Search results

  1. montroll

    Serikali Simiyu yalaumu wananchi 'kufyatua' watoto

    Wananchi wa mkoa wa Simiyu walalamikiwa kwa kuzaa sana na hivyo kufanya uandikishaji watoto Shule kuwa mgumu kutekelezwa na Serikali. Kama nakumbuka vizuri kuna wito ulitolewa na rais Magufuli wa kufyatua tu watoto na serikali itawasomesha. Je wana Simiyu walaumiwe kwa kutekeleza wito huo?
  2. montroll

    African writers: Weep not child

    Weep not child, Weep not my darling, The ravening clouds shall not be victorious, They shall no longer posses the sky. Discuss; Who is the child? Who is the darling? Who is/are the ravening cloud? Who/what is the sky? Ole, ole, ole!
  3. montroll

    Kama sifa ni kujua na kusoma, prefix za prof na dk kazigani?

    Eti wateule was kisiasa wanahitaji kujua na kusoma tu? Kwa hiyo kina Muhongo,Kabudi.Mwakyembe,Kigwangala and the likes tusiwapime kwa uprof na udkt wao? Mbona back mkuu anawalenga hao tu kwenye teuzi zake? Yaani Kabudi ameteuliwa kwasababu anajua kusoma na kuandika, I am confused really! Au...
  4. montroll

    The cowards are are always afraid

    ..and the braves are always strong and calm, they can not be deflected from their just cause. they stand firm and remain on their sacred focus. --standing firm and focused to the just cause makes the cowards become mourners on their inside thou outside they might look joyous. Cowards are the...
  5. montroll

    Serikali/Tawala za ki-Afrika

    Nyingi in insecure, Kwasababu nyingi hazitendei kwa haki na usawa raia wake. Nyingi zinadharau sana raia na taasisi zao, Zinatafanya kila ziwezalo,baya au zuri kubaki madarakani Kwasababu zimewatendea raia wake vibaya, vibaya sana! Zina wasi wasi wa kulipiziwa visasi na raia wake! HAZITOKI...
  6. montroll

    Mfuta matokeo na M'badilisha mshindi na kumtangaza, yupi anakubalika?

    Wana Jf, nimekuwa nikjiuliza sana swali hili na kwa kweli kila nikipata jibu naona linanichanganya zaidi, natafuta lingine, bado linanichanganya kuliko la kwanza! Sasa hivi sehemu kubwa ya jamii ya waelewa na wenye fikra huru, wako" concerned" sana na kitendo alichofanya M/kiti wa ZEC Jecha...
  7. montroll

    Muhammad Boodia: Right is bought for blood!

    For the sons and daughters of this nation and any other oppresed nation, note this for it must happen for u to have and regain ur very fundamental rights in the land given to you by none but God the Almighty Himself. Blood must be shed! For 'Right is bought for blood, luky for the...
  8. montroll

    Kova: Watanzania wamezoea mno amani...

    wana jf, Kova akihojiwa na BBC (kama sikosei) juu ya tukio la kuvamimiwa na kushambuliwa kwa Kibanda, katika majibu yake amesema kwamba wa tanzania wanalalamika sana juu ya uhalifu wa aina hii lakini akasema bado hali ya uhalifu tz ni ndogo sana kuliko nbo na kampala na majiji mengine...
  9. montroll

    Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

    Waziri Mkuu katoa hotuba ya kufunga bunge (Hotuba nzima ipo post ya pili chini). Hakuna Waziri hata mmoja aliyejiuzulu wala kuwajibishwa kama wengi walivyotarajia. Spika kahitimisha kwa kuwataka wabunge wasichukiane nje ya Bunge kwakuwa yaliyojadiliwa bungeni ni sehemu ya kazi.
  10. montroll

    Perestroika na Glassnost ni muhimu kwa sasa kabla ya katiba mpya

    Wana Jf. Kwa mawazo yangu naona muungano na katiba yake havikidhi matakwa,matarjio na mahitaji au mapendeleo ya pande zote za muungano. Kila upande kwa namna moja au nyingine unaona unadhulumiwa au kuonewa. Na kibaya zaidi mjadala juu ya muungano umekuwa ukidhoofishwa kwa namna mbalimbali...
  11. montroll

    Katiba inshtakiwa katika mahakama gani?

    Katiba inayo halalisha uporaji wa madaraka,katiba inayolinda watawala kuendelea na utawala, katiba inayoruhusu ukandamizaji wa wenye nchi,katiba inayo mruhusu kiongozi kusema uongo bungeni na kuendelea na kuwa kiongozi,katiba inayo ruhusu rais kusema uongo na au kukaa kimya wakati wananchi...
  12. montroll

    Katiba ya tanzania ishitakiwe

    Juu ya katiba kuna nini? Hakuna juu yake? Mahakama ipi naweza ishitaki katiba? Kwa sheria iliyo ndani ya katiba ipi? Na hiyo katiba yenye sheria ya kuishitaki katiba, inashitaiwa na mahakama ipi? Plz plz help! Am confused. Tuishitaki katiba iliyopo sasa, isimamishwe, zitolewe siku 90 za...
  13. montroll

    Operation vijiji-silaha iliyobaki.

    CDM and the pipoz pawa imefanya kila linalohitajika kuleta uelewa wa ukombozi wa kweli,lakini bado wanyonyaji ccm wameendelea kushinda katika sanduku la kura, inawezekana wanaiba kura kwa kusaidiwa na dola lakini pia wanapata kura nyingi toka kwa watu wa vijijini ambao wamekosa fursa ya...
  14. montroll

    Siasa na malaria Zanzibar

    Zanzibar imejitangaza na kuaminiwa na jumuiya ya kimataifa kwamba imefanikiwa kumaliza malaria, imejiweka katika nafasi ya kupigiwa mfano katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu hatari kabisa pengine hata kuzidi ukimwi. Hizi ni siasa hatari sana, wanasayansi tiba wanalazimishwa na wanasiasa...
  15. montroll

    Wanafunzi mashujaa, wanakumbukwa?

    Hakuna vita isisyo na wahanga, na katika kila ushindi wa kuna walio tolewa kama kafara ili wengi wafaidi. Katika harakati za kupigania vyama vingi wanasiasa nguli na shupavu, kama walivyo wanaharakati wengi, waliungana na wanafunzi wa vyuo vikuu na wa taasisi zingine za elimu ya juu...
  16. montroll

    The guilty are always afraid

    Dunia imeona na kusikia maanguko ya watawala nchi kadhaa, wote waling'ang'ania madarkani kwa nguvu huku wakijua fika kwamba wananchi wao hawawataki. To them civil war where their citizens killed each other was better than leaving the offices! Sadam-Iraq Gbabo-Ivory coast Gadaffi-Libya All...
  17. montroll

    Ngeleja has to resign, we smell rat

    what he said or forced to say and promise pale Dom mjengoni, was it a hoax? Umeme kukatika kama kawa! Mbagala saa hii umekatika without notice! Ngeleja ajiuzulu, by giving a promise he can not fulfill, Akubali ameshindwa, aondoke tu.
  18. montroll

    CCM imefanya maamuzi magumu

    pengine sijui hasa maana ya maa muzi magumu. Lakini mimi nadhani yafuatayo nayo ni maamuzi mag umu ambayo ccm imeyachukua na kuna kila dalili ya kuendelea kuyachukua ambayo ni serikali chache sana duniani kama zipo ambazo zina weza kuchukua na wananchi wake wakaridhika na wasichukue hatua...
Back
Top Bottom