Search results

  1. Kapumpuli

    Kama nchi mbili ziliungana zikazaa Tanzania kwa Zanzibar iwepo ila Tanganyika ife?

    Hili Jambo Huwa linanitafakarisha sana... Yaani kwa Nini iwe hivi?... Wazanzibari huku bara wanaajiriwa na kupewa mavyeo kama yote... Ila Wabara/Watanganyika wakienda kule hawaruhusiwi kushika uongozi wowote.... What kind of this Union we have????....... Mweeee...🤔🤔🤨🤨☹️☹️
  2. Kapumpuli

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Viongozi wa kiroho wapo kwa ajili yetu... Kwa Nini mtu kuwatembelea na kuwaona iwe nongwa?
  3. Kapumpuli

    Kwanini tusifike tumechoka Sasa

    Aisee... We jamaa umenifanya nicheke kwelikweli...
  4. Kapumpuli

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Mwingereza wapi Mkuu? Mjerumani ndiyo alikuwa balaa, alitunyoosha kwelikweli akatufudisha kazi... Si unaona reli ya kati Dar-Kigoma bado inapiga kazi na ilijengwa na Mjerumani...
  5. Kapumpuli

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Yaani upo kama Mimi... Huyu jamaa wa kuitwa January Makamba simkubaligi kabisa...
  6. Kapumpuli

    Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    Hakika kabisa.... Kuna msitari katika Biblia unasema, Kama Mungu angehesabu maovu yetu hivi ni nani angesimama?
  7. Kapumpuli

    Miongoni mwa vitu Mwenyezi Mungu amenibariki, ni kuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi

    Janeth Thomson Mwambije.... Ila wewe ni mrembo sana... Hongera... So beautiful....
  8. Kapumpuli

    Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

    Labda wabadili aina ya siasa wanayoifanya...
  9. Kapumpuli

    Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

    Kabisa na mimi naona uelekeo sasa siyo,.. Makala na Nchimbi hawana mvuto kwenye siasa kwa wananchi..
  10. Kapumpuli

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Mange ni balaa... Anarusha matusi kwelikweli.. Niliona Shilole akijaribu kujibu mapigo... Lakini wapiii..
  11. Kapumpuli

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Kwa kweli wamefeli kumsaidia... Kutuletea picha hakusaidii... Walipaswa wamsaidie huyu
  12. Kapumpuli

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Leta na wewe chai Yako..... Maninaaa
  13. Kapumpuli

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hahahaha.. mkurugenzi.. sawasawa..
  14. Kapumpuli

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ngoja na mimi niweke kisa changu kimoja juu ya uzi huu uliotrendi kuliko nyuzi zote hapa jamvini.... Mtaamua wenyewe muite "Masikhara" au vipiii[emoji38][emoji38][emoji38].... Mnamo mwaka 2018 nikiwa nafanya kazi katika wilaya mojawapo ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Mimi ni Civil Engineer)...
  15. Kapumpuli

    Makamanda kadhaa wa HAMAS wajisalimisha kwenye hospitali ya Shifa

    Hiki ni kipimo sahihi kabisa kwa mtu anayewachokoza hawa jamaa.... Kama Hitler aliwashindwa, basi hakuna taifa lingine litawasumbua... Kumbuka kipindi hicho Hitler alikuwa Super Power kwelikweli....
  16. Kapumpuli

    Mlikuwa mna maana gani kwenye tahasusi ya elimu za dini kutumia Divinity?

    Walipaswa kuweka tu "Bible Knowledge"... Divinity ndo vinini? Unapoweka Islamic Knowledge.... basi weka na Bible Knowledge....
  17. Kapumpuli

    Netanyahu anasema akishawakomboa Wayahudi atakwenda Afrika kuwakomboa Waafrika

    Jina lako hapo lenyewe la kitumwa... unajisahau... Anza wewe hapo kutumia majina ya kimila....
  18. Kapumpuli

    Benjamin Netanyahu asaini Mpango wa kuuvamia mji wa Rafah Kijeshi!

    Hili lilimkuta Gamal Abdiel Nasser wa Egypt...alijuta... sasa yule ndo alikuwa na mbwembwe na nguvu kwelikweli katika ulimwengu wa kiarabu... lakini alinyanyua mikono....
Back
Top Bottom