Search results

  1. T

    Kumbe huyu kijana wa ChatGPT - Sam Altman ni shoga, naona jana ilikua harusi yake.

    AI ni programs za computer zilizo bora zaidi. AI inanakilisha mawazo mengi yaluojazwa kwenye internet na kutolewa ktk chanzo kimoja. AI ni muendelezo wa kimapinduzi ulionza kufanywa na binadamu tangu zamani. Nyuklia zilipigwa marufuku ili tu zidisambae nchi zote. Ni sawa tu na teknolojia...
  2. T

    Dini zimefanya ufarao kuonekana ushenzi kwa waafrika

    Wuran na biblia mbona zomeandikwa na zinasimwa ijumaa, jmosi na pili. Mimi nilikuwa nakisoma hicho kitabu na nilikiokota mtandaoni. Kitabu kinaitwa KEMETIC TREE OF LIFE. Nimelikumbuka jina. Wanerekani weusi wameishaweka na masinagogi huko kwao.
  3. T

    Dini zimefanya ufarao kuonekana ushenzi kwa waafrika

    Mkuu wapo waafrics weudi wanairufisha farso. Kuna kitabu kinaitwa ..... tree of life. Kirmeandikwa na Mmarekani wa asili ya Egypt. Kitabu hicho kina mambo mengi aisee. Nimesahau neno la kwanza ila kinamalizia tree of life. Uzuri ni kwamba wageni waliua utamaduni wa mtu mweusi ila yapo mambo...
  4. T

    Wanaodharau na kukebehi elimu wadhibitiwe ikibidi walipe faini

    Toa data. Viongozi hawapishani kwa waganga ?
  5. T

    Hatuwezi kuwachukia wayahudi kwa wivu wa kijinga na husda na roho mbaya

    Hawakutambui na wala hawajawahi kuwatsmbua. Nyie mnatambuliwa ns ITALY kama makoloni yao.
  6. T

    Hatuwezi kuwachukia wayahudi kwa wivu wa kijinga na husda na roho mbaya

    Nimekuuliza wayahudi wanakutambueni au nyie ndio mnaowatambua.
  7. T

    Hatuwezi kuwachukia wayahudi kwa wivu wa kijinga na husda na roho mbaya

    Nimesema wabantu kwa sababu waswahili mi wabantu, wazaramo ni wabantu, warangi ni wabantu , wasukuma ni wabantu ,wanyamwezi, wamanyema ni wabantu. Hao wote wameoana na warabu tangu karne ya 7 sasa kana wewe ni mkilya hilo halikuhusu. Juwa kwako mkiristo hakuondoi ukweli kuwa makabila ya...
  8. T

    Jamii ya wazaramo inapotea kwa Kasi

    Hicho kiswahili unachoongea ni sehemu ya kizaramu. Mimi nilijaribi kuiuliza bard AI juu ya kilugha cha kimanyema na kitongwe. Hizo lugha ni kiswahili 90 ! NIkaiuliza inifundishe kikongo au kilingala nikagundua kuna maneno mengi ya kiswahili. Ukuwasikiliza wazuru unaweza dhani wanaongea...
  9. T

    Hatuwezi kuwachukia wayahudi kwa wivu wa kijinga na husda na roho mbaya

    KWANI NYIE WAYAHUDI WANAWATAMBUA ? WAYAHUDI WEUPE WANAWAUA WAYAHUDI WEUSI (ETHEOPIAN) MMOJA MMOJA. Wewe MKULYA nk unanasaba na wayahudi ? Sisi waswahili tuna nasaba na warabu . Yaani sisi wabantu waswahili warabu tumeshare nao damu kwa asilimia fulani. Ila sijawahi ona mbongo alie share damu...
  10. T

    Mchungaji akitoa Mapepo kwa staili ya kipekee

    Kwa hio tusicheke hivi vituko bya karne ? Kubusu jiwe kubusu msalaba na kipiga magoti kumuomba bikra malia ni vituko vya zamani vinafahamik. Hivi ni vipya lazima tucheke ila inabidi hawa mitume nao waandike vitabu vyao.
  11. T

    Unahoji uhalali wa BBC kuhusu tuhuma za TB Joshua ila unashindwa kuhoji uhalali wa Gwajima Kufufua Mfu!

    Hayo maji yanakemikali ya ku pararaizi ubongo ? Wanakuwa mental retarded? Kama hayo maji hayaui ubongo nini kinawafanya washindwe kufikiri?
  12. T

    Ati ni kweli kuwa kuna kada hata wafanye Kazi miaka mia hawezi kuwa na nyumba kama ya Mwijaku?

    Magu au JOM alikuwa mealimu. Sasa mlinganishe na mwajaku na co. yake. Kazi yoyote ile unaweza jenga ghorofa. Hao hao machawa wapo waliochoka mbaya. Polisi , Jeshi, walimu, bankers wapo waliojenga ghorofa na wapo waliochoka. Walimu wanafursa tofauti. Mwalimu aliepo NECTA na wa sekondari wana...
  13. T

    Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

    Tutarudi kule kwa mababu taratibu. Kuna kijiji huwa nakitembelea vibintu vimeacha shule form 1 and 2+ vinapigana miti na kska zao vinapewa mimba vinabski na msala wa mtoto. Natamani nione msomi mmoja nguli akifanya utafiti kuhusu hili suala la umri na kuolewa + shule. Naona siasa zinatawala...
  14. T

    Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

    50 Cent Ameuza album ngazi ya PLATINUM. Kama hajui hilo neno aka gugu. 50 anaweza kufuatia kwa umaarufu ukimtoa Michael Jackson Tupac. Mtu maarifa anawekwa kundi sawa na mimi wa JF hata viewer elf 10 tu kufikisha kazi. Labda ilibidi atumbie average ktk nini ? Bro wangu kaja juzi toka USA...
  15. T

    Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

    Wamasai na wasukuma na wakurya hawataki ujinga wa kuoa mizee.
  16. T

    Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

    Mkuu mawazo yako yamefanana na yangu. Kuna wanawake eti wanaolewa wakiwa na miaka 27. Ndoa fake. Sisi binadamu wa sasa UZOMBIE ni mwingi sana. Tunailazimisha nature ifuate tunavyotaka matokeo yake tunafeli. Kuna mzee mmoja eti binti yake wa form 6 alipigwa mimba na jamaa. Mzee akamkamata...
  17. T

    Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

    Wazee wetu wa kiswajili walikuwa wakiiva urafiki wanazawadiana mabinti. Nini cha ajabu hapo ? Wamagharibi wenyewe wamehalalisha ngono toto( uboi frend na ugeo frendi) ila wameweka sheria za umri kutooana mepema. Kwa kuiga tabia za wamagharibi kesi za kubakana zimekuwa tele kitu wmbacho sio...
  18. T

    Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

    Nilitaka nimuulize the same. Kwamba raia weusi wa marekani ana uelewa mdogo kuliko mtanzania au mwafrika ! Bado namashaka. na hoja ya mtoa mada.
  19. T

    Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

    Kutokana na hoja yako na utetezi wako, je wabantu waliohamia Africa mashariki na Africa kusini ni illigal immigrant ? North African are also illigal immigrants? Binafsi sioni kama hoja yako ina mashiko. Labda uliwapata wamarekani kwa sababu hawasomi au hawazingatii historia vizuri .
  20. T

    Wanawake na Mbwa wa kizungu mtuambie kazi yake

    Mkuu perereleza site mbali mbali utajionea dunia nyingine. Wanaowaheshimu wazungu nawashangaa sana. Wazungu ni kundi la wanyama, kwa hio usishangae kidume kuwa na jibwa kubwa. Nikuongezee tu wanafuga farasi, ng'ombe, nguruwe nk.
Back
Top Bottom