Search results

  1. J

    Je, Mazingira ya kutoa na kupokea Rushwa Nchini yamebadilika?

    Mazingira ya kutoa na kupokea Rushwa yanaweza kutofautiana kulingana na Utamaduni, Mifumo ya Kisheria, na muktadha wa Kisiasa wa nchi husika. Watu au makundi yanayohisi kutengwa na Mifumo ya Kijamii au Kiuchumi wanaweza kuona Rushwa kama njia pekee ya kupata Huduma au fursa ambazo zinapaswa...
  2. J

    Mazingira hatarishi zaidi kwa Rushwa Nchini Tanzania

    Rushwa inaweza kustawi katika Mazingira mengi ikiwemo Pale ambapo hakuna Mfumo wa Uwajibikaji unaofanya kazi kwa ufanisi, Watu wanaweza kujisikia huru kufanya vitendo vya Rushwa bila hofu ya kufuatiliwa au kuchukuliwa hatua Aidha, panapokuwa na Udhaifu wa Taasisi za Sheria Rushwa inaweza...
  3. J

    TAKUKURU: Rushwa katika Taasisi za Dini hutokea wakati wa Uchaguzi wa Viongozi

    Rushwa katika Taasisi za Kidini ipo hasa katika Uchaguzi wa Viongozi. Wanaoenda kugombea ni watu wanaotoka katika Jamii ambayo inaelekeza kwamba huwezi kuchaguliwa bila kutoa Hongo, hivyo analazimika kutoa hela ili achaguliwe. Wakati huo huo Mgombea mwenza naye hupata taarifa kuwa Mwenzako...
  4. J

    Moja ya mapungufu kwenye Sheria inaweza kuwa ni Lugha iliyotumika

    Mapungufu katika Sheria yanaweza kuwa ni Lugha ambayo imetumika ikiwa haijulikani kwa Raia wengi na hivyo kusababisha tafsiri tofauti, au utata katika Utekelezaji wake. Pia, Utekelezaji wake kuwa na mwelekeo wa upendeleo au ubaguzi dhidi ya makundi fulani ya Watu, ikisababisha kutokuwa na Usawa...
  5. J

    Rushwa hushusha Ubora wa Elimu na Kuondoa Ari ya Wanafunzi Kusoma

    Ufisadi unaharibu ubora na upatikanaji wa huduma za elimu kwa kuvuruga upatikanaji wa elimu. Inawaathiri sana maskini, wakiacha watoto wanaokabiliwa na changamoto kutegemea huduma duni za elimu ambapo elimu kidogo inaweza kufanyika. Ina athari mbaya katika sehemu zote za elimu, kutoka...
  6. J

    Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums, Machi 14, 2024

    Leo, Machi 14, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Peter Huyghebeart Ujumbe wa Ubalozi umepata nafasi ya kukutana na Uongozi na Watendaji wa JF na kuona shughuli mbalimbali za Taasisi ikiwa ni pamoja Programu 8 zinazotekelezwa na kujadiliana namna bora ya...
  7. J

    JamiiForums ilisherehekea siku ya Wanawake Dunia kwa Mkutano na Wanawake ambao ni Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni

    Video hii inaonesha kwa ufupi Siku hii ilivyokuwa Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani JamiiForums iliandaa mkutatano na Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni ambao ni Wanawake. Katika mkutano huu Wadau hawa walijadili changamoto mbalimbali wanazopitia Waandaaji hao wa Maudhui Mtandaoni...
  8. J

    Jinsi TAKUKURU inavyozuia Rushwa kwenye Vyama vya Siasa

    Rushwa katika Vyama vya Siasa ni tatizo katika Nchi nyingi Duniani na inaathiri Demokrasia kwa kudhoofisha Uwajibikaji, Usawa, na Uaminifu katika Mifumo ya Kisiasa Katika baadhi ya maeneo, Watu wanaweza kununua au kuuza kura kama njia ya kufanikisha malengo yao Kisiasa
  9. J

    Hali ya Rushwa ya Ngono Nchini

    Rushwa ya Ngono inahusisha Dhuluma na Unyanyasaji, na inakiuka Haki za Binadamu na Heshima ya Watu. Aina hii ya Rushwa hutumia nguvu ya Kisaikolojia kumshawishi Mtu kutoa Mwili wake Kingono ili kupata Upendeleo kama Safari za Kikazi, Matokeo mazuri Chuoni, Unafuu wa Kazi, Kupanda Cheo...
  10. J

    JamiiForums Yaadhimisha Siku Ya Mwanamke Duniani kwa Mkutano na Wabunifu wa Maudhui ya Mtandaoni

    Mada: Kuwawezesha Watengeneza Maudhui: Kupinga Dhana potofu kuhusu Wanawake Kulingana na Sensa ya 2022, idadi ya Wanawake Tanzania ni 31,687,990 ambao ni sawa na 51% ya idadi ya watu. Kulingana na Ripoti ya Pengo la Kijinsia ya Mwaka 2019 iliyotolewa na Shirikisho la Mawasiliano ya Simu za...
  11. J

    MJADALA: Nini kifanyike kuondoa Uhaba wa Sukari kuendelea kujirudia kila mwaka Tanzania?

    Uhaba wa sukari nchini Tanzania ni tatizo linaloathiri sana wananchi na uchumi kwa ujumla. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Uzalishaji duni: Uzalishaji wa miwa, malighafi ya sukari, unaweza kuathiriwa na mambo kama hali mbaya ya hewa, magonjwa, au mbinu duni...
  12. J

    Ulinzi wa Watoa Taarifa za Rushwa

    Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu Ulinzi wa Watoa Taarifa, lililopitishwa Desemba 2015 linasisitiza umuhimu wa kuwalinda Watoa taarifa na kuhakikisha wanaweza kutoa taarifa kwa Uhuru bila kuogopa mashambulizi au kisasi Azimio hili linahimiza nchi Wanachama kuanzisha na kuboresha Mifumo ya...
  13. J

    Hali ya kiwango cha Rushwa nchini Tanzania

    Kuna vigezo kadhaa vinavyotumiwa kuangalia kiwango cha rushwa katika nchi. Hizi ni pamoja na: Transparency: Kiwango cha uwazi katika shughuli za serikali na taasisi za umma ni kigezo muhimu cha kuangalia rushwa. Nchi ambazo zina mfumo mzuri wa kufanya maamuzi kwa uwazi na kuchapisha taarifa...
  14. J

    Mjadala: Athari za 'Magonjwa Adimu' pamoja na Huduma zake

    Je unajua kwamba kuna watu Milioni 300 Duniani wanaishi na magonjwa Adimu? Magonjwa Adimu ni matokeo ya maambukizi ya Bakteria au virusi na sababu za mazingira au kansa adimu. 5% ya idadi ya watu Duniani wanakabiliwa na Magonjwa Adimu kwa sasa. 72% ya Magonjwa yote ya adimu yanatokana na...
  15. J

    Mjadala: Hoja za Wadau kuhusu namna ambavyo Mgawo wa Umeme umeathiri shughuli za Kijamii na Kiuchumi nchini

    Changamoto ya kukatika kwa Umeme imekuwa ikisababisha Athari za Kiuchumi, Afya na Usumbufu kwenye Maisha ya kila siku kwa Wananchi Je, unaridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Mamlaka katika kukabiliana na hali ya ukosefu wa Umeme katika eneo lako? Jiunge nasi katika mjadala, muda huu...
  16. J

    Mjadala: Hoja za Wadau kuhusu namna ambavyo Mgawo wa Umeme umeathiri shughuli za Kijamii na Kiuchumi nchini

    Jiunge nasi katika mjadala, muda huu unaoangazia Athari za Mgawo wa Umeme kwa Wananchi na hatua zinazochukuliwa na Serikali kukabiliana na changamoto hiyo kupitia #XSpaces ya JamiiForumsKushiriki Mjadala bofya https://jamii.app/MgawoUmeme
  17. J

    Mjadala: Hoja za Wadau kuhusu namna ambavyo Mgawo wa Umeme umeathiri shughuli za Kijamii na Kiuchumi nchini

    Kukatika kwa Umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali Nchini kumeripotiwa kusababisha athari tofauti ikiwemo hasara kwa Wafanyabishara wanaotegemea Nishati hiyo ili kuendesha shughuli zao. JamiiForums kwa kutambua hilo, itaendesha Mjadala kupitia XSpaces, utaogusia Kero zinazotokana na...
  18. J

    Ufahamu Ugonjwa wa Kifafa na namna bora ya Kuishi na Wagonjwa wa kifafa

    Kifafa ni hali ya mshtuko wa ghafla au matokeo yasiyo ya kawaida katika Ubongo wa Binadamu ambayo inaweza kusababisha Mtu kuzimia, kukamaa kwa misuli na mabadiliko ya hisia au fahamu Hali hii inaweza kuathiri Watu kwa njia tofauti kutegemea na eneo la Ubongo linaloathiriwa. Kufahamu zaidi...
  19. J

    Ufahamu Ugonjwa wa Kifafa na namna bora ya Kuishi na Wagonjwa wa kifafa

    Kifafa ni hali ya mshtuko wa ghafla au matokeo yasiyo ya kawaida katika Ubongo wa Binadamu ambayo inaweza kusababisha Mtu kuzimia, kukamaa kwa misuli na mabadiliko ya hisia au fahamu Hali hii inaweza kuathiri Watu kwa njia tofauti kutegemea na eneo la Ubongo linaloathiriwa. Kufahamu zaidi...
Back
Top Bottom