Search results

  1. Vmark.

    Mwalimu wa Linguistics and political science anahitajika urgently.

    Mwalimu wa masomo tajwa hapo juu awe amefanya BAED na awe ame Major kwenye Linguistics and Political science that means atafundisha General Studies na English Language anahitajika shule moja ya private iliyopo Singida haraka. For more details waweza kunitumia Pm au call me through...
  2. Vmark.

    How to join society of Jesus(Jesuits) please.!!

    Wana jf kama kuna mdau mwenye details za kujiunga na shirika la Jesuits naomba anijuze na kielimu mie ni graduate. All the best guys with constructive and destructive criticism.
  3. Vmark.

    Maadili ya walimu.

    Wana jf nimekuta wa2 wanajadili maadili kati ya mwalimu wa primary na wa secondary in terms that wa secondary hawana maadili! Lets discuss this jf pals!
  4. Vmark.

    Grand malt....

    Wakuu naomba clarification ya side effects za grand malt coz mi naitumia regularly kama njia mbadala ya alcohol bt nikishai2mia huwa napata erection isiyo ya kawaida..,...erection ya masaa mengi 2 then cna wife na ma gfriend yupo mbali nami! Xo is there something in grand malt inayosababisha...
  5. Vmark.

    Help please: Hela ya kujikimu kwa waalimu wa shahada ni siku ngapi?

    Wana jf! Salute kwa wote humu jamvini. Kuna mdogo wangu wa kike kapangiwa Arusha Meru na kaniambia kuna rumours kuwa hela ya kujikimu imepunguzwa kutoka cku 14 hadi cku 7 kama ilivyokua last year! Is there any authenticity with this information jf members? Teachers please i need ua contributions!!
  6. Vmark.

    Msaada wana JF kuhusu NBC bank

    Holla Amigos! Mi ni mteja wa nbc tangu mwaka 2007 na nilifungua student account kipindì hicho na nimei2mia from that tym had mwaka huu. Weirdly leo nimeenda ku withdraw my money kwnye branch ya moshi nilichojibiwa ni 'account status' na cjaweza kudraw hela hadi nikakwama nauli ya kurudi kazini...
  7. Vmark.

    Uhusiano wa kunywa pombe na kukosa usingizi.

    Hola amigos! Naombeni ufafanuzi jf doctors kati ya kunywa pombe na kukosa ucngizi uciku....this thing disturbs me a lot i.e jana nilikunywa bia tatu nikalala saa nne but kufika saa nane ckupata ucngizi hadi saa kumi na mbili asubuhi....na hii si mara ya kwanza ni mara nyingi tu inanitokea...
  8. Vmark.

    Viva jf!

    Naomba nitoe heshima kwa wana jf wote kwa michango yenu na elimu ya ukweli inayotolewa humu jf hadi nikavutiwa kuingia humu jamvini! Viva jf!
Back
Top Bottom