Search results

  1. F

    Waliowahi ku-order bidhaa online kupitia mtandao wa alibaba naombeni uzoefu wenu

    Habarini za asubuhi wanajamvi, Kuna bidhaa nataka ku-order online kupitia mtandao wa alibaba, je nitaratibu gani za kufuata ili niweze kuipta bidhaa hiyo kwanzia kufanya malipo mpaka kuweza kuitia mikononi.. napia naomba uzoefu kwa wale walioshawahi kufanya na kufanikiwa mpaka bidhaa kuwafikia...
  2. F

    Kwanini mikate mingi ina mchanga siku hizi?

    Wakuu habarini za usiku, Ni muda nimekuwa mtumiaji mzuri wa mkate katika kifungua kinywa cha asubuhi, lakini nime-kutana na changamoto ya kitafunwa hichi kuwa na chembe chembe za michanga ndani yake. Nimejaribu kubadili brand mbali mbali lakini naona hali ni ile ile. Je, hali hii inasabishwa...
  3. F

    Nina uhitaji wa kujifunza lugha ya kingereza

    Habarini za usiku wanajamvi? Ni taasisi au chuo gani kwa hapa Arusha kinatoa mafunzo ya lugha ya kiingereza kuanzia cha kuongea na kuandika kwa vitendo zaidi, Na iwe inatoa mafunzo hayo kwa muda mfupi kama miezi mitatu. nimgependa kujua na bei wanazotoza pia. Nataka kukinoa zaidi hichi kidogo...
  4. F

    Anayejua zinapouzwa hizi "manual blender" za kusagia juisi

    habarini wanajamvi!? naulizia ni wapi wanapouza hizi manual heavy duty blender( brenda) ambayo haitumii umeme kama hiyo hapo pichani. Achana na hivi vidogo vidogo vinavyouzwa na wamachinga, nahitaji kubwa kama hiyo kwenye picha kwaajili ya shughuli zangu za kuuza juisi kwenye mkokoteni wangu...
  5. F

    Je EX wako alikuacha bila sababu? Tumegundua dawa.

    Je umeachika bila sababu??? Tunarusha mawe usikukucha kwenye bati la Ex wako, tunaku*nya pia nje ya chumba au nyumba yake kwa bei nafuu kabisa. Mikoani pia tunatuma vijana. Ajira ngumu acha tujiajiri
  6. F

    Je, wameshaanza kuajiri kwenye ule mradi mkubwa wa umeme Rufiji?

    Habarini wakuu naomba kuuliza hivi, wameshaanza kuajiri watu kwenye ule mradi wa stegler george (sijui kama nimepatia kuandika) huko rufiji?? Naomba mwenye taarifa atujuze maana mtaani ni pamoto.
  7. F

    Taarifa: kuhusu kuajiri kwenye ule mradi mkubwa wa umeme huko rufiji

    Habarini wakuu naomba kuuliza hivi, wameshaanza kuajiri watu kwenye ule mradi wa stegler george (sijui kama nimepatia kuandika) huko rufiji?? Naomba mwenye taarifa atujuze maana mtaani ni pamoto.
  8. F

    Tuchangamkie fursa kabla ya tarehe 1 june 2019

    Nimeona matangazo mbalimbli ya kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya nailoni (malboro) kutoka kwa viongozi wa serikali. Huku kukiwa na vifungo, faini au vyote kwa pamoja kwa mtu au taasisi itakayo zalisha, sambaza au kutumia mifuko hiyo. Aidha, kwa upande wangu nimeona ni fursa adhimu kwetu...
  9. F

    Magari yanayoenda kibiti

    Habarini wanajamvi naomba kuuliza mimi nipo ferry nataka kwenda kibiti, Magari ya kibiti yanapatikana wapi na bei yake ipoje???
  10. F

    "Siyo mimi, ni Mugabe"

    Tafakuri ya leo, kwa wale wanaotusisitiza vijana tujiari ilihali wao wameajiriwa. Naukumbuka huu msemo unaosema "Kaajiriwa ili kuwafundisha watu kujiajiri"
  11. F

    Kwani wamewakosea nini nyinyi madereva????

    Hata wao wanafamilia zinazowategemea Samahani kwa picha
  12. F

    Kwani wamewakosea nini nyinyi madereva (Picha)????

    Hata wao wanafamilia zinazowategemea, kama wewe dereva ulivyo na watoto na mke/wake/mume, vilevile hata wao wako hivyohivyo. Tuwalinde, tuwatunze, na tuwape nafasi nyingine ya kuishi. Samahani kwa wote ambao picha itawakwaza, nia yangu ni kuelimisha jamii juu ya viumbe hai wanaohitaji kuishi.
  13. F

    Mnaorudi "Nyumbani" mwisho huu wa mwaka pitieni hapa.

    Tunajua wengi tunapoelekea mwisho wa mwaka huu, lazima turudi nyumbani, kusherehekea pamoja sikukuu ya christmas na mwaka mpya. Tunawakumbusha mnaokuja huku vijijini mubakikishe mnakuja na mlichovuna huko mijini mwaka huu wote mzima. Kama ulikuwa unazungusha sket au suruali huko mjini...
  14. F

    "TAARIFA"

    "Msije mkasema hamjaambiwa, wengine mnavichwa kama rungu au dume la siafu, sasa hilo wigi likipeperushwa na upepo kumbe ulikuwa unaficha uwalazi usije sema huku ambiwa. Ikiwezekana muyagongelee misumari au muyawekee gundi" Nawasilisha taarifa
  15. F

    Tunaotaka kujifunza kuendesha GRADER, EXCAVATOR, ROLLER n.k tukutane hapa

    Uzi huu nimeuleta kama moja ya kukutana wale wote "tunaotaka kujifunza" na "waliojifunza" kuendesha mashine hizi ambazo ni heavy duty. Tupeane maujanja ya hizi mashine maana tumeona zinafursa nyingi katika serikali hii ya awamuya tano. Kama tunavyoona miradi mikubwa ikijengwa kama ule mradi...
  16. F

    Unaweza kuomba dunia ipasuke..

    .
  17. F

    Halafu bado unajiita "mstaarabu"

    .
Back
Top Bottom