Search results

  1. Mkweche II

    Msanii Hammer Q yupo wapi siku hizi?

    Kwema wakuu? Naulizi msanii hapo juu yupo wapi siku hizi maana sijamsikia kitambo? Mwenye taarifa zake aweke hapa.
  2. Mkweche II

    Natafuta kazi, nina Shahada ya Water Resources

    Natumai nyote ni wazima wa afya.pole kwa wasio vyema kiafya. Nina muda nimejiunga hapa JF, ila sijawahi ku post chochote. Nime hitimu chuo kikuu mwaka 2019, lakini hadi sasa nipo nasota tu mtaani, nina degree ya water resources Engineering, naomba kama mtu yoyote anaweza nisaidia kupata sehemu...
Back
Top Bottom