Search results

  1. Dunamist

    Msaada: Alarm ya gari yangu inalia non stop (bila kuacha)

    Msaada wakuu Gari inapiga alarm kama kuna mlango uko wazi. Ila milango yote imefungwa. Nikiiwasha kwenye dash body inaonesha mlango uko wazi. Nikiwasha taa hiyo alama kwenye dashboard inatoka.
  2. Dunamist

    Tuambie uongo uliowahi kuambiwa kuhusu magari

    Imagine nikiwa mdogo nliambiwa ETI Range rover haziruhusiwi kupaki benki, kwa sababu eti zina speed kali kwa hiyo zikitumiwa na majambazi kupora, polisi hawawezi kuzifukuzia wakazipata. Halafu pia eti, Range rover huwa hazipinduki, eti kwa sababu tairi zake huwa zinatanuka gari ikitaka...
  3. Dunamist

    Wako wapi hawa miamba? Mbona hawajatia nia wala kuchukua fomu?

    Kama mtanzania mpiga kura nilitamani kuwaona hawa wakali wakitia NIA na kuchukua fomu na hatimaye kuongoza mashambulizi ya ushindi ya chama chetu. 1. William J. Malecela - Le-Mutuz Huyu ni super brand, angetia nia na kupitishwa angeshinda popote ndani ya ardhi ya Tanganyika. Baadaye...
  4. Dunamist

    Farao asiyemjua Yusufu

    Mpaka ninapoandika uzi huu, kama sio lockdown ya corona, huko Misri kuna watoto wangekuwa darasani kwenye somo la historia wanajifunza habari za Mwebrania aliyeitwa Yusufu. Huyu ndo yule jamaa aliokoa Taifa lao na lake yasiangamizwe na njaa baada yakumpa ufunuo wa ndoto ya njaa kali aliyoota...
  5. Dunamist

    Ni pesa gani huwa unazikumbuka ukifulia?

    Binafsi huwa nazikumbuka sana - Ngawira zangu nilizolipia gym wakati ningeweza kupiga zangu push ups home na jogging nikachoma calories kama kawaida, na - Zile nilizolipa car wash kuosha kamkweche kangu wakati ningeweza kukapiga maji mwenyewe home alone kakang'aa kama kawaida Wewe je!
  6. Dunamist

    Uhusiano wa kiasi cha mafuta na matumizi yake

    Wakuu heshima nyingi ziwafikie Naomba kujuzwa uhusiano wa kiasi cha mafuta unachoweka kwenye gari na matumizi yake. Zipo habari kwamba ukiweka mafuta mengi kwenye tenki la gari yako (mfano full tank), yanadumu muda mrefu kuliko ukiwa unaweka kidogo kidogo (vibaba). Ikoje hii technically...
  7. Dunamist

    Money Heist ni wazungu wanaosukuma bidii agenda zao kwa nguvu

    Habarini wakuu Poleni na taharuki ya COVID-19 Nmeangalia hii tamthilia ya MONEY HEIST (LA CASA DE PAPEL) kama wengi wenu mlivyofanya kipindi hiki cha karantini. Kati ya vitu nlivyogundua ni kwamba mabeberu wako siriaz na agenda zao. Hebu fikiria USHOGA na USAGAJI unavyokuwa displayed kwenye...
  8. Dunamist

    Mbowe na Sugu wanatumia pesa zao gani kupeleka maendeleo majimboni kwao?

    Amani iwe kwenu wakuu! Jana tar. 13 sept. kwenye gazeti la Mwananchi la mtandaoni kulikuwa na habari yenye kichwa kilichosomeka "WAITARA ADAI AMEKATAA KUWA KENGE CHADEMA" Mwananchi ilimnukuu mgombea ubunge wa CCM jimboni Ukonga akisema "Mbowe jimboni kwake Hai kuna umeme hadi migombani, Mbeya...
  9. Dunamist

    Wasanii huwa wanakunywa nini kwenye haya makombe makubwa?

    Ni nini kinakuwaga kwenye haya makombe?
  10. Dunamist

    Uchawi upo, usidanganywe

    Hiki ni kisa cha kweli kilichotokea kwenye familia yetu miaka 18 iliyopita. Ilikuwa mwaka 2000, wakati huo nikiwa na miaka 12. Familia yetu ilikuwa inaishi huko Tarime vijijini kwenye eneo (plot) ambayo haikuwa yetu ila ya jirani yetu ambaye tulikuwa tunaishi naye kama majirani japo kulikuwa na...
  11. Dunamist

    Ole Nasha: Monduli wanarudia mtihani waliofeli 2015

    Meneja wa kampeni wa mgombea wa CCM Julius Kalanga katika uchaguzi wa marudio katika jimbo la Monduli mbunge wa Ngorongoro na naibu waziri wa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha amesema wana Monduli wamepata nafasi ya kufanya masahihisho baada ya kufelimtihani mwaka 2015...
  12. Dunamist

    Arusha: Diwani wa kata ya Engutoto, Aman Rewad(CHADEMA) ajiuzulu na kujiunga CCM

    Diwani wa kata ya Engutoto kupitia CHADEMA mh. Aman Rewad amejiuzulu na kujiunga CCM leo. Asema amechoka kuwatumikia miungu watu.
  13. Dunamist

    Makonda alishafutwa kwenye siasa na Askofu Gwajima

    Salaam wakuu Ni takribani mwaka sasa umepita tangu Askofu mkuu wa makanisa ya Ufufuo na uzima Dr. Josephat Gwajima alipotangaza kumfuta kwenye ulingo wa kisiasa kwa sababu ya kumdhalilisha yeye kama mtumishi wa Mungu kwa kumhusisha na kashfa ya madawa ya kulevya. Kama kumbukumbu zangu ziko...
  14. Dunamist

    Jamhuri ya Kiislam ya Iran

    Salaam wakuu Natambua kabisa kuwa JF iko na utajiri wa wajuvi wa mambo katika kada zote za maisha. Kijana wenu naomba kujuzwa haya machache yanayonitatiza kuhusu muundo wa serikali ya Iran. Mosi, natambua kuwa Iran ni jamhuri ya Kiislamu, je kiongozi wa kidini wa Iran ana mamlaka kuliko...
Back
Top Bottom