo, hatutegemei Spika huyu aruhusu wapinzani kuhoji na kujadili zaidi ya kuleta upuuzi uleule, Tundu Lissu ni mwiba na tabia yao ya kupitisha mambo kwa ushabiki ndo inatughalimu. Hii mikataba yote ya madini ni matokeo ya upuuzi wao...
  17. J

    Kitendo cha Vodacom kutuuzia internet na kutupa nguvu ya e ni ugaidi

    Jamani hawa vodacom mbona wakatili hivi? Yaani sie wa Morogoro wanatuuzia data halafu nguvu yake ni e, hakuna 3g au 4g wala H. Huu ni ugaidi wa kimitandao muache Mungu anawaona. Mnatutia hasara jamani
  18. J

    Nimesikitishwa na Riba kubwa za Airtel Timiza Mikopo

    Sio siri hawa Airtel wamepitiliza; imagine kukopa 25000 kwa wiki mbili unalipa riba 6000!!ambayo ni asilimia 25. Yaani BOT na TRA muwamulike hawa, wenzao wa Voda na Tigopesa wako chini ya asilimia 10, hawa ni wezi kabisa wamejaza matangazo mazuri kurubuni watu lakini wezi. Hata kama tunashida...
  19. J

    Serikali inafurahia hasara kwa wafanyabiashara wa viroba?

    Hivi ni kweli serikali inafurahia hasara wanayoipata wafanyabiashara wa viroba? Ina maana ndo ule msemo wa sadistic govt?wao si ndio waliwapa vibali! Kwa nini wamekazana kutangaza thamani ya viroba walivyovikamata tu?inauma sana hakyamungu
  20. J

    Nimeona utofauti wa E-FM na Clouds leo kwa sakata la Makonda

    Sio siri E-FM wamekuwa na weledi kulijadili suala la Makonda na vyeti na pia kumwomba alijibie ili walio chini yake wawe huru. Clouds FM ni waoga kabisa kuliongelea hili na hata juzi walifika mbali kushabikia watu kutokuwa na umuhimu wa elimu kwani elimu haina maana (Kibonde wa Jahazi). E Fm...
Back
Top Bottom