Search results

  1. Kijini

    BBC News: Wamasai zaidi ya 1,000 (Loliondo) watupilia mbali kadi za CCM!

    Wakati mwingine tupunguze ushabiki wa vyama ili tujenge nchi yetu, ni kweli hiyo habari inaongelea pia kuhusu hao wamasai kutupa kadi za CCM lakini jambo la muhimu ni ARDHI haki ya kila Mtanzania bila kujali chama na uongozi mbaya ambao unagusa maendeleo ya kila mwananchi wa kawaida ....
  2. Kijini

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Samahani sijapita huku muda mrefu, ndio maana nimechelewa kukujibu, nilikuwa ninamaanisha uchanganye mafuta (essential oil) yanaitwa "tea-tree" au kwa kisayansi yanaitwa "melaleuca alternifolia" sifahamu jina kwa kiswahili, uchanganye hayo mafuta katika lotion unayopaka au katika sabuni ya...
  3. Kijini

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Ikiwa scabies unatakiwa utibu familia yako yote, pia angalia mikono. Vinginevyo jaribu kudilute teatree oil katika lotion au sabuni ya kuogea. Unaweza tumia pia majani ya muarobaini yasage na paka sehemu unazosumbuliwa subiri muda kabla ya kwenda kuoga.
  4. Kijini

    What is your favarote Animation movies?

    Cars 1 & 2 Pirates! Nyingine zimeshatajwa Wall E, Ice age 1, 2, 3. Ratatoulle
  5. Kijini

    Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

    Kwa kweli leo nimejisikia furaha sana, kukumbuka na mimi enzi ninakua maana nami ni mpenzi wa vitabu. Nyumbani tulikuwa wa vitabu vingi vya hadithi na vilivyonigusa ni mfano Nyota ya Rehema, Kasri ya Mwinyi Fuad na pia hadithi za Ben Mtobwa. Pamoja na gazeti la sani enzi hizo..... Nakumbuka pia...
  6. Kijini

    Kashfa IMMIGRATION Dar Airport

    Sio ulalamishi. Mimi mwenyewe nina mtoto hajafikisha miaka 5 na ninaposafiri mara nyingi huwa tunapita Nairobi yaani pale hata ukienda msalani utawakuta wale kina dada wanaoshughulikia usafi wako standby na mara zote wako tayari kukusaidia. Ingawa Jomo Kenyata wananikera kwa udokozi katika...
  7. Kijini

    Kashfa IMMIGRATION Dar Airport

    Hilo ni jambo la kawaida sana tu, na ni kwa wakimbizi ambao wanakimbia nchi zao na kuomba uhifadhi hasa hasa nchi za ulaya - hivyo wanapewa pasi ya ukimbizi inayowaruhusu kusafiri lakini hawaruhusiwi kurudi nchini kwao na hilo linakuwa limeandikwa katika pasi zao.
  8. Kijini

    Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

    Sasa mleta mada nadhani huu ushauri wako unaweza faa sana tu hata kwa wale walio katika ndoa zao, Hebu fikiria ikiwa umeoa na mkeo ndio anakuhudumia hivi, nadhani ni ujanja tu ambao wake wanaweza kuutumia pia kudumisha na kuboresha ndoa zao.
  9. Kijini

    Picha: Hali Inavyotisha Hospitali ya Muhimbili

    Hivi yupo Mtanzania ambaye hajawahi kupata manung'uniko kuhusu hali na huduma za afya nchini? Madaktari kugoma naona hii ni arobaini tu maana hali imekuwepo toka muda mrefu! Na nilishamsikia docta mmoja mgeni katika clinic private akisema Tanzania moja ya urahisi katika kazi yake hana pressure...
  10. Kijini

    Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

    Blessing samahani hapa ama ulikuwa unaandika kwa haraka? hujui vizuri kiswahili? na kiingereza pia kinasumbua, au ni vipi?
  11. Kijini

    Salad ya maharage machanga, viazi mviringo na nyanya

    Mahitaji: Viazi mviringo nusu kilo- vichemshe na maji mengi yenye chumvi bila kuvimenya Maharage machanga nusu kilo- yachemshe na maji mengi pia yenye chumvi Mwaga maji ya kuchemshia toa maganda ya viazi. Hifadhi viazi na maharage kwa kutenganisha katika jokofu. Nyanya...
  12. Kijini

    Uchawi- Mtwara Mjini

    Usiharibu lugha za wenzio "samaki n'changa"
  13. Kijini

    Tribute to Women's Hair - Why we Love 'em! (Both)

    Tunaongelea sana unatural wa nywele kutokana na sababu kwa nini wanawake wanapenda kubadili mtazamo wa nywele zao hasa sie wenye asili ya kiafrika pamoja na madhara ya hizo kemikali zinazotumika kwa mfano pale mtu anapoweka relaxer. Mie kwa kweli nina zangu natural, huwa ninaweka henna (natural)...
  14. Kijini

    It's December: Wanaume wa kibongo pelekeni wake zenu 'vacation'...

    Posho Euro 300, nguo ya maana inaanzia euro 30, hujanunua chakula, unaishi kwenye gheto mbali na town centre hivyo ukitaka kwenda mjini ulipe nauli. Msimu wa baridi unawaza gharama za kupasha moto nyumba, hakuna suala la ndugu kusaidiana wakati mwingine ile kupiga story tu nao hamna kila mtu...
  15. Kijini

    Peut-on savoir qui sur JF parle Francais?

    C'est une très bonne idée. Vive JF!!
  16. Kijini

    Wanawake unganeni; kwa hili Polisi wanawavunjia Heshima .......... (picha)

    Indecent assaults on females Ord. 1954 No. 47 s. 3 1 3 5 . - ( 1) Any person who unlawfully and indecently assaults any woman or girl is guilty of a felony, and is liable to imprison- ment for fourteen years. (2)....... (3) Whoever intending to insult the modesty of any...
  17. Kijini

    Hawa waDanish wamechonga barabara kweli kweli!!

    Wachina wakitengeneza madaraja si ndio tutatumbukia humo wote!!!!
  18. Kijini

    Jamani mapenzi yatanimaliza nisaidieni pls

    Sio mkiishi miezi mitatu, ni miezi sita na majirani wawaone na kuwatambua kama mke na mume, hapo kisheria kunakuwa na kitu wanaita "assumption of marriage"
  19. Kijini

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Si yote kazi ya Mungu, kwa yeyote aliyewahi kufanya mitihani kupata leseni ya kuendesha gari nchi zilizoendelea atakubaliana nami kuwa ajali nyingi kwetu ni hasa uzembe,ulevi na hata kutojua, mwendo kasi pia katika barabara ambazo haziruhusu kwenda kasi. Kwa wastani nchi nyingi za ulaya highway...
Back
Top Bottom