Search results

  1. Baba lake

    Mizengo Pinda Awaponda Wanaotapatapa Kusaka Urais 2020 Kupitia CCM

    Hapo kajichanya kiaina ama utaratibu wao ni wakipumbavu, kwa utaratibu wa chama chao manaake hata kiwe kibaya, miaka kumi lazima. Namkubali Magu as ni kizuri kinachojiuza, wasi wasi wangu ni pale watakapotuletea viraza na huo utaratibu wao wa 10 years is a must.
  2. Baba lake

    Wakenya mmetuangusha wana Afrika Mashariki

    Umekura - umekula Reo - leo ( as fellow east African I would recommend that, first, get yourself together with the language)
  3. Baba lake

    Wakenya mmetuangusha wana Afrika Mashariki

    A thread written by a single person? This is an embarrassment!
  4. Baba lake

    Wakenya mmetuangusha wana Afrika Mashariki

    Umefanya conclusion ya kwamba tunalalamika, mimi sijalalamika, mchukueni mufassa, simba, pumba, rafiki pamoja na sir batbway Elton John. Animation istufanye tukawa mafirauni. Kama ni wafalme wa nyika serengeti wamejaa tele, Hollywood waende zoo
  5. Baba lake

    Wakenya mmetuangusha wana Afrika Mashariki

    Hapo nimemuona sir Elton John, siwataki Tanzania hata bure, soundtrack za mashoga pereka huo uchafu Kenya.
  6. Baba lake

    Vibarua waliokuwa wakifanya kazi ujenzi wa reli wala shavu serikalini

    Comment yako imenifanya nione kuwa Tz hatuna ukame wa comedians
  7. Baba lake

    Wasanii wa East Africa Bado Ni Local Champions, Beyonce awatosa

    Nahisi daimond atakuwepo hapo kwenye and more.
  8. Baba lake

    Musiba amejibu waraka wa Kinana na Makamba

    Kwani mtoto akibebwa kunanongwa?
  9. Baba lake

    Musiba amejibu waraka wa Kinana na Makamba

    Hao wazee bora wangevunga tu, kiukweli jamaa walitupiga.
  10. Baba lake

    Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12

    Kama ni ukweli basi hapo tumeuzwa vibaya saana, au ndio maana yuko driven na gavoo?
  11. Baba lake

    Barua za Spika Ndugai kuomba mchango wa 200m ilikuwa ni kwaajili ya Wabunge au Taifa stars?

    Furaha ya Kunguru, ambae kwa hapo kunguru naamini atakuwa ni anko Magu, huu ugomvi ni kitu kizuri sana kwa kunguru ninavyodhani.
  12. Baba lake

    Tupac na Biggie wanakuzwa mno

    We unajua kiongozi, pale Bad Boyz kulikuwa na vichwa, kina Craig Mack R.I.P, yule mtoto wa kike Heather B na wengine wengi. Tupac was bigger than Rap itself. A seed of Black panther movement, representing ghetto na mnazi mkuu wa Hennessy. Alichukia sana madawa japo alishakili kuwahi kuuza japo...
  13. Baba lake

    Tupac na Biggie wanakuzwa mno

    Hakuna kama Makaveli the Don mazeeee! Nyimbo zake aliwakilisha sana society aliyokulia utaskia akilia na homicide, issue ya Single mothers kama alivyo experience yeye mwenyewe, alikuwa very angry of the white man system jinsi ilivyo curse watu wa tabaka tofauti hasa Mexicans, African Americans...
  14. Baba lake

    Ethiopia kuanza kufundisha Kiswahili

    Hujielewi kiongozi, mpaka hicho kiingereza kuwa na ushawishi unadhani ni jambo lililochukua mwaka mmoja, miwili au kumi? Jaribu kuwa na vision ya mbali, baada ya miaka mingi baadae vitukuu vyetu vitaicheka hii post yako. Saizi huwezi ona.
  15. Baba lake

    Tanzania imepokea maombi ya Tani za mahindi milioni moja Kenya

    Real talk This is a real talk brother.
  16. Baba lake

    Joh Makini, The Tanzania hip hop giant anayepita njia inayomfanya aonekane wa kawaida sana

    Umepotosha mkuu, aliyezaa na Lotus wa Nivarna ni Lord Eyez.
  17. Baba lake

    Hongera January Makamba, ulifichwa kwenye msitu wa mazingira ukautumia vyema Sasa unanawiri

    I totally agree with you on this, he is a pioneer and others should follow the lead.
  18. Baba lake

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Haahahahha! Sidhani kama ule ukwasi anaoukusanya anapewa kwa ajili ya kwenda kurukaruka uwanjani. Acha utani mzee baba
  19. Baba lake

    Watanzania wanaweza kufanya ujasiri wa huyu mama?

    Hii ni kweli kabisa kiongozi, watu watalia nae hapo hapo mpaka kieleweke sio mpaka wakafikishane mahakamani.
  20. Baba lake

    Eti usipotoa fungu la 10 ni mwizi? Why?

    Swali la msingi sana, jamaa kwa jinsi ninavyowafahau ninauhakika hawawezi toa hata fungu la kwanza sembuse la kumi
Back
Top Bottom