Search results

  1. Kassimu Mchuchuri

    Msaada: Kati ya Bachelor Degree in Dental Surgery na Bachelor in Doctor Of Medicine ipi ipo sokoni zaidi

    Kati ya Bachelor Degree in Dental surgery na Doctor of medicine ipi kwa nyakati hizi inalipa sana na haisumbui katika upatiakanaji wa ajira. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kassimu Mchuchuri

    Vijana Wengi Wanakosa Vitu Hivi Viwili.

    Unapopewa kazi na mtu mara kwa mara, siyo kwamba wewe ni mfanyaji kazi mzuri /gharama zako nafuu kuliko wengine, ila yawezekana umejenga uaminifu mkubwa katika kutimiza kazi zako. UAMINIFU & UTU ni vitu muhimu katika kazi yako. Nimejifunza wengi wanakosa hivyo vitu viwili.
  3. Kassimu Mchuchuri

    Kwa Vijana Wote Wanao Graduate Msimu Huu

    Pongezi kwa vijana wa kike na Kiume wanao graduate msimu huu, hongereni sana , lakini niwaambie mjiandae pia kisaikolojia baada ya Sherehe kwisha Mtaani pagumu ndugu zanguni. Only ubunifu Ndio utawabakiza mjini mkiwa na tabasamu zetu, Ajira zimekua kama kaka kuona .Kila la kheri
  4. Kassimu Mchuchuri

    Maisha ya mtaa yamenifunza mengi

    Maisha ya mtaa yamenifundusha mengi zaidi ya chumba cha darasa kinachozalisha wanataaluma. Shukrani ziende kwa wanangu wote kitaa[emoji1363][emoji1363][emoji109]
  5. Kassimu Mchuchuri

    Vipo vitu vingi vya kufanya

    Vipo vitu vingi vya kufanya, usipende kupoteza muda wako kwa kufanya kitu ambacho uwezi. Fanya kile unachoweza na ambacho unahisi kitakupa matokeo chanya.
  6. Kassimu Mchuchuri

    Tafakari! Chukua Hatua

    Umeshawahi kujiuliza muda unaoutumia kufanya kazi za mwajiri kama ungekuwa unafanya shughuli zako mwenyewe ungekuwa wapi leo? Jaribu kuwaza kwa sauti halafu ujipe majibu mwenyewe, kujiamini na kuthubutu ni 'values' muhimu sana katika kujitegemea kiuchumi Tafakari, Chukua hatua!
  7. Kassimu Mchuchuri

    Kabla Hujataka Kuoa Zingatia Huu Ushauri

    Kabla hujaamua kufanya commitment kwa mtu either kuolewa au kuoa make sure unafahamu vema kuhusu familia anayotoka, vijana wa leo tunaweza kupinga hili ila wazee wetu waliona mbali, kuna familia 'ukiunga nao undugu' hutoboi mazee, kila baya litakufuata, watu wana 'maagano' yao!
  8. Kassimu Mchuchuri

    Kitu Ambacho Wasichana/Wanawake Wakijui

    Kitu Ambacho wanawake/wasichana hawajui ni kwamba, Wanaume hawaoi mtu alivaa nusu uchi/ au kuwa wazi hao wanakuwaga wa mpito tu. Kila mwanaume anatafuta mwanamke ambae atatulia nae na alietulia kichwani. Lakin mvaa vichupi,vimini,sijui bikini hawa hatuoi!!!!!
  9. Kassimu Mchuchuri

    Mbarikiwe Sana Nyie Watu

    Kuna wale marafiki wako Real sana wanaweza kukutetea hata pale ambapo we hautokuwepo sometimes unaweza ukawa umekosea lakini watahakikisha wanalinda jina lako halafu ndo watakuja kukuchana. Mbarikiwe sana nyie watu [emoji110][emoji110]
  10. Kassimu Mchuchuri

    Wakuu naombeniii msaada wa haraka

    Naomba msaada wakuu nahitaji naomba yangu itoke kwenye group la WhatsApp pasipo Mimi kuleft au Admin kuniremove. Nawezaje? Natanguliza shukrani. Natanguliza shukrani..!!
  11. Kassimu Mchuchuri

    KATIKA NCHI YETU TATIZO LA AJIRA SIYO KUBWA KIHIVYOO

    Katika nchi yetu tatizo la ukosefu wa ajira siyo kubwa kihivyoo. Ila tunalo tatizo moja kubwa, mno. Tunao wahitimu wengi WASIOAJIRIKA. Kutoajirika (unemployability) ni tatizo kubwa, mno. Waombaji wengi wa ajira wana sifa ila hawana uwezo.
  12. Kassimu Mchuchuri

    Mtembea bure sio sawa na mkaa bure

    Kama una kazi ya kuingiza kipato na kuweka akiba, jaribu siku moja kutembea kwenye mikoa na wilaya mbalimbali Tanzania, hutarudi bure kifikra. Nenda Kigoma, Mbeya, Tanga, Katavi, Iringa, Pwani (Pangani, Mafia, Kilwa, Kisarawe), Ruvuma, Mtwara, Lindi, Mwanza, n.k. Jaribu.
  13. Kassimu Mchuchuri

    Kuna watu wanapitia magumu sana katika hii Dunia

    Amepata Mimba, Aliyempa Mimba Kamkimbia Japo Alimuahidi Kumuoa,Hana Pesa, Hana Kazi Jamaa Kamharibia Malengo Na Mipango Yake Ya Baade! Kuna Watu Wanapitia Mambo Magumu Sana Hii Dunia.
  14. Kassimu Mchuchuri

    Nimeamini maisha hayana fomula

    Maisha hayana fomula wakati mwingine ni nyota ya mtu tu!! Unaweza piga bajet kali, kufanya kazi kama Punda, extra legend bahili na ukawa maskini vile vile! Kuna ambao wapo wapo na hawajibani Ila wanatusua mbaya zinatoka na kuingia Maisha ni nyota.
  15. Kassimu Mchuchuri

    Jinsi ya kuendelea kuwa masikini

    JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI 1.Usiamke mapema. 2. Usipange matumizi ya Pesa zako. 3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri. 4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi. 5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji. 6. Endelea...
  16. Kassimu Mchuchuri

    WAUWAJI WA MIMBA NI WENGI

    Usimweleze kila mtu ndoto yako ingali bado changa wauwaji wa mimba ni wengi (Wakatishaji tamaa). Vuta subira kwanza ndoto yako izaliwe, ikomae, iote mizizi isipotoshea ndani itatoka nje yenyewe na kujitangaza, Wakati huo hakuna atakayeweza kuiua wala kuizimisha[emoji106][emoji106] Over
  17. Kassimu Mchuchuri

    Epuka kutumia barua pepe kama hizi

    Katika CV yako! Epuka kuweka Email kama hizi chugaboy@gmail.com Tumia email yenye majina yako Mf. abdulazizmomba@gmail.com Kila la kheri katika Hustling zako.
  18. Kassimu Mchuchuri

    Asikudanganye mtu mabinti ni wasumbufu sana kulipa madeni

    Asikudanganye mtu mabinti ni wasumbufu sana kulipa madeni na ukianza kuleta mapenzi unaweza usipate vyote.
  19. Kassimu Mchuchuri

    MCHAWI WA MAISHA YANGU NI MIMI MWENYEWE

    Tumefikia nusu mwaka, 1. mshukuru Mungu kama unapiga hatua. Haijalishi ni fupi fupi kiasi gani. 2. usiijifananishe na mtu wala usishindane na mtu, jiangalie kwenye kioo na shindana na nafsi yako. 3.Usiwachukie washkaji waliokuzidi. Jiweke karibu na jifunze kutoka kwao.[emoji1488]
  20. Kassimu Mchuchuri

    Story of my life

    My journey starts right here! Never be afraid to start.
Back
Top Bottom