Search results

  1. Boeing787-8

    SURVEY CTO

    Heri ya Pasaka, Kuna Kazi zimetangazwa na IPA, nataka kuomba, ila wanataka candidate mwenye deep experience ya SurveyCTO. Hii Survey CTO ni Nini, inadeal na nini? Kama huna experience nayo unaweza jilipua na kuomba iyo kazi. N.b nime-google ila sijaielewa ata. Karibu
  2. Boeing787-8

    Je Diploma in secondary education itafutwa?

    Wakuu karibu tujadili. Sahivi Kuna sera mpya ya Elimu, na imepitishwa na serikali, na katika sera hiyo, Kuna mabadiliko kwenye eneo la walimu. Katika sera mpya Ili ufundishe Sekondari ni lazima uwe na Degree/ Shahada. Na Ili ufundishe shule ya msingi lazima upitie kidato Cha sita afu usome...
  3. Boeing787-8

    Je, ni halali kukimbia kazi uliyonayo ukipata dili kubwa?

    Wakuu hii imekaaje. Mfano uko private sector una contract ya 1 year. Mshahara ni 500k. Badae upate kazi ya mshahara wa 700k, na contract ni mwaka mmoja. Je, ni halali kumkimbia mwajiri wako ukipata deal zuri? N.b working environment ni almost the same katika hiyo kazi ya 500k na ya 700k...
  4. Boeing787-8

    Ni part time job ipi inanifaa?

    Wakuu jamii forum naitegemea sana Kwa ushauri. Naombeni mawazo yenu. Ni mwalimu private, muda wa kutoka kazini ni saa11 ndo nafika nyumbani. Mshahara hautoshi nataka kufanya part time job. Tuition Kwa huo muda watoto kuwapata sijui kama ni rahisi maana utaishia kuwafundisha SoMo Moja...
  5. Boeing787-8

    Naomba kufahamishwa kuhusu shirika liitwalo 'Maternity Africa -Arusha'

    Wakuu naomba anayelifahamu, vizuri hili shirika anieleze kidogo. Maana naonaga kazi zao Ila nkitaka kuomba nasita maana NGO nyingi kazi zao ni za kujuana
  6. Boeing787-8

    Ni lazima kupata majibu ya practical interview

    Hi naomba kuuliza ukifanya practical interview, Ni lazima upewe mrejesho, au wanaweza piga kimya ata Kama umefahuru au umeferi Karibu
  7. Boeing787-8

    Volunteering/internship kwenye international School

    Hi wakuu, siku hizi Kuna tabia ya walimu waliohitimu vyuo, kujitolea kwenye shule za serikali na kupata ujira mdogo Vipi nataka nijilipue nine kujitolea kwenye international school, mwenye kujua changamoto kwenye izo shule anijuze,,,asa changamoto ya kupata chance kwenye izo shule
  8. Boeing787-8

    Msaada, kupata Certified criteria cognitive Report(CCCR)

    Hi wakuu, niliomba kazi shirika moja la wabeligiji, Sasa leo nimetumiwa email, kuwa inabidi niambatanishe CCCR, na form ya entry stuff, wameweka link mbili jinsi yakupata iyo certificate Lakini Cha kushangaza hiyo tahasisi inayotoa iyo certificate Ni kuwa lazima ulipie,na hela Sina Nawezaje...
  9. Boeing787-8

    Msaada, Sina Raha tena na mahusiano

    Sijakosea kuleta huu Uzi kwenye jukwaa la mahusiano na si jukwaa la afya. Mimi ni kijana 29yrs, nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti, na kitandani nilikuwa vizuri sana kitandani. Mwaka 2020 nilipoteza kazi, nilipata mawazo makari Sana yaani makali, ilipelekea Hadi moyo wangu kutanuka kwa...
  10. Boeing787-8

    Ajira za Enabel Belgian Development agency

    Hi niliomba kazi ya office attendant kwenye ilo shirika, aisee hawa watu kazi ndogo kama iyo, lakini application yake sio ya nchi hii. Yaani unatumia like 2hrs kufanya application kupitia kwenye web yao. Vipi washaita, watu wa usahili. Na je wakoje Hawa watu, kwenye recruitment.
  11. Boeing787-8

    Ajira mpaka kuwa na cheti Cha Covid-19

    Hi wakuu, hivi ni kweli kwamba ukitaka kuajiriwa kwenye mashirika na makampuni ya kimataifa, lazima utatakiwa kuonyesha cheti Cha Covid-19? Kama ni kweli, unaweza kukosa kazi kwenye hizo UN agencies, na mashirika na kampuni za kimataifa kisa huna cheti Cha chanjo ya Covid-19. Karibu
  12. Boeing787-8

    Msaada nataka kumzalisha huyu mdada

    Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019. Tumedumu kwa huo muda japo Kuna milima na mabonde tumepitia, but now tumekomaa, Mimi Ni Graduate Sina kazi, but nilifanya kazi kwa miaka miwili, mkataba ukaisha, now nafanya bihashara na mungu anasaidia Mambo yanaenda. Huyu binti...
  13. Boeing787-8

    Kuhakiki vyeti kwenye mfumo wa Tamisemi

    Naomba kuuliza ndugu zangu, ukisha fanya application na kumaliza, sehemu zote tunazo attach vyeti, unaweza ku-click attached PDF, ku-verify Kama vyeti ulivyo attach Ni sahihi . Na je kitu icho hakiathiri maombi yako
  14. Boeing787-8

    Mfumo wa Tamisemi unabadilisha mwezi wa kuzaliwa wa muombaji

    Hii kitu ilijitokeza 2020, mfano mtu unaitwa John Mutalemwa Koku, umezaliwa, 7/9/1996, ukisave pale kwenye personal details. Jina linabadilika na kuwa John Mtalemwa (wameondoa U) Koku. Kwenye tarehe itasomeka 7/8/1996, what is this folks
  15. Boeing787-8

    Hili tatizo la Tamisemi nalitatuaje?

    Nshasajiri account ya ajira, Tamisemi since 2020. Hivi tuna-create upya account kwa kutumia Email au nida au tunatumia zilezile za nyuma Na sehemu ya ku-create account mbona siioni
  16. Boeing787-8

    Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la moyo

    Hope mko poa. Miaka ya nyuma Kama 10yrs ago wakati wa utoto, nilipenda sana kucheza Mpira, nilipokuwa nakimbia Sana nilikuwa nasikia Kama Kuna kitu kinabana kwenye moyo afu kinaacha Basi nikawa nachukulia poa, kwa kua haikunizuia kufanya kazi zangu za kila siku. Miaka ilienda nkawa Kama muda...
  17. Boeing787-8

    Sielewi ninapendwa kweli au nafanyiwa maigizo

    Mie ni kijana nilimaliza chuo ajira hamna. Basi nikaamua kujiajiri now nafanya biashara Mungu anasaidia. Kutokana na shughuri zangu za Biashara nina mazoea na watu wengi, dada kwa Kaka, wamama kwa wa baba. Basi bana kuna mdada mmoja ni single maza anaishi peke yake, anafanya kazi za kawaida...
  18. Boeing787-8

    Ajira za walimu, ni kigezo kipi kinatumika kuajiri walimu wenye sifa sawa

    Kuuliza sio ujinga, hivi Tamisemi wanatumia kigezo kipi kuajiri walimu wenye sifa sawa, mfano Juma alimaliza 2016, masomo: Chemistry na Biology, umri 28 Àlex alimaliza 2016,masomo Ni Chemistry na Biology,umri 28. Unakuta wote hao hakuna mwenye connection lakini, anachukuliwa mmoja na mwingine...
  19. Boeing787-8

    Wadada na namba ya simu...

    Nyie kina dada acheni ujinga, kujidai na kujiona. Unakutana na mdada unamuelewa unamuomba namba ya simu, bila iyana anakupa namba, uki-beep kweli simu yake inaita, kumaanisha amekupa namba ya ukweli. Basi baadaye ukianza kumtext hajibu sms, wala hapokei call. Wadada wa kibongo acheni ujinga...
  20. Boeing787-8

    Walimu wa science

    Je wewe ni Mwalimu wa masomo ya Science? Umeomba ajira Mara ngapi serikalini na ukakosa, je unayo matumaini ya kupata ajira. Binafsi nimemaliza UDSM, 2018 teaching subjects zangu ni Chemistry na Biology. Kwenye darasa letu ameajiriwa mtu mmoja tu, kwa mwaka wetu wameajiriwa walimu wa physics...
Back
Top Bottom