Search results

  1. F

    Gharama ya kuweka sakafu ya zege/rough floor

    Sa Mnapigwa kwa sababu yakutaka kufanya vitu local. Mkuu ujenzi una taratibuu zake na protocol ukifwata hizo taratibu hata kwa ujenzi mdogo unapunguza hasara nyingi sana. Moja ya stage muhimu sana katika ujenzi nikupata Boq ya kazi yako. Mtafute mtaalamu akutengenezee Boq itakusaidia mambo...
  2. F

    Lipi ni chaguo (Option) sahihi kuhusu ujenzi wa nyumba ya Ghorofa moja

    Katika ujenzi kuna kitu kinaitwa estimation yaani makadirio ya ujenzi haya. Yamegawanyika katika makundi mawili 1. Engineering estimate 2. Actual estimate. Hii engineering estimate ni makadirio ya awali ya ujumla na yanakuwa kwa mfumo wa SQM pia kama hayo ya actual ila utofauti ni kuwa...
  3. F

    Seap program/ paid internship/job opportunity

    Hahaaa kwny haya maisha confidence ni silaha kubwa sana. Kuna kazi niliapply inahitajika mtu awe na uzoefu na udereva. Nilizama kwny interview oral nikapita Nikaulizwa leseni unayo nikasema ndio ( kumbe nilikuwa sijawahi endesha gar maisha yangu yote)baada ya kuona tarehe nayotakiwa kufanya...
  4. F

    Seap program/ paid internship/job opportunity

    Chief sita sahau nimeprint sehemu mbalimbali ili ni save hela maana nina lipa kodi na sina kipato cha maana. Na mm sio omba omba siwezagi kumuomba mtu hata senti wtk mwngine unaenda kupeleka barua sehemu umetoka kutembea umbali wa kutosha mpk kufika hapo alafu sekritari anakuambia nafasi hakuna...
  5. F

    Seap program/ paid internship/job opportunity

    Nashukuru sana chief tatizo graduate wengi hawajui you have to be streat smart kupenya mtaani Huko chuo wanapograduate things are different na kwa mtaa. Lazima ukija mtaani ukubali kupigika kwanza weka degree yako mfukoni kwa mda kuwa loyal na humble kama mjinga flani Baada ya mda utatoboa...
  6. F

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yaani hapa tulipofika mm sikutegemea kabisa gem dhidi ya Chelsea niliona shida ilivyo pale kati. Tuna mapungufu makubwa sana DM. Tujitahidi January tumlete yule dogo mbarazil na beki mmoja angalau tunaweza kimbizana na kipara maana akija fufuka KDB kipara hata poteza point tena wakati...
  7. F

    Seap program/ paid internship/job opportunity

    Omba kuvolunter tu kwanza kuna kampuni nyingi hapo arusha zina miradi mikubwa ukienda kwa gia ya kuvolunter ni rahc kukubalia andaa vyeti, CV n.k Kubali msoto kwanza hata usipolipwa chochote kwanza ila in the long run kuna kitu una target Kaz za engineering zinahitaji ufahamike na...
  8. F

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wakumuombea njaa zaidi ni kipara apoteze point zaidi na kesho arsenal sina wasiwasi nao hata kidogo wale ni wavulana wadogo hawawezi mbio za marathon za wanaume. Arsenal hata akituacha na point tano na hakika hatoboi February na hizo point ila kipara ndo moto wa kuotea mbali
  9. F

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mido ya game ya leo umekaa poa sana -marc Alister- Endo - szobo Kwa mara ya kwanza tunaanza na natural DM Marc alister anacheza natural position yake Leo tutamuona marc alister katika kiwango bora sana
  10. F

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kuna shida pale kati kwa staili ya klop anavyopanga timu kushinda tutashinda lkn lazima akubali kuna umuhimu wakuwa na natural DM kuna tackle moja endo aliifanya nikamkubuka prime fabinho. Tunakuwa exposed sana kwa sabb hakuna mtu wakuzuia mashambulizi kwanzia kati na hii kaz Marc allister...
  11. F

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liver tuna jambo letu. Sifa kubwa na dalili za timu kuhitaji ubingwa ni jinsi wanavyochukulia kila game msimu huu nimeona upambanaji mkubwa sana kuna game km ya Newcastle, ya Jana fulham ya mancity na hata ile ya totenham tuliopoteza unaona timu inacheza game km ndo fainali human erros zinatokea...
  12. F

    Leo nimetongozwa na binti mdogo tu, imenikumbusha sana ujana wangu

    Umasikini na ufukara unakunyemelea kwa kasi sana kuwa makini hiyo so dalili nzur wala kitu Cha kufurahia
  13. F

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Moshi - Kilimanjaro, 2700 sqm bei ya kutupwa

    Kiwanja kikubwa Cha makazi kiko Maeneo ya shirimatunda- moshi mjini Mwana apolo amekwama. Biashara zake za madini haziendi Kiwanja kimezungushiwa fensi ya senyenge kiko karibu na shule ya sekondari maji na umeme vipo hapo jirani Mwenye kiwanja anahitaji hela ya haraka Bei million 17
  14. F

    Natafuta Dalali wa Frame Arusha Mjini

    Kuna fremu kariakoo bado unahitaji?
  15. F

    Nauza vyombo vya ndani nahama mkoa

    Hiyo meza ina makreki kibao kwny kioo nakupa 45 elfu chap sasa hv ili nibadilishe kioo kingine
  16. F

    Jinsi nilivyopigwa na kampuni la kitapeli sunrach

    Kabisa fursa haziitiwi zinatafutwa. Yaani uje uniite kwny fursa hivi hivi kirahisi km sio unajitafutia fursa kwa mgongo wangu
  17. F

    Jinsi nilivyopigwa na kampuni la kitapeli sunrach

    Hawa walinipelekaga kwny kagorofa flani pale makumbusho na kuniletea habari zao za Network marketing nikawatwanga maswali. Wanionyeshe products wanazouza na kama Wana make profit wanionyeshe the numbers. Biashara yeyote Ina numbers ili profit ionekane cash flow lazima ionekane expenses...
  18. F

    Hakikisha umesoma hivi vitabu 5 kabla hujaanza biashara yoyote

    Tatizo letu ni kufanyia kaz vile tunavyovisoma " The reachest man in babylon". Kilinifanya nigundue tatizo sio hela unayopata ila ni kivp unatumia unachokipata na kuhakikisha unajilipa pia na wewe. Kukusanya maarifa ni hatua moja yapo yakuanzia mahali kuchukua hatua kwny maarifa unayoyasoma...
  19. F

    Jinsi nilivyopigwa na kampuni la kitapeli sunrach

    Katika biashara yeyote kama hakuna product or service inayoeleweka then your the product in short ukiitwa kwny fursa Kama hii ujue wewe ndo fursa sijui lini watanzania hasa vijana wataamka na kuona theirs no free lunch juzi tu watu wamepigwa na kitu kizito kutoka kalinda leo tena kuna wengine...
Back
Top Bottom