Search results

  1. Kapumpuli

    Mwenye kujua tiba ya kidakatonge kirefu

    Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nimekuwa na tatizo la kuwa na umio mrefu (Kale ka mkia katikati ya koromeo Kwa ndani), wengine huita kidakatonge. Sasa nataka kupata namna ya kukapunguza pasipo kukata Kwa kawaida.. Yaani kama Kuna dawa zinapatikana ambazo nikitumia basi...
  2. Kapumpuli

    Matibabu ya Hernia

    Wana bodi, Naomba kwa anayefahamu namna ya kupambana na kutibu tatizo hili, dawa za kutibu kama zipo. Kuna ndugu yangu amepatwa na tatizo hili. Msaada.
  3. Kapumpuli

    Nabii Mwingira katika Uthubutu!

    Pata nafasi ya kumsikiliza Mtumishi huyu juu ya jambo hili katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 28.10.2020. Halafu toa maoni yako....
  4. Kapumpuli

    Msaada wa kupata Valve

    Gari yangu aina ya Altezza, ilikata timing belt, hii ilipelekea kupindisha Valve za exhaust Please kama Kuna mtu ambaye anaweza kunisaidia kuzipata. Natafuta 4 tu. Aina ya injini ni 3S-Yamaha. 4 cylinder.
  5. Kapumpuli

    Hodi wakuu!!!

    Mm ni member mpya hapa jamvini. Lakini nimekuwa nikifatilia jukwaa hili karibu miaka 3 sasa! Kwa hiyo tutakuwa wote. Asanteni sana.
Back
Top Bottom