Search results

  1. S

    Hivi Tanzania ilinufaikaje na ule mkutano wa WORLD ECONOMIC FORUM 2010?

    Hivi kuna idara ya serikali au Chuo kikuu ambayo inafanya tathmini ya ule mkutano uliozalisha foleni na karaha hapa Dar?
  2. S

    Chanzo cha vurugu ya gesi Mtwara ni hiki

    Serikali kwa kupitia kwa Muhongo na wasomi wajuaji waliojazana kule kwenye nchi yao ya Mgogoni/Kivukoni waliamua kuandika sera ya gesi lakini la kushangaza ile sera iliandikwa kwa Kiingereza kigumu kwa maslahi ya watu wa nje ya nchi na ruling elites. In short hakuna sera ya gesi iliyoandikwa...
  3. S

    biashara ya Tanzanite

    Hii inalipa au? Kuna mtu kaniambia anao mzigo nimtafutie masoko ya nje ya nchi lakini mimi sijui cha kufanya kwani naskia ma Chinese ndio wanunuzi wakubwa lakini hapa bongo nako naambiwa kuwa mzigo umekuwa mwingi mno kiasi cha kuwa hakuna soko hebu wajuzi tuwekeeni sawa juu ya hiii biashara.
  4. S

    Sacrifice ya wana Lindi/ Mtwara kwa Tanzania

    Hivi hawa wa Tanzania wenzetu toka mikoa ya Lindi watu wa Lindi na Mtwara walifanya sacrifice zipi kabla, wakati baada ya Mkoloni? Je kisiasa, Kitamaduni (zaidi ya Tinga Tinga) na Kiuchumi (zaidi ya Korosho, Gesi na Mafuta....SAGCOT, Mtwara corridor) kuna kitu gani zaidi ambacho hawa wenzetu...
  5. S

    Duka la Mariedo na bidhaa bandia

    duka la mariedo na bidhaa FEKI na CHEAP Kwanza maduka yao yako so depressing...rangi rangi nyingii utafkiri yale cover ya sinema za porn za 1960's pili sijui kwa nini wanauza vitu feki feki tena kwa bei za juu na mbaya zaidi wameingi akwenye mkumbo wa network za ufisadi na baadhi ya maofisa...
  6. S

    UNAFIKI wa wabunge/mawaziri wa Zanzibar

    Wabunge wa baraza la wawakilishi ZNZ ni wawakilishi wa wazanzibari lakini nathubutu kusemakuwa wamezidi UNAFIKI na kuwa na double standards Baa zinachomwa moto huko ZNZ lakini wabunge wao wako mstari wa mbele ku tangaza pombe kama picha zinavyoonyesha hapo chini. TBL ilipotaka ku sponsor...
  7. S

    CAG Report on Ikulu

    Hivi kwa nini hii doc ni ngumu sana kuipata?
Back
Top Bottom