Naibu Waziri wa Fedha ndg Mwigulu Nchemba Madelu amekonga nyonyo za washiriki wa mkutano uliofanyika Angola kuanzia tarehe 17-18 Dec 2014 mjini Luanda nchini Angola.
Naibu Waziri huyo aliyekuwa akiitwa Nyerere enzi akiwa chuo kikuu kwa ajili ya uzalendo wake na kujali masikini ambaye kwa sasa...
asubuhi hii Mkutano wa hadhara wa Mwigulu unaoendelea Karatu mjini.
Katibu wa CHADEMA wilaya ya karatu .Picha zaidi zinakujia.
karatu ndio nyumbani kwa Dr slaaa
Naibu Waziri husimama kama Waziri kaka Waziri husika hayupo eneo husika.Hivyo kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri wanaingia kama Mawaziri wa wizara husika hawapo
Rais Kikwete asisitiza tena vijana kuchukua nchi.
Hakika Mwigulu Nchemba ndiye Rais 2015.
Alisema wananchi wasasa watawakataa wazee. Alisema hivyo kwa kusema " nilipolisema hili Tabora wengine likawaudhi, lakini ukweli ni kwamba vijana wananguvu na hata mimi niligombea nikiwa na miaka 44 tu...
Na Angela Kiwia
NIMEKUWA na utaratibu wa kumuandikia Rais wangu barua- na salamu ambazo huandikwa kupitia ukurasa huu.Nimekuwa nikitumia utaratibu huu kutokana na kutopata fursa ya kumkaribia na kuonana naye uso kwa macho.Hivyo basi kutokana na fursa niliyonayo kupitia Kurunzi nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.