Search results

  1. Muuza Sura

    List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

    Una uhakika au umemuweka tu hapo khamis kisa ya cheo chake?umewahisha sana mpe muda kidogo
  2. Muuza Sura

    Harmonize ndiye King wa Bongo Fleva kwa sasa

    Dogo mziki kauvulia nguo🙌
  3. Muuza Sura

    Hemedy PhD adai watoto wake 6 wamepishana miezi miwili, miwili tu

    ukiwa stareheni leo usiwaze kesho ili ustareheke leo
  4. Muuza Sura

    Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    ukiropoka weka akiba ya maneno unaweza ukakuta babako unamuita dada kwakuwa anapenda wimbo wa mfalme KIBA maana mpaka jana utafiti unaonyesha ni zaidi ya asilimia 90% ya wanaume wa Kitanzania wenye akili timamu waliousikiliza huu wimbo wa Ally wanaupenda huku wimbo wa MAWIGI JAZZ BAND ukionekana...
  5. Muuza Sura

    Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    nipo champ!system against system mbio mingi mixer password kuisahau basi tafrani ila kiba ashukuriwe hii ngoma mpaka password nimeikumbuka..hahahahah!
  6. Muuza Sura

    Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

    Nikiwa kama miongoni mwa watu wanaofuatilia mziki wa kizazi kipya nimeona itakuwa sio mzuka kutotia tia neno katika wimbo ambao ni homa ya majiji makubwa yote duniani wanaojua mziki mzuri..kwa tafiti yangu ya siku chache nimegundua wimbo huu wa Ally una maajabu kumi kama ifuatavyo:- 1.Kautoa...
  7. Muuza Sura

    Kilimanjaro Kobil Rally 5/3/2017

    Babu Gerald Miller wa kwanza. ..jamil khan kashindwa kumaliza. ..Davis mosha kashindwa kumaliza
  8. Muuza Sura

    Swali: Ukipewa kazi ya kubuni chombo au kifaa chochote bila kuiga popote utabuni nini?

    Ningebuni kifaa cha kupima ukubwa wa ushuzi yaani kijambo measure
  9. Muuza Sura

    Le Mutuz Is So Fragile Inside

    Maisha bana. .eti dem anaweza akamkubali Le mutuz akanikataa mimi
  10. Muuza Sura

    Abby Skillz sijui kama utaweza kurudi kwa uimbaji huu

    Abby skills hajawahi kuwa msanii mkali ila ana bahati ya kupigiwa chorus za hatari na siku zote kiba na byser ndo wanambebaga hata ujio huu nahisi ni ushawishi wao. .ila trust me hii ngoma itabamba kwani kuna ladha watu waliimiss kutoka kwake
  11. Muuza Sura

    TID pokea ushauri, rudi kwenye fani ya utangazaji

    Kuna watu wanapenda unga ila tidy hawamfikii
  12. Muuza Sura

    Mtangazaji Masoud Masoud wa TBC

    Ahsante. .vionjo kama hivi naweza kuvipata wapi. .namkubali sana huyu mzee
  13. Muuza Sura

    Mtangazaji Masoud Masoud wa TBC

    Relax huna haja ya kupanic
  14. Muuza Sura

    Moshi unafuka,Diamond amekataa Lemutuz kurudia wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala"

    Le mutuz utozi anaupenda ila jiografia ya mwili wake ndo unamuangusha. ..yale mashati yake kama anafua mwenyewe atakuwa anapata sana tabu kuyaanika maana mzigo mpana mithili ya pazia
  15. Muuza Sura

    Je, wajua? - Special Thread

    Huyo nyegere kwa jina atakuwa full nyege ila sio kicheche
  16. Muuza Sura

    Ferooz: Nimejifunza

    Comments nyingi za mzuka kufata upepo ila ngoma kali
  17. Muuza Sura

    Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

    Lemutuz inabidi ajue mchupi wake tu mange anashona gauni na kitambaa kinabaki. .akijua hivyo atajiheshimu na kuacha ushindani na wanawake
  18. Muuza Sura

    Kwa Hili WCB mmechemsha

    Kipindi hiki si kizuri kutoa wimbo basi tu ubishi wake. .mtaani kuna aje ya king kiba na kuna hainaga ushemeji ya man fongo unaanzaje kutoa wimbo. .Diamond mjanja ndo maana hajatoa wimbo mpaka sasa kaamua kutoa video clip ya sarakasi aliofanya na p square ambapo yeye diamond kaenda kama moses...
  19. Muuza Sura

    Uchambuzi wa MTV base nyimbo ya diamond platnumz ft psquare " kidogo"

    Hii ngoma diamond mwenyewe alikuwa anaogopa kuitoa kwani hajaitendea haki ila ile misarakasi kama tangazo la Olympic imeipa mapokezi mazuri. ...
  20. Muuza Sura

    Ngoma mpya: Roma ft Darasa & Jose Mtambo - Kaa tayari

    Ngoma kali. .roma katisha sana
Back
Top Bottom