Search results

  1. T

    Ni zao gani linafaa mwinuko wa m 1200?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema. Wataalamu wa kilimo huo mwinuko ni rafiki wa mazao gani? Mwinuko huo mnau weka katika kundi lipi low land au highland. Lengo langu ni mazao yafuatayo 1. Mahindi 2. Viazi aina yote 3. Matunda kama avokado,miembe, furisi, matunda damu, papai, limao chungwa. Tope...
  2. T

    Naomba Msaada Kutoka kwa wakazi wa Kifanya kuhusu kilimo cha Ndizi

    Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea. Altitude yake ni m800 mpaka m1200. Je eneo hilo ndizi zitafanya vizuri? nimeona mashamba ya ndizi za moro zile fupi...
  3. T

    Msaada wa kiufundi upwork PRFILE

    Tafadhali naomba mwenye kujua kuweka profile picture ktk angle nzuri. Nime-upload profile picture upwork ila imekaa horizontally badala ya vertical sijajua kwa nini. Hakuna rotation angle option only edit. Nimejaribu mara mbili zote zinapanda hivyo hivyo. Je ndivyo ilivyodizainiwa?
  4. T

    Msaada wa utambuzi wa kitabu kutoka kwa java developer

    Kwa mtu aliesoma kitabu hicho chini naomba title. Nimekiokota mtandaoni chapter moja tu, hakina title book. Nimevutiwa nacho ninahitaji title na mwaandishi ili niweze kukidownload. Thanks
  5. T

    Waarabu wanatuuzia asali kwenye tende

    Baada ya kuambiwa tende zina ongeza ashki ya kiumen, nikaanza kupenda kuzinunua. Nilichogundua ni kwamba Warabu wanakausha tende na kuziunga asali na kutuuzia Waafrika huku tukiwa wazalishaji wakubwa wa wa Asali kila kona ya nchi. Bado najiuliza Asali yao ni ya Asia au hii hii ya Tabora, kama...
  6. T

    Mvuti pakoje kibiashara, kilimo na maisha kwa ujumala?

    Naomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama Chanika? Je bado ni mashambani? Je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga? Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa Nimepata uwanja bado sijaenda kuuona. Alienda ndugu yangu kukabidhiwa. Bado naona kama mbali...
  7. T

    NBA: Anguko la Lebron James-Rising of new star ,Giannis

    The Greek freek Giannis antekounmpo anakwenda kumpumzisha gwiji Lebron soon. Lebron asisubiri aibu ang'atuke mapema awache damu changa
  8. T

    Nijuzeni bei za karoti na kabechi Dodoma, Morogoro na Dar

    Mliopo Dodoma Dar na moro naomba uzoefu wenu nataka kujua bei za karoti kwa kigunia na kabechi mwezi wa 11. 12 na januari huwa inacheza vipi ? Nampango wa kupanda zitoke hio miezi kwa hio naomba kujua na ikiwezekana kama kuna wadau/ dalali wa sokoni wani pm tufanye makubaliano. Nipo Njombe
  9. T

    Hatimaye tumepima UKIMWI na mchepuko

    Siku ya Jumapili iliyopita nilileta mada kuomba ushauri jinsi navyoweza kupata PEP baada ya kuuza mechi.Sasa yule mwanamke nilimshawishi kwenda kupima akakubali na siku ya Jumatatu tukaenda kupima na kukutwa hatuna maambukizi. Nilichojifunza: 1. JF watu wamejawa na hofu na vitisho wanaamini...
  10. T

    Msaada: Kanguru wanafukua mahindi shamba lote

    Jamani dunia inamajaribu kila ukijaribu kujikwamua kinaibuka kikwazo ufeli, Kunguru wanafukua mahindi yanayoanza kuota, wamekula shamba zima. Mwaka Jana panya walikagua kula mstari na kula mahindi yote niliopanda.Msaaada wa kuwadhibiti hawa viumbe. Panya nilijaribu kumwaga mahindi ya sumu...
  11. T

    Kipimo cha akili cha mwafrika ni nini?

    Akili hupimwa Kwa matendo, na matendo huleta natokeo hasi au chanya. Maamuzi ambayo ni matokeo ya kufikifikiri hupelekea mtu kufanya matendo Fulani. Swali nalojiuliza hivi sisi watu weusi je tunafanya maamuzi shihi Kwa wkati sahihi, je tunaweza kupima natokeo bora Kwa mambo yapi ya mfano...
  12. T

    Siasa ya chikichi vs korosho mkoani Kigoma

    Wasalamu bandugu. Naomba Leo niongee kidogo kuhusu zao la chikichi mkoani kigoma. Watanzania wote tunafahamu kuwa Chikichi inastawi zaidi kigoma na mikoa ya pembezoni mwake. Ukweli ni kwamba zao hili halijaleta tija/maendeleo makubwa kama linavyovuma, hii inatokana na sababu nying ambazo sio...
  13. T

    Mnaosujudu Israel, ni kipi hasa kinachofanya mlione ni taifa lenye watu wenye akili zaidi duniani?

    Waisraeli wamerusha satellite mpya kwa dhumuni la ujasusi hasa kuichunguza Iran na teknolojia yao ya Mabomu ya Nyuklia. Ni vipi waihofia Iran huku ninyi mnaowasujudu mnaamini kuwa wana akili sana kuliko mtu yoyote duniani. Kwanini wasiunde vifaa vya kufanya hayo mabomu ya Iran yawe maji ya...
  14. T

    Jinsi serikali ilivyopoteza 'opportunity' ya kushika wadaiwa sugu wa 'Loan Board' (bumu)

    Japo wengi hawatapenda! Katika zoezi la uandikishaji NIDA ndio kipindi pekee serikali ingeweza kuwabaini na kuwakamata wadaiwa sugu wa Bodi ya Mikopo ya chuo. Serikali ingejipanga vizuri nusu ya wadaiwa wangebainika walipo. Kuna wadaiwa sugu hawajaajiliwa serikalini wala taasisi binafsi...
  15. T

    Dr. Mwakyembe ukumbuke kuna Corona

    Nimekusikia jioni hii ukihamasisha watu wajazane uwanjani mechi ya Simba na Yanga ila ukumbuke kuna Corona. Ikiwezekana milangoni muwapime watu joto sio kuwajaza tu uwanjani, likiibuka la kuibuka usitafute mchawi. Pesa mbele mauti nyuma. Waandishi nao mnajifanya mmesahau Corona.
  16. T

    Valentine's day na wanawake wa Kiafrika vs Kizungu

    Wadada wa Kiaftika hawajiamini na hupenda kujilinganisha na wa kizungu. Kuvaa mawigi, kujichubua, kujkondesha nk. Je Dada zetu wanajiona hawafai dhidi ya wanawake weupe. Mimi naona Dada zetu weusi ni wazuri kupita wazungu. Je wewe unaonaje hasa ukizingatia Valentine's day. Picha kwa msaada wa...
  17. T

    Hivi waarabu sio mabeberu kweli?

    Waarabu wa Oman wamekuja kututembelea wakoloni wao wa zamani, hivi wana nia nzuri kweli? Hata Sultani wa kwanza tulimpa eneo pale Dar es salaam ajenge baadae akageuka mwiba na kuitawala Zanzibar na Pwani yote. Tusahau waliotufanyia na tuwakaribishe vizuri kuwekeza viwanda. Je...
  18. T

    Wingi wa Shahada za Umahiri za Ualimu wa Sanaa unaashiria nini?

    Habarini wakuu, Kwa interest kama mdau wa sayansi na teknolojia, nilichokiona katka mahafali ya UDOM kimenisikitisha na nimebaki na maswali. Moja, ni kwa nini tuna wahitimu wachache sana wa sayansi? Je, ndio kipaumbele kuwa na Masters nyingi za sanaa au ni ukosefu wa watu wa kusomea, au...
  19. T

    Hongera Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa mahafali ya 10

    Habari wana JF, Kwa wale tuliofuatilia mahafali ya UDOM hatuna budi kutoa pongezi kwa chuo hiki kichanga cha Taifa kwa hatua kubwa kilichofikia. kwa uchanga wake bado ni kati ya chuo kinachotoa kozi nyingi kuliko vyuo vingi kongwe hapa Tanzania na bado hakijateteleka. Kwa miaka michache tu...
  20. T

    Hili ni wiki la PHD

    Habari wakuu.Nimekaa hapa nakujiwazia kuhusu PHD na kisha nikajiuliza hivi kwa nini hakuna PHD matajiri wanaoisumbua dunia.PHD si ni watu wenye akili sana kwa nini hawasugui bongo na kuwa matajiri,je utajiri sio kigezo cha uwezo wa akili? Kama nataka kuwa tajiri haifai mimi kujiunga na PHD...
Back
Top Bottom