Makala nzuri haswaaa, kimetholodojia inatambaa kufuata SWOT analysis ya uongozi wa Chadema. Kwa walio biased wasiopenda kuona mapungufu ya cult heros wao yakianikwa watakushambulia kuwa wewe ni MM gani sijui na mmoja kati ya wale wasaliti 45.
Business as usual kama ilivyokuwa Malawi baada ya Kamuzu, Zambia baada ya Kaunda na Kenya baada ya Moi. Hii nadhani inasababishwa na li-mdudu bureaucracy utakuja utawala mpya lakini hili dudu bureaucracy linabaki vilevile na vyama vya siasa (tawala mpya) zinakuwa hazina uwezo wa kulifanya liwe...
Utalinganisha vipi watu wawili ambao wamekua katika mazingira tofauti? Ni upi mchango wa Nyerere alishiriki katika kupigania uhuru wa nchi nyingine za Africa kabla ya mwaka 1961? Hakuna. Mchango wa Nyerere ulianza baada ya Tanganyika (Tanzania) kuwa huru. Sasa ni kivipi Mandela angeshiriki...
Kinachonishangaza ni hiki pale wanachama/viongozi wa chama tawala wanapokwenda kinyume na nidhamu ya chama tunawapongeza na kuwaona mashujaa wa demokrasia lakini hali hiyo hiyo ikitokea upinzani tunawaona ni wasaliti.
Ndio hivyo mkuu, watu hawafuatilii taarifa zote. Wanalaumu kwa kutegemea hisia na taarifa haba walizonazo. Wakati bunge limeshamaliza kutoa heshima kwa Mandela.
Sheria zinapokuwa rigid mpaka zinakosa mantiki. Ungekuwa ni ujumbe wa chuki ingekuwa na maana. Kwa hiyo siku Blatter akifariki (Mungu epusha) wachezaji watakao kuwa na flana zenye ujumbe wataadhibiwa?
ITV walivyo biased towards their boss kwenye taarifa ya habari wakachagua vipande vya hoja nzuri za Mengi, ila counter arguments za Muhongo wakazipiga chini badala yake wakachukua kipande cha Muhongo ambacho hakikuwa na madhara kwa agenda ya Mengi kile cha kuwa watumiaji umeme Tanzania watafika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.