Search results

  1. M

    Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Hii tamthilia kali
  2. M

    Jacqueline si mtoto wa Prof Ndalichako, asihukumiwe bila hatia

    Loh, kama kuna watu wana upeo mkubwa wa akili basi wewe ni namba wani. Unafikiri beyond, hongera kwa maelezo yaliyojaa herufi nyingi, hakika unasthiki kuombewa.
  3. M

    Waandishi wa Habari, Wahariri, badilikeni mpate kuwa na weledi!

    Ninakereka sana na namna wanavyouliza maswali. Asilimia kubwa ni maswali yanawadhalilisha. Tizama namna mahojiano, sijui wanatumia dodoso moja!
  4. M

    Kwa heri mpenzi

    Utunzi huu ulikikuwa maalumu kwa kidato cha nne shule ya sekondari Mtombozi iliyoko mkoani Morogoro. nimejaribu kufuata nyayo za Mabala Richard, sina hakika kama nimeweza kufata nyayo zake, majaji ni wasomaji
  5. M

    Yote Tisa:Kumi, Ni Ushindi wa Fikra Zenye Nguvu Dhidi ya Fikra Dhaifu

    USITAKE KUMTUKANA RAIS WAKO KUWA NAYE NI JUHA KWA KUUNGA MKONO HOJA "ZA WAPENDA NCHI" kuwa makini sana KASHESHE NA WAFUASI WAKO
  6. M

    Yote Tisa:Kumi, Ni Ushindi wa Fikra Zenye Nguvu Dhidi ya Fikra Dhaifu

    Usitake kumtukana rais wako kuwa naye ni juha kwa kuunga mkono hoja "za wapenda nchi"
  7. M

    Yote Tisa:Kumi, Ni Ushindi wa Fikra Zenye Nguvu Dhidi ya Fikra Dhaifu

    Ushindi wa kwanza kuelekea katika UKOMBOZI WA KWELI, hoja zao za kulazimisha. na kituko cha Samweli Sitta kujigeuza tume, UNAFIKI WA MAKUNDI kupeleka maoni yao sasa, hatimaye umegeuka kuwa KUJIVUA NGUO MCHANA MBELE YA WATOTO.
  8. M

    Umasikini wa watanganyika umesababishwa na CCM sio wazanzibar

    CCM KICHEFUCHEFU CHEFUA Wakati kukiwa na harakati za kuondoa matatizo yanayoikabili Tanzania kipo chama kinachofikiria kukuza propaganda. Wakati ndani ya miaka hamsini ya muungano wa Tanganyika na Zanzibari, ambao una kila aina ya kero na sintofahamu, na wakati muarobaini ukitafutwa...
  9. M

    Sare za Shule, Kwa nini?

    Muwasilisha mada, wazazi wanakosa fedha za kununulia nguo ama sare?, iweje wapate za kununulia nguo za nyumbani wakose za kununulia sare? jaribu kutengeza hoja kamilifu idiyo kuwa na ombwe ndani yake. umesema
  10. M

    Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

    "wakulima wana matatizo ikiwemo bei ya mazao, mfano gharama 800 kwa uzalishaji wa kilo moja na serikali inapanga bei kwa kilo tsh 600, hivy badala ya maisha bora ya na kuwa umaskini maoni ya katiba mpya" maneno a Warioba bungeni sasa
  11. M

    Natafuta Kazi ya Usalama wa Taifa

    msiri gani wewe unayetoa siri kuwa ni msiri?
  12. M

    Nyani mjengoni

    NYANI MJENGONI Salamu natanguliza, Bara nako visiwani Mezani nako baraza, Salamu zikufikeni Mwaloni na viambaza, Salamu ninakupeni Nyani huko mjengoni, Hivi atafuta nini? Hivi atafuta nini, Nyani huko mjengoni Asiliye ni mwituni, Mjini katafutani Anijaza tafarani, Nayo maswali kichwani Nyani...
  13. M

    wataalam wa kiswahili naombeni mnisaidie swali hili,

    zote ni kamusi za lugha zote zinatoa fasili za zote zinatoa ufafanuzi wa misamiati
  14. M

    Kitabu kipya cha riwaya ya kiswahili.

    kwanza tuma hii taarifa katika jukwa la lugha, vilevile, tafuta hati miliki,au nenda kwa wachapishaji watakupa kila kitu. kumbuka kiwe kimehaririwa, umesema we ni mwanachuo, peleka katika kitengo cha lugha kihaririwe.
  15. M

    usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

    Watanzania tunaona JUA linatoka na KUZAMA, Tunafurahi na kupongezana, SERIKALI HII,Itaamua ikiwa GIZA NDIO BORA AMA VIPI
  16. M

    Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

    yakusemwa yatasemwa UKWELI UTABAKIA kila kitu kina rutuba yake, ikikosekana meza ya majadiliano katika kutafuta haki DAMU NI RUTUBA NA MBOLEA SAHIHI
  17. M

    Tuhadaike hadi lini?

    Watanznia tuamke
Back
Top Bottom