Search results

  1. M

    Wanaomwangusha Rais Magufuli katika Sekta ya Afya hawa hapa

    Hakuna kumung'unya maneno hali ya vituo vya kutolea huduma za afya (dispensary, vituo vya afya na hospitali) vya serikali vipo taabani katika kuhudumia wanyonge. Dawa hakuna, mabomba ya sindano hakuna, gloves hakuna etc, kiufupi hali ni mbaya sana. Kiufupi wanaochangia huduma mbovu katika vituo...
  2. M

    Kwa jinsi Nyerere alivyochekwa kutoijenga Butiama, JPM ulirudie kosa na wewe utachekwa.

    Nyerere alichekwa sana ,kisa hakuijenga Butiama,namshauri JPM ahakikishe Chato inakuwa level ya New-york,Tokyo,London etc. Ukishindwa kuijenga Chato na wewe utachekwa siku ukitoka madarakani. Nyumbani kwanza wengine badae.
  3. M

    Ukistaajabu ya Tamisemi utakutana na ya Utumishi

    Nilidhani hili lipo kwa wakurugenzi pekee,kumbe hili lipo hadi kwa wakuu wa idara/vitengo. Kigezo muhimu zaidi ya kuwa Mkuu wa idara ni kuwa kada mtiifu wa chama,hivyo vingine vitafatia,wakigundua sio kada utapigwa chini kwa sababu yoyote ile. Ndiyo maana uko kwenye halmashauri unakuta mtu...
  4. M

    Tetesi ; Kimbuga Kennedy kwenye siasa

    Kile Kimbuga kiitwacho Kennedy kitatikisa nchi ya Tz katika anga za siasa. Kaa mkao wa kula pilau wenye nchi wamekasirika,kichwa cha mtu kinachnjwa kwanza kutumia sime ya kimasai,yaani juma tatu mbali sana.
  5. M

    Pigo kubwa kwa Shafihi Dauda najua utakuwa umejifunza

    Uliiponda sana Simba sasa aibu imekufika,siku nyingine usirudie kumkebei Simba mnyama kwenye nguvu nyingi.
  6. M

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Bado takribani sa 1:30 mtanange kati ya Al Ahly(Misri) na Simba (Tanzania) upigwe. Utapata live update ,ikihusisha matukio yote ya mechi hii. Mechi itaanza sa 4 kamili usiku kwa saa za Africa mashariki. Waarabu wanazidi kumiminika uwanjani,ingawa sura chache nyeusi zinaonekana zikiingia...
  7. M

    Tulovyodanganywa zamani :Kujenga nyumba ukiwa mwanafunzi wa chuo kikuu

    Kwenye miaka ya 80,90 adi mwanzo ni mwaka miaka ya 2000,tulikuwa tunaambiwa sana mtaani ya kwamba jamaa Kajenga nyumba uku akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu .Yaani ukiona boma limeanza kusimama alafu familia hiyo iwe na kijana anasema chuo kikuu utasikia ni kijana wao aliyechuo kikuu ndiye...
  8. M

    Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    Arusha ni mji mzuri ila ni wa kawaida sana.Nimekuwa nikisikia sifa inazopewa Arusha,lakini nilichokishuhudia ni tofauti na nilichokuwa nakisikia. Nimekaa Arusha Kwa zaidi ya wiki 4 nimefanikiwa kuzunguka maeneo yote ya muhimu sijaona kitu cha ajabu. Nimeona hata mji wa Moshi ni mzuri sana...
  9. M

    Andrew Chenge asingeshindwa jibu(wages vs salary)

    Andrew Chenge maarufu kama joka la makengeza, mwanasheria hodari graduate from Harvard namkubali sana Kwa kutoa majibu ya hapo kwa papo Kwa masuala yanayohusu Sheria. Nilishuhudia mwanasheria wa serikali jana kwenye Kikao kuhusu mafao ikulu,akishindwa kufafanua tofauti ya wages na salary...
  10. M

    Hatuhitaji tena Rais aliyesoma masomo ya sayansi

    Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
  11. M

    Naona Mshahara umewahi kutoka kwa watumishi

    Apa NMB naona foleni ndefu sana ya walimu,kitu mshahara tayari.Ila mkumbuke january ni mwezi dume.
  12. M

    University of Nairobi vs Udsm

    Kwa kweli wa Kenya wamejitahidi sana Hii nairobi university nilikuanga naichukulia poa,kumbe ni bonge la chuo hakuna cha ubabaishaji.Nimetembelea universty of nairobi wiki iliyopita wapo mbali sana,yaani udsm cha mtoto. Kumbe tukiwaga umu bongo tunaamini udsm bonge la chuo,ila baada ya kuiona...
  13. M

    Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

    Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo 1.Shinyanga 2.Kigoma 3.Lindi 4Mtwara 5.Singida 6.Kagera(Bukoba) 7.Mara(Musoma) 8.Simiyu(Bariadi) Kazi kwenu wavulana wa mikoani
  14. M

    Watumishi mjiandae kisaikolojia

    Wewe mtumishi,ni mda wa kuchukua tahadhari mapema 1.Hakikisha unaweka akiba ya chakula cha kukutosha kadri utakavyoweza,jitahidi angalau chakula cha miezi mitatu kisikauke ndani 2 Fuga japo kuk4 u 5,pamoja na bustani ndogo za mboga Ni hayo tu kwa leo 23/11/2018,msije mkasema sikuwaambia.
  15. M

    Nimepigwa na house girl

    Nipo kwenye machungu yasiyo na kifani baada ya kupigwa tsh 700,000 na house girl. Ilikuwa hivi jana nimechukua hiyo fedha toka ATM ili nikalipe mafundi wanaonifanyia kazi moja ya ujenzi. Fedha zote zote hizo nikaziweka kwa mfuko wa nyuma ,basi jana jioni kufika nyumbani nikavua hiyo suruali...
  16. M

    Sijawahi kuamini usafiri wa ndege

    Wengi wanausifia sana usafiri wa ndege ,ila utabaki kuwa usafiri wenye risk kubwa ,na likidondoka kutoka uko juu chance ya kupona ni 0.00000001. Siku nimechukia safari ya ndege ni mwaka jana fastjet dar to mza,kitu upepo ulipiga ,yaani nikaona lindege linashuka,ukisisikia kitu kinapiga chp na...
  17. M

    Ushauri kwa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu

    Mnapotoa taarifa ya ikulu kwa maandishi hakuna ulazima wa kuandika mahali/ mkoa mlipo kwa wakati huo. Mfano mnapotoa taarifa mkiwa dodoma, kule chini mwa barua mnaandika neno Dodoma, mkiwa Chato mnaandika neno Chato, yaani popote mlipo lazima mtataja eneo husika. Ofisi ya Rais ( ikulu ni moja...
  18. M

    Zanzibar hero atapigwa 4 hii Leo

    Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya. Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani
  19. M

    Watumishi wa umma ni wakuonewa huruma

    Imenisikitisha kugundua baadhi ya watumishi wa uma wanashindia mlo mmoja tu, maisha yamekuwa magumu mnoo. Kwa utafiti wangu licha ya maslai(mishahara na posho) kuwa ndogo, pia tabia ya watumishi kuchukua mikopo isiyo na kichwa wala miguu imechangia watumishi wa uma kuishi maisha ya dhiki mnoo...
  20. M

    Kuwa kwenye ARV haimaanishi hawana uwezo wa kufanya kazi

    Takwimu walizotoa Tanzania daima asilimia 67 ya watanzania wanatumia ARV hazikuwa sahihi na kwa ustaarabu inabidi waombe samahani. Ingawa takwimu hizo hazikuwa sawa, lakini hotuba ya leo toka ikulu licha ya kuwa nzuri kwa ujumla wake, lakini haikuwa sawa pale iliposema kutumia ARV maana yake...
Back
Top Bottom