Search results

  1. coyyote

    Naomba kujua Effectiveness za hizi mosquito killer lamps

    Wadau, poleni kwa majukumu na mapambano dhidi ya adui covoid 19. Nimepitapita mitandaoni nikakutana na mtu anauza hizi taa hivyo nikaona nije mbele yenu kuomba ushuhuda wa mtu ambaye ameshawahi tumia ama anatumia izi taa za kuulia mbu kama je zipo effective kwa kuangamiza mbu ama ni porojo tu...
  2. coyyote

    Playstation official page wametoa muonekano wa Ps5 controller

    Wale wadau wa game, naona sony wameanza kudhihirisha polepole muonekano wa game yao mpya Ps5 baada ya kuanza na controller yake ambayo wameiita DualSense. Ps5 inatazamiwa kuwekwa sokoni kwa mara ya kwanza mwishoni mwa mwaka huu, Mnaionaje, maana mashabiki wameshaanza kusema Design language yake...
  3. coyyote

    Kero ya mitandao ya simu kugawa Number kwa mtu mwingine

    Umofia kwenu wakuu. Awali ya yote ningependa kuwapa pole kwa hili janga la Corona na tuzingatie utaratibu uliotolewa na wataalamu wa afya juu ya namna gani ya kujikinga. Twende katika hoja yangu. Kumekuwa na utaratibu wa mitandao ya simu nchini pindi Number ikawa offline kwa kipindi fulani...
  4. coyyote

    Marekani: Spika Nancy Pelosi achana nakala yake ya hotuba ya Rais Trump Bungeni

    Nancy Pelosi amechana nakala yake ya Hotuba ya Rais Donald Trump mara tu baada ya Rais huyo kumaliza kuhutubia Rais Trump alitoa hotuba kuhusu ‘State of the Union’ Bungeni mbele ya Wabunge walionekana kuipigia makofi hotuba yake Kwenye Kikao hicho cha State of The Union Bunge pia litajadili...
  5. coyyote

    Hali yetu ya maisha sisi mashabiki wa Yanga na Man united

    Sisi mashabiki wa izi timu mbili maisha yamekuwa ya ovyoovyo sana kwa sasa, sijui team zetu zinakosea wapi. wengine mpaka tunatamani kuomba ruhusa kazini baada ya matokeo mabovu ya tim zetu kwa kuhofia utani na majungu uko makazini Kwa upande wa man U najua walikosea kwenye usajili...
  6. coyyote

    Hiv/AIDS huonekana kwenye full blood PICTURE?

    Wadau, habari za humu, baada ya miaka mingi ya kwenda hospitali pindi ninapo umwa tu sasa nataka niende kufanya check up ungali mzima wa afya. Sasa nataka nikafanye full blood picture, sasa katika kujiandaa kisaikolojia swali langu ni je wale wadudu hatari wa HIV pia huonekana?
  7. coyyote

    Mafuta ya taa yana madhara gani kwa nyoka?

    Wadau, nimemkamata uyu mtuhumiwa nyumbani, sasa nikasema nimwagie mafuta ya taa ili nimchome moto, aseeee ile kumwagiwa tu naona kama kapata uhai upyaa tukaanza kutafutana apa wakati nilishamponda kichwa nyang'anyang'a
  8. coyyote

    Gari inashtuka nikikanyaga mafuta baada ya kusimama

    Habari wakuu, nna gari aina ya Toyota Ractis model ya 2006, tatizo lake ni kwamba kila nikisimama alafu nikakanyaga mafuta gari inashtuka kwanza alaf ndio itatembea, nimeshaenda kwa mafundi wawili lakini sijapata jibu la tatizo langu. Kama kuna mtu mwenye uzoefu ama utaalamu wa tatizo kama ilo...
  9. coyyote

    EPL champions league qualification 2020 scenarios

    Wadau, nawaza kwa sauti, kwa mfano ligi ya Uingereza ikaisha na top 6 zikawa kwenye nafasi walizonazo kama zilivyo sasa, yaani Liverpool, Manchester City, Chelsea na spurs zikapita kwenda champions league (top 4 teams) alafu Arsenal wakachukua Europa (bingwa hupata automatic qualification kwenda...
  10. coyyote

    Brighton Elliot Moyo, aliyefufuliwa na nabii huko Afrika Kusini afariki tena

    Brighton Moyo, raia wa Zimbabwe aliyekuwa akiishi Afrika Kusini ambaye aliigiza kifo na kufufuliwa na Alph Lukau amefariki dunia na kuzikwa, safari hii hakukuwa na maigizo wala muujiza. Imeelezwa kuwa alikuwa akiishi na VVU na figo na mapafu yake vilipoteza uwezo wa kufanya kazi. Sent using...
  11. coyyote

    Bashiri yangu ya mechi za robo fainali ya UEFA itafyokua

    Juventus vs Barcelona Manchester United vs Manchester City Tottenham vs fc Porto Liverpool vs Ajax Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom