Wadau nilileta uzi humu wa kuomba ushauri kuhusu ni gari gani nianze nayo. Wengi mlinishauri maoni mbalimbali na sasa namshukuru Mungu nimefanikiwa kununua Nissan Duals cc 2000 kutoka Japan. Niliagiza mwenyewe hlf nikatafuta wakala wa kuitoa bandarini wala hapakuwa na usumbufu wowote...
Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk.
Hivyo naombeni wataalamu mnipe ushauri wa ni gari gani...
Wataalamu naombeni msaada. Kuna vifaa fulani vya michezo ya watoto nataka kuviagiza nje ya nchi.
Kampuni iko South Africa wameniambia mzigo utatokea USA na utashushwa Bandari ya Dsm. Bei waliyonipatia wamesema VAT ni excluded na pia masuala ya clearing bandarini ni juu yangu.
Hivyo nimeona...
BARAKA ZA WAZAZI
Baraka zinazoachiliwa na wazazi wa kimwili baba yako na mama yako,ni nyingi kuliko zinazopatikana kwa wazazi wa kiroho.(manabii nk)
Umeshonea suti manabii na wachungaji,baba yako hujawahi kumfanyia hivyo
Ni mkarimu sana kwa nyumba ya mchungaji au manabii Nyumbani mara ya...
Nipo naangalia hapa Uhai Tv ya Azam. Tangu juzi naona mjadara wa bajeti unaonekana live, Je serikali imeruhusu bunge live kimya kimya au ni kwa muda huu tu wa bajeti?
Nimeona kwenye taarifa ya habari, miongoni mwa maelekezo aliyotoa amesema wahandisi wajenge majengo Kwa kusimamisha tofali na sio kuzilaza ili tofali chache zijenge majengo mengi.
Kila la heri wahandisi
Kwa video hii napata Shida sana kuelewa kama wananchi wanajua majukumu ya mbunge wao.
Mbunge wa jimbo la Bukoba vijijini Jasson Rweikiza kwa kushirikiana na wananchi pamoja na wawindaji wameamua kuingia porini katika maeneo ya Kemondo wilaya ya Bukoba mkoani Kagera kwa ajili ya kuwaondoa...
Wadau kuna mtu hapa kaniomba ushauri yeye ni ajira mpya hizi za sasa anahitaji nimoe ushauri wa vitu viwili.
1. Benki nzuri ya kufungua akaunti kwa ajiri ya mshahara
2. Mfuko bora wa hifadhi za jamii wa kujiunga nao.
Karibuni kwa mawazo yenu
Mimi si mpenzi wa story zisizoisha kwenye makundi ya Whatsap, sasa hata hivyo kuna baadhi ya magroup ukijitoa unaonekana mkorofi.
Nilikuwa naomba utaalamu wa kuweza kuwa na magroup lkn niwe nimeyaficha msg zikiingia zisionekane mpaka nikiiamua.
Msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uliomba post mbalimbali, tayari majina ya wanaoitwa kwenye usaili yametoka.
Baadhi ya nafasi hasa za ualimu wa ufundi bado hawajaita.
www.veta.go.tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Au nenda moja kwa moja
Vocational Education and Training Authority
Ndugu zangu kama mada inavyojieleza hapo juu, jana nimenunua simu ya TECNO L8 Lite.
Lkn kwa uharaka niliokuwa nao nikasahu kuuliza namna ya kufungua mfuniko wa nyuma kwa ajiri ya kuweka line.
Najua hapa wataalamu mpo simu imenishinda kufungua kabisa, naombeni ujuzi huo
Wadau kuna mtu kaja kuniomba ushauri yeye ni mfanyakazi wa taasisi moja ya serikali sasa amepata kazi nyingine ya serikali pia. Kinachomtatanisha ni namna ya kuacha kazi na kuhamia taasisi ya pili na tayari ana mkopo wa Mil 10 benki.
Je akiondoka kimya kimya kama mtoro kuna Tatizo ili mafao...
Leo tarehe 12/4/2017 muda huu saa tano na dk 50.
Gari la NBS kutoka Tabora kwenda Kigoma. Basi hili limejaza kupita kiasi na abiria hawasikilizwi.
Kwa sasa gari ndio limetoka Kaliua kuelekea Usinge. Abriria waliosimama ni zaidi ya waliokaa.
Askari wa barabarani hawajachukua hatua yoyote.
Jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.