Search results

  1. mwanamwana

    Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

    Hiyo ilikuwa fursa nzuri sana, Siku nyingine tafuta Mwanasheria upige mpunga wa bure.
  2. mwanamwana

    Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake...
  3. mwanamwana

    Zitto Kabwe: Kuelekea uchaguzi 2024/2025 hakuna dalili ya Katiba Mpya hivyo ni muhimu kuweka mazingira ya kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi

    Zitto Kabwe akiongea katika kipindi cha Power Breakfast amesema kuwa “Tulitarajia kwamba mambo ya 2019 na 2020 (Kuhusu uchaguzi) yangekuwa mambo ya aibu kwamba yasingeweza kutokea tena lakini yanatokea, kwa hiyo misingi ni msingi wa kikatiba na msingi wa kisheria, ni dhahiri kwamba hatuoni...
  4. mwanamwana

    Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

    Sana aisee, vijana tumekuwa wa ovyo. Huwa najiepusha sana kutumia hayo maneno. Hata nikiwa kitaa na wana, akiwepo mmoja anayetukana ovyo huwa nasepa.
  5. mwanamwana

    Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

    Hawa jamaa wanakupa fezea mbele za watu, na kama si mbabe unaonekana boya. Kinachouma zaidi abiria wanaona jambo la kawaida.
  6. mwanamwana

    Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

    Mwaramutse nshuti, Mimi sina magari matatu kama ndugu yangu Makamura hivyo hulazimika kutumia usafiri wa umma kama daladala na bajaji kwenda kusaka mkate. Adha kubwa ambazo nimekuwa nikikutana nazo kwenye usafiri huo ni maneno machafu, yasiyo na staha ya makonda na madereva. Imekuwa kama...
  7. mwanamwana

    Spika Tulia Ackson: Hakuna mazingira ya rushwa ndani ya Kamati za Bunge ili kupitisha maamuzi ya kamati

    Akizungumza na Dailynews digital, Dk. Tulia amezungumzia suala la rushwa kwenye kamati za bunge na kusema kuwa ufanyaji kazi wa kamati hizo hautoi mwanya wa rushwa Wabunge hawafanyi kazi peke yao, kuna wabunge, kuna watumishi zile kamati ndivyo zinavyofanya kazi. Huwezi kusema ushughulike na...
  8. mwanamwana

    Kahama: Bertha Mabula adai polisi kutaka kumbambikia kesi ya ugaidi kutaka kulipua Mahakama Kuu

    Bertha Mabula amesema anahofia usalama wake kwa madai ya kubaini Polisi Mjini Kahama wanataka kumbambikia kesi ya ugaidi wakidai alitaka kulipua Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga wakati akifuatilia mwenendo wa shauri lake kwa ajili ya kukata rufani. Bertha amedai alifika Mahakama Kuu kwa ajili ya...
  9. mwanamwana

    Ligi ya Mabasi ya NewForce na Sauli hatari, kila mmoja anataka kukaa mbele kivyovyote

    Wale wanazi wa ligi ya mabasi haya mnaona mambo, japo ni hatari lakini inaleta burudani.
  10. mwanamwana

    Muheza: Wanakijiji wamjeruhi Afisa Kilimo na kuchoma gari lake wakimtuhumu kushindwa kusimamia maslahi yao

    Wananchi wa Kijiji cha Kambai, kilichopo Kata ya Kwezitu, Wilaya ya Muheza, Mkoa wa Tanga, wamewasha moto gari la Afisa Kilimo wa Kata ya Tongwe jirani, aina ya Suzuki, na kumjeruhi. Wanaoshutumu afisa huyo wanadai kwamba ameshindwa kusimamia maslahi ya wananchi, hivyo kuruhusu wawekezaji...
  11. mwanamwana

    Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Imezoeleka wakuu wa wilaya kuchochea migogoro ya wakulima na wafugaji.
  12. mwanamwana

    KERO Rushwa barabara ya Singida - Nzega imekithiri. Magari yanajaza kupita uwezo

    Kuna gari nimewahi kupanda wakataka kunishusha nipande mchomeko tukutane mbele nikawachomolea.
  13. mwanamwana

    Wanawake wanaofanya kazi kwenye migahawa midogo midogo mazingira yao ya kazi siyo rafiki

    Aina ya wanaume wanaokula kwenye mighahawa midogomidogo wengi ni wa kipato cha chini kama boda, fundi gereji, vibarua wa ujenzi nk, huwa na vitabia fulani vya ajabu ajabu sana. Ukianzisha nao mazoea ya kijinga hawawezi kukuheshimu kabisa.
  14. mwanamwana

    DOKEZO Pangani: Taka hatarishi za hospitali zinaokotwa ufukweni, Serikali ichunguze wanaofanya michezo hii

    Hii ni hatari sana, kuna mwongozo wa kuteketeza taka za hospitali.
  15. mwanamwana

    Ni kitu gani kilikuwa kinafanyika shuleni uliona cha kawaida, lakini umekuja kugundua ilikuwa unyanyasaji na udhalilishaji?

    Kuna jamaa alimchungulia demu wa shule akaja nisimulia, alikula mbata moja akazimia.
  16. mwanamwana

    Ni kitu gani kilikuwa kinafanyika shuleni uliona cha kawaida, lakini umekuja kugundua ilikuwa unyanyasaji na udhalilishaji?

    Kutenga wanafunzi kutokana na ufaulu wao, lengo lilikuwa zuri sana lakini wengi waliachwa na makovu kutokana na kutaniwa na kuchekwa.
  17. mwanamwana

    Shirika la reli lasema ruksa mwananchi kuwa na treni binafsi. Kazi kwako Gwajima, tuletee treni yako

    Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga...
Back
Top Bottom